Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

Mkuu,

Labda developed world....bongo sijui.....! Mimi nimeshabadilisha ajira kama mara tatu hivi tangia ni graduate, lakini hakuna hapa Employer mmoja aliye nikabidhi msahafu huu....nafikiri kwa sababu waajiri wengi hawapendi kufuata hizi sheria za kazi so sitashangaa kuona hawawapi copy waajiriwa wao!

Kubadilisha aijira mara tatu imetosha sasa ujiajili
 
wanajamii naomba kuuliza hivyi ikitokea mwajiri kakulipa msharaha kimakosa (yani kazidisha amount fulani katika mshahara wako kwa mda wa zaidi ya miezi 2) je ni sahihi mshahara wako kushushwa tena kama hilo kosa lilikuwa la mwajiri. je sheria ya kazi inasemaje kuhusu hilo wanasheria tunaomba mtutafsirie.
Hautoshushwa,Bali watakata kila mwezi..!
 
Je sheria inasemaje mtu alieajiriwa serkalin badae kusitishwa ajira yake bila yy kukosa ila tu ni kwa taratb zao na kwa muda usiojurkana? MF ndg zetu wa Mahakama waliositishiwa ajira zao toka June mpaka leo November! Je wanahaki yeyot kisheria? Waanzie wap? Wameenda wizara kuuliza hatima yao wamefukuzwa kama mbwa wakiambiwa wasubr! Bila muda maalum na wamekaa mtaan miez 5 sasa!
 
wakuu sheria inamzuia mtu ambaye hajafikisha miezi sita kazini kwa muajiri mmoja kwa mkataba wa muda maalumu kufungua shauri kudai Unfair termination of contract under sub e ya sheria ya kazi na mahusiano kazini sasa mtu huyu ana haki kwa sheria gani ikiwa atahisi ameonewa katika kukatishwa mkataba wake wa kazi?
 
Wakuu hebu tusaidieni halo kwa hili suala, hats mm nahisi naelekea kua muhanga. Actually mm niliingia kazini katika benki moja hapa mjini kwa contract ya miezi sits. Ilipotimia miezi 5 nilipata kazi sehemu nyingine so nikaandika barua ya resignation ya one month resignation note. Barua ilipokelewa na kukubaliwa ILA cha kushangaza ulipofika mwisho wa mwezi nikaambiwa pesa yangu (mshahara na leave+ terminal benefits) nitalipwa after 14ays.

Leo ni siku ya ishirini sijaingiziwa pesa yangu kila siku napigwa danadana na sijapewa barua yoyote kuonyesha ni kiasi gani niwadai. Je hapo naweza kuchukua hatua gani? Baada ya muda gani??
 
Wakuu hebu tusaidieni halo kwa hili suala, hats mm nahisi naelekea kua muhanga. Actually mm niliingia kazini katika benki moja hapa mjini kwa contract ya miezi sits. Ilipotimia miezi 5 nilipata kazi sehemu nyingine so nikaandika barua ya resignation ya one month resignation note. Barua ilipokelewa na kukubaliwa ILA cha kushangaza ulipofika mwisho WA mwezi nikaambiwa pesa yangu (mshahara na leave+ terminal benefits) nitalipwa after 14ays. Leo ni siku ya ishirini sijaingiziwa pesa yangu kila siku napigwa danadana na sijapewa barua yoyote kuonyesha ni kiasi gani niwadai. Je hapo naweza kuchukua hatua gani? Baada ya muda gani??
Baada ya resignation walikuambia watakulipa terminal benefits na leave pamoja na. Mshara wako ndani ya soku 14? Lakin unasema cha kushangaza mpka siku ya 21 hawaja fany malipo yoyote..

Kwanza tambua mambo yafuatayo

1. Kama umeachishwa kazi kisheria inabd ufungue shaur lako mbele ya mahakam ndan ya siku 30 ndan uachishwe kaz

2. Kama una madai kwa mwajir wako inabdi kisheria shaur lako mbele ya Tume ya Usuluhishi na Uamiz (CMA) Fungua ndan ya siku 60

Kwa hyo ushauri nakupa wao wanavyo kwepa kulipa hyo hela wanataka wakupotezee muda wako wa kisheria ambayo unahak ya kisheria kuomba madai yako kwa mwajiri kisheria.

Nn namaanisha?

Namaanisha kwamba ww hapo una madai kwa mwajiri wako sasa yeye anavyo kuzungusha anataka zipite siku60 halafu ww ushindwe kwenda kweny Tume kufungua mgogoro wa kudai hayo madai yako.

Sheria ina sema hiv kama muda wa kisheria wa kufungua mgogoro wa madai ukipita muda wake mlalamikaj kama anataka afungue huo mgogoro nje ya muda wa kisheria inabd aeleze ni sababu gan za msing zilzo pelekea mpka akashindwa kufungua mgogoro huo wa madai ndan ya siku 60 za kisheria? Na kama hauna hzo sababu basi haki yako imesha potea

Ushaur nenda katafute hak yako kweny tume ya Uamuz na Usuluhish (CMA)
 
Sheria haijaweka waz still ipo silence kwamba mtu kama huyo nn atakuwa anakipata kisheria labda kama alikuwa kweny mfuko wowote wa hifadh ya jamii kwa kipind hcho yupo kazn otherwise mwajir awe na busara ampe choxhote kitu
 
kwa jinsi ulivyojielezea hapo unastahiili kulipwa mshahara wako tu, na hakuna likizo wala kituu chochote kile. au kipengele cha mkataba wako kinasemaje?
 
wakuu sheria inamzuia mtu ambaye hajafikisha miezi sita kazini kwa muajiri mmoja kwa mkataba wa muda maalumu kufungua shauri kudai Unfair termination of contract under sub e ya sheria ya kazi na mahusiano kazini sasa mtu huyu ana haki kwa sheria gani ikiwa atahisi ameonewa katika kukatishwa mkataba wake wa kazi?
Kwa mujibu wa kifungu cha 35 cha Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini no.6 ya mwaka 2004 iko wazi kwamba kufukuzwa kusiko kwa haki (Unfair termination) hakutatumika kwa muajiriwa mwenye pungu ya miezi 6 katika ajira.
 
mkuu sasa position ya mtu aliyemaliza mkataba wa mwaka akaongeza mwingine ukakatishwa ndani ya miezi miwili ndiyo atahesabiwa ana muda gani kazini?
 
mkuu sasa position ya mtu aliyemaliza mkataba wa mwaka akaongeza mwingine ukakatishwa ndani ya miezi miwili ndiyo atahesabiwa ana muda gani kazini?
Kulingana na maelezo yako hapo juu yanadhihirisha kwamba mkataba wako wa pili ulikuwa ni muendelezo wa mikataba wa kwanza.

Hivyo nitahesabu kuwa nimefanya kazi ndani ya mwaka mmoja na miezi miwili. Hapa sheria lazima itanilinda.

Ikitokea sasa muajiri amesitisha huo mkataba bila kufuata sheria hakika hapo itakuwa ni kusitishwa kwa mkataba kusiko kwa haki(unfair termination).

Hivyo basi sheria inawalinda zaidi watu waliyo kwenye mkataba kuanzia miezi 6 na kuendelea dhidi ya unfair termination.
 
thanks for quick responce mkuu nimekuelewa xana
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom