wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,226
- 37,574
Nakubali mkuu Kama Ni resources za nchi hii kutumika kwny Vita vya nchi nyingine zimetumika Sana tu.It might be true, kwani vita hivi vinahitaji pesa na Tanzania ilijikita mno kuisaidia Msumbiji kwenye vita vya kupigania uhuru,lakini baada ya Uhuru ikaingia tena Mozambique kupigania Frelimo dhidi ya Renamo,wanajeshi wetu kwa maelfu walipigana tena kwa kipindi kirefu.
Mwisho wa siku Tanzania haifadiki na lolote toka Mozambique .
Lakini pia serikali ya Mozambique ni corrupt ipo huko Maputo lakini huko kaskazini mwa nchi kama Cape del Gardo hakuna kitu pamesahaulika.
Wataalamu wa mambo ya kiusalama wanasema njia za kivita sio long term solution kwa Hilo eneo la del gardo Ila hii operation ya kijeshi ikimalizika inabidi serikali ya Msumbiji iangalie namna ya kusaidia Hilo eneo kuondokana na umaskini uliopitiliza hii inaweza kua solution ya kudumu.