Tanzania kuijibu Marekani, Uingereza

Tanzania kuijibu Marekani, Uingereza

Hiyo ndo shida ya kutojitambua. Wapi kwenye katiba ya ulaya na marekani iliruhusu ubaguzi wa Rangi, wazungu hawa walianza kutupenda lini kama walitufanya watumwa na kututesa kwa miaka mingi na baadae kututawala chini ya ukoloni. Hizo ndio human rights wanazotupigia kelele? Kuwaua kina Kwame nkrumah na kuwatesa kina Mandela was it right. Kama wanaheshimu human rights kwa dhati, leo hii Iraq, Iran, Congo, Libya, Yemen, Syria watoto, wanawake na wengine wasio na hatia wangekua Hai leo. Eti human rights wakati wanaendesha gereza la Guantanamo bay, unadhani kuna haki za binadamu huko? Waandishi wa habari marekani wanatafutwa ili kufunguliwa mashtaka. Watoa taarifa za uhuni wa nchi zao wanasakwa wafunguliwe makosa ya uhaini. Huzijui nchi zao zinavyoendeshwa so acha kuropoka. Kagame is right, wajisafishe wao kwanza ndipo waanze kutuhubiria hayo mambo yao.

Rudi ukajipange, hao wazungu unaosema hawatupendi, zaidi ya 1/2 ya maendeleo ya nchi ni misaada au mikopo yao, hawa wasomi wetu wengi wamesomea kwao. Unataka watupende kwani sisi tunawapenda? Tunachoangalia ni wao kusimamia haki na sio kupendana. Unatuletea historia za mabaya yao ukidhani ndio utapata kuhalalisha huu ushenzi unaoendelea hapa nchini kwa sasa? Tukiamua kuandika mazuri ya wazungu tutajaza vitabu 200. Kwa taarifa yako ni bora kutawaliwa na wazungu wa sasa maana ni wastaarabu kuliko awamu hii ya tano.
 
Mimi natarajia majibu ya maana...Kama huwaamini viongozi wetu wa serikali wape ushauri wa nini cha kujibu..waandikie wajibu vipi na upost hummu huo ushauri wako ili tuone na sisi kamaushauri na majibu yako ni ya maana.....

Majibu ya maana ni wao kukiri kwamba sio wote ndani ya nchi hii wanasujudia uovu, bali anayewateua ndio kaingiza hili roho la uonevu, hivyo hawana namna bali watamshauri aache roho chafu.
 
Kama hayo ndiyo majibu basi ni wazi Tanzania tuna kazi kubwa ya kuelimishana issues za kimataifa, diplomasia na sovereignty issues...ni kazi kwelikweli...tehtehtehtehtehteh..dah....kwa kweli tupo nyuma mno katika fikra...
 
Hutuna ustaarabu wowote zaidi ya kuendesha nchi kwa tabia binafsi za mtu. Na hatuna muda wa kuwa wamoja kwenye uovu.
 
Rais wa Rwanda alishawajibu vizuri sana hao jamaa kuhusu masuala ya haki za binadamu.
1. Kuwa Mwaafrika ndiye kinara wa haki hizo duniani.
2. Kuwa hao jamaa hawana moral authority ya kumfundisha Mwaafrika kuhusu haki hizo ambazo zinatawaliwa na mila na desturi.
3. Kuwa haki za binadamu za hao jamaa na ushoga, kutukana wakubwa zao na mambo mengine ambayo hayavumiliki kwa Mwaafrika. Mzungu anapaswa kujifunza kwetu katika masuala.ya haki za binadamu and not vice versa!
4. Kabendera kutumiwa na gazeti la Uingereza la Economist kuandika habari za kuleta machafuko kwa nchi yetu kwa malipo ya kampuni ya Uingereza ya Acasia, kamwe haliwezi kuvumiliwa na wala haliwezi kuwa kwenye haki za binadamu wa Kiafrika. Acasia wamekuwa wakimlipa Kabendera mabilioni ya pesa kwa shughuli hii baada ya kubanwa kwenye wizi wao wa makenikia. Lengo lao likiwa kuikomesha serikali ya Tanzania. Huu ni uhaini unaopaswa kuzimwa kabla haujaleta madhara. Hichi ndicho serikali ilichofanya kwa kumkamata Kabendera na kumfikisha mahakamani. Pesa hizo za kigeni alizokuwa akilipwa Kabendera hazikulipiwa kodi ya serikali - alikuwa akilipwa kinyemela kama wanavyolipwa wanaotumikia vikundi vya kigaidi hususani Al Akaida. Hii kama siyo money laundering ni nini?

Suala la Kabendera liko mahakamani na hakuna mwenye haki ya kuingilia suala ambalo liko mahakamani, including hao mabalozi wa Uingereza na Marekani. It is a contept of court. Waache sheria zetu zichukue mkondo wake.Wasitake kuifanyia Tanzania kama walivyozifanyia nchi kama Libya.
Erick kaanza kuandika habari za kiuchunguzi way back kabla ya uwepo wa a Asia scandal
 
Wawajibu tunalaani mauaji yaliyokea hivi karibuni Texas na kwingine.

USA wafuate haki za kibinadamu.

Hovyo ni nini? Sio lazima kuwajibu kisa kibaraka wao.
Kuwa na akili basi texas was a terror or hatred attack na mshambuliaji was killed dead on the scenes sasa unafananisha na hii issue ya watu wasiojulikana
 
Rais wa Rwanda alishawajibu vizuri sana hao jamaa kuhusu masuala ya haki za binadamu.
1. Kuwa Mwaafrika ndiye kinara wa haki hizo duniani.
2. Kuwa hao jamaa hawana moral authority ya kumfundisha Mwaafrika kuhusu haki hizo ambazo zinatawaliwa na mila na desturi.
3. Kuwa haki za binadamu za hao jamaa na ushoga, kutukana wakubwa zao na mambo mengine ambayo hayavumiliki kwa Mwaafrika. Mzungu anapaswa kujifunza kwetu katika masuala.ya haki za binadamu and not vice versa!
4. Kabendera kutumiwa na gazeti la Uingereza la Economist kuandika habari za kuleta machafuko kwa nchi yetu kwa malipo ya kampuni ya Uingereza ya Acasia, kamwe haliwezi kuvumiliwa na wala haliwezi kuwa kwenye haki za binadamu wa Kiafrika. Acasia wamekuwa wakimlipa Kabendera mabilioni ya pesa kwa shughuli hii baada ya kubanwa kwenye wizi wao wa makenikia. Lengo lao likiwa kuikomesha serikali ya Tanzania. Huu ni uhaini unaopaswa kuzimwa kabla haujaleta madhara. Hichi ndicho serikali ilichofanya kwa kumkamata Kabendera na kumfikisha mahakamani. Pesa hizo za kigeni alizokuwa akilipwa Kabendera hazikulipiwa kodi ya serikali - alikuwa akilipwa kinyemela kama wanavyolipwa wanaotumikia vikundi vya kigaidi hususani Al Akaida. Hii kama siyo money laundering ni nini?

Suala la Kabendera liko mahakamani na hakuna mwenye haki ya kuingilia suala ambalo liko mahakamani, including hao mabalozi wa Uingereza na Marekani. It is a contept of court. Waache sheria zetu zichukue mkondo wake.Wasitake kuifanyia Tanzania kama walivyozifanyia nchi kama Libya.
Oh jitahidi huyu asitajwe kinywani mwako.Kasome kitabu hiki "Behind the presidential curtain.Halafu urudi humu.Hutaamini ulichoandika.
 
Hekima na busara inahitajika kudeal na hawa watu, ni vyema kabla hawajajibiwa kikao cha watu wenye hekima na busara kikae na kujadili na mwisho kitoe majibu yenye hekima na busara...

Bado Taifa letu ni Changa na lina safari ndefu kufikia malengo. Kuzusha migogoro isiyo na maana kwa mambo yanayoepukika sio jambo jema kwa maendeleo na ustawi wa Taifa letu Changa..
 
Hiyo ndo shida ya kutojitambua. Wapi kwenye katiba ya ulaya na marekani iliruhusu ubaguzi wa Rangi, wazungu hawa walianza kutupenda lini kama walitufanya watumwa na kututesa kwa miaka mingi na baadae kututawala chini ya ukoloni. Hizo ndio human rights wanazotupigia kelele? Kuwaua kina Kwame nkrumah na kuwatesa kina Mandela was it right. Kama wanaheshimu human rights kwa dhati, leo hii Iraq, Iran, Congo, Libya, Yemen, Syria watoto, wanawake na wengine wasio na hatia wangekua Hai leo. Eti human rights wakati wanaendesha gereza la Guantanamo bay, unadhani kuna haki za binadamu huko? Waandishi wa habari marekani wanatafutwa ili kufunguliwa mashtaka. Watoa taarifa za uhuni wa nchi zao wanasakwa wafunguliwe makosa ya uhaini. Huzijui nchi zao zinavyoendeshwa so acha kuropoka. Kagame is right, wajisafishe wao kwanza ndipo waanze kutuhubiria hayo mambo yao.
Guantanano Bay wapo terrorist they posses threat to our world
 
Kweli kabisa. Ndio maana Magufuli kuna baadhi ya watu hawamuelewi. Wanahisi wazungu Kila wanachofanya na hasa wanachotuelekeza ni formula na lazima tufuate. Magufuli kabadili mikataba ya accacia kwa kuwa wamekiri kuwa wanaiba na wameona msamaha. Wakati mwanzoni kuna mwanasheria mbobezi alitudanganya na kutisha watu kuwa tusijaribu kuzuia makinikia kwa kuwa tutafungwa na kuzuia wawekezaji nchini. Leo kimya anaona aibu huko aliko. Alituaminisha kuwa mikataba ikisainiwa ni mpaka mwisho, haivunjiki, sasa wanaona aibu.
Na waliyoingia na Barrick ndo ya kimangungo zaidi yaani watawala wetu wote ni wapigaji
 
Huyu ni miongoni viongozi wachache sana wenye akili, hekima na uelewa, na ni dhahiri hafurahishwi na ujinga mwingi unaofanyika. Bahati mbaya amechanganyika na uchafu, hivyo hakosi kunuka.
 
Rais wa Rwanda alishawajibu vizuri sana hao jamaa kuhusu masuala ya haki za binadamu.
1. Kuwa Mwaafrika ndiye kinara wa haki hizo duniani.
2. Kuwa hao jamaa hawana moral authority ya kumfundisha Mwaafrika kuhusu haki hizo ambazo zinatawaliwa na mila na desturi.
3. Kuwa haki za binadamu za hao jamaa na ushoga, kutukana wakubwa zao na mambo mengine ambayo hayavumiliki kwa Mwaafrika. Mzungu anapaswa kujifunza kwetu katika masuala.ya haki za binadamu and not vice versa!
4. Kabendera kutumiwa na gazeti la Uingereza la Economist kuandika habari za kuleta machafuko kwa nchi yetu kwa malipo ya kampuni ya Uingereza ya Acasia, kamwe haliwezi kuvumiliwa na wala haliwezi kuwa kwenye haki za binadamu wa Kiafrika. Acasia wamekuwa wakimlipa Kabendera mabilioni ya pesa kwa shughuli hii baada ya kubanwa kwenye wizi wao wa makenikia. Lengo lao likiwa kuikomesha serikali ya Tanzania. Huu ni uhaini unaopaswa kuzimwa kabla haujaleta madhara. Hichi ndicho serikali ilichofanya kwa kumkamata Kabendera na kumfikisha mahakamani. Pesa hizo za kigeni alizokuwa akilipwa Kabendera hazikulipiwa kodi ya serikali - alikuwa akilipwa kinyemela kama wanavyolipwa wanaotumikia vikundi vya kigaidi hususani Al Akaida. Hii kama siyo money laundering ni nini?

Suala la Kabendera liko mahakamani na hakuna mwenye haki ya kuingilia suala ambalo liko mahakamani, including hao mabalozi wa Uingereza na Marekani. It is a contept of court. Waache sheria zetu zichukue mkondo wake.Wasitake kuifanyia Tanzania kama walivyozifanyia nchi kama Libya.
Report ya 2019, Libya ndiyo inaongoza kwa ukuaji wa uchumi Duniani.
 
Hio interview umeiangalia yote?

Uliona treatment/maswali ya yule Mwandishi kwa PK,mbona hakua ana m-treat kwa style hio yule boss wa EU aliyekua anahojiwa pembeni ya PK hapo?

NB:Siungi mkono mambo ya kishamba ya kutekana hovyo hovyo.
Ile interview niliiangalia yote. Mlengwa mkuu alikua PK na ndio maana maswali magumu alikua anaulizwa PK, kama unaangaliaga interviews za international media lile ni jambo la kawaida.
 
Mwandishi ndo kaanza kutoongea kistaarabu kwa kusema Rwanda hakuna haki za binadamu. Angeuliza kistaarabu kuwa Hali ya haki za binadamu nchini kwako ikoje? Ukiishi kama mbwa, utakufa kama mbwa.
Kabla ya interview mwandishi anakua amesha fanya research yake hivo hakukua na ulazima wa kumuuliza eti hali ikoje nchini mwako.
 
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema inalifanyia kazi tamko la pamoja la ubalozi wa Marekani na Uingereza linaloelezea wasiwasi wa kuzorota kwa haki za raia nchini.

Katika tamko hilo lililotoka leo Ijumaa Agosti 9, 2019 mabalozi hao wanaitaka Serikali kutoa hakikisho la mchakato wa kutenda haki kwa raia wake.

Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Agustine Mahiga akizungumza na Mwananchi leo kuhusu tamko hilo amesema wameliona na wanalifanyia kazi.

Mwanadiplomasia huyo amesema wizara yake pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) watakutana kujadili tamko hilo na baada ya hapo Serikali itatoa msimamo.

“Baada ya kukaa kwa pamoja tutatoa taarifa ya Serikali kuhusu tamko hilo la pamoja,” amesema Balozi Mahiga aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Amesema anafahamu tamko hilo linatokana na tukio la hivi karibuni ambalo hakulitaja.
==========

My Take; Angalau Mahiga kajibu kidiplomasia angekuwa yule wangeambiwa Tanzania ni nchi huru wasituingilie.
Huenda pasco akaitwa kuaanda majibu kwa niaba ya serikali dharimu,
 
Back
Top Bottom