Tanzania kuijibu Marekani, Uingereza

Tanzania kuijibu Marekani, Uingereza

Ile interview niliiangalia yote. Mlengwa mkuu alikua PK na ndio maana maswali magumu alikua anaulizwa PK, kama unaangaliaga interviews za international media lile ni jambo la kawaida.

Kulikua hakuna swali gumu hata 1 pale labda kama hujui france24 inamilikiwa na france govt na pengine hujui attitude ya france towards PK&his govt.

Mbona ameshahojiwa huko the hardtalk,CNN,VOA etc na hatoagi shit za dizaini ile.

Jua kwa Mzungu mwafrika ni Nyani tu hata president Regan alisema hilo,akijitahidi kidogo anakua shithole hata Trump anajua hilo
 
Kabla ya interview mwandishi anakua amesha fanya research yake hivo hakukua na ulazima wa kumuuliza eti hali ikoje nchini mwako.
Mwandishi aliulizwa na PK nyinyi mnaojiita watetezi wa haki za binadamu mbona mnazuia wakimbizi wa kutoka Libya na kwingineko huko baharini na wanafia huko huko majini ni haki gani za binadamu mnazozisema nyinyi?

Imagine nchi maskini Kama Tz inabeba mzigo wa wakimbizi kutoka Rwanda,Congo,Burundi miaka na miaka lkn watetezi wa haki za binadamu wao wanazuia wakimbizi wasiingie nchini mwao na wanafia baharini.

NB:Siungi vitendo vya kishamba vya kutekana vinavyoendelea bongo kwa 100% lkn mara moja moja najisikia kuwachana wazungu.
 
Kingu ameshawajibu hao mabeberu,hivi lumumba mbona hakuna mwenye akili hata wenye PHD nao vilaza tu
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema inalifanyia kazi tamko la pamoja la ubalozi wa Marekani na Uingereza linaloelezea wasiwasi wa kuzorota kwa haki za raia nchini.

Katika tamko hilo lililotoka leo Ijumaa Agosti 9, 2019 mabalozi hao wanaitaka Serikali kutoa hakikisho la mchakato wa kutenda haki kwa raia wake.

Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Agustine Mahiga akizungumza na Mwananchi leo kuhusu tamko hilo amesema wameliona na wanalifanyia kazi.

Mwanadiplomasia huyo amesema wizara yake pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) watakutana kujadili tamko hilo na baada ya hapo Serikali itatoa msimamo.

“Baada ya kukaa kwa pamoja tutatoa taarifa ya Serikali kuhusu tamko hilo la pamoja,” amesema Balozi Mahiga aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Amesema anafahamu tamko hilo linatokana na tukio la hivi karibuni ambalo hakulitaja.
==========

My Take; Angalau Mahiga kajibu kidiplomasia angekuwa yule wangeambiwa Tanzania ni nchi huru wasituingilie.
 
Rais wa Rwanda alishawajibu vizuri sana hao jamaa kuhusu masuala ya haki za binadamu.
1. Kuwa Mwaafrika ndiye kinara wa haki hizo duniani.
2. Kuwa hao jamaa hawana moral authority ya kumfundisha Mwaafrika kuhusu haki hizo ambazo zinatawaliwa na mila na desturi.
3. Kuwa haki za binadamu za hao jamaa na ushoga, kutukana wakubwa zao na mambo mengine ambayo hayavumiliki kwa Mwaafrika. Mzungu anapaswa kujifunza kwetu katika masuala.ya haki za binadamu and not vice versa!
4. Kabendera kutumiwa na gazeti la Uingereza la Economist kuandika habari za kuleta machafuko kwa nchi yetu kwa malipo ya kampuni ya Uingereza ya Acasia, kamwe haliwezi kuvumiliwa na wala haliwezi kuwa kwenye haki za binadamu wa Kiafrika. Acasia wamekuwa wakimlipa Kabendera mabilioni ya pesa kwa shughuli hii baada ya kubanwa kwenye wizi wao wa makenikia. Lengo lao likiwa kuikomesha serikali ya Tanzania. Huu ni uhaini unaopaswa kuzimwa kabla haujaleta madhara. Hichi ndicho serikali ilichofanya kwa kumkamata Kabendera na kumfikisha mahakamani. Pesa hizo za kigeni alizokuwa akilipwa Kabendera hazikulipiwa kodi ya serikali - alikuwa akilipwa kinyemela kama wanavyolipwa wanaotumikia vikundi vya kigaidi hususani Al Akaida. Hii kama siyo money laundering ni nini?

Suala la Kabendera liko mahakamani na hakuna mwenye haki ya kuingilia suala ambalo liko mahakamani, including hao mabalozi wa Uingereza na Marekani. It is a contept of court. Waache sheria zetu zichukue mkondo wake.Wasitake kuifanyia Tanzania kama walivyozifanyia nchi kama Libya.
Mdomo uliponza kichwa.tutakaoumia ni cc wananchi wa kawaida. Nyie wanasiasa mmeshashiba na mnapo pakukimbilia.tumieni diplomasia kujibizana na mataifa makubwa.mkumbuke North Korea, Russia,China na Iran ndo wenye jeuri ya kutunishiana misuli na marekani.
 
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema inalifanyia kazi tamko la pamoja la ubalozi wa Marekani na Uingereza linaloelezea wasiwasi wa kuzorota kwa haki za raia nchini.

Katika tamko hilo lililotoka leo Ijumaa Agosti 9, 2019 mabalozi hao wanaitaka Serikali kutoa hakikisho la mchakato wa kutenda haki kwa raia wake.

Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Agustine Mahiga akizungumza na Mwananchi leo kuhusu tamko hilo amesema wameliona na wanalifanyia kazi.

Mwanadiplomasia huyo amesema wizara yake pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) watakutana kujadili tamko hilo na baada ya hapo Serikali itatoa msimamo.

“Baada ya kukaa kwa pamoja tutatoa taarifa ya Serikali kuhusu tamko hilo la pamoja,” amesema Balozi Mahiga aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Amesema anafahamu tamko hilo linatokana na tukio la hivi karibuni ambalo hakulitaja.
==========

My Take; Angalau Mahiga kajibu kidiplomasia angekuwa yule wangeambiwa Tanzania ni nchi huru wasituingilie.
Mkuu tunajifaragua tu. Ona tukio LA Leo Morogoro watu ni maskini sana. Fire rescue hakuna, ambulance hakuna, wahanga wa moto wanamwagiwa mchanga kwenye vidonda,

alafu eti unawadindia America na UK
Amin nakuambia kuanzia sasa tutakumbwa na majanga mpaka tutawasujudia hao mabeberu watusaidie.

Tusitukane mamba kabla ya kuvuka MTO, sisi bado sana, nawashangaa akina pasco wanawadanganya watu.
 
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema inalifanyia kazi tamko la pamoja la ubalozi wa Marekani na Uingereza linaloelezea wasiwasi wa kuzorota kwa haki za raia nchini.

Katika tamko hilo lililotoka leo Ijumaa Agosti 9, 2019 mabalozi hao wanaitaka Serikali kutoa hakikisho la mchakato wa kutenda haki kwa raia wake.

Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Agustine Mahiga akizungumza na Mwananchi leo kuhusu tamko hilo amesema wameliona na wanalifanyia kazi.

Mwanadiplomasia huyo amesema wizara yake pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) watakutana kujadili tamko hilo na baada ya hapo Serikali itatoa msimamo.

“Baada ya kukaa kwa pamoja tutatoa taarifa ya Serikali kuhusu tamko hilo la pamoja,” amesema Balozi Mahiga aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Amesema anafahamu tamko hilo linatokana na tukio la hivi karibuni ambalo hakulitaja.
==========

My Take; Angalau Mahiga kajibu kidiplomasia angekuwa yule wangeambiwa Tanzania ni nchi huru wasituingilie.
Tulikuja na mbwembwe za SADC sasa waraka wa US na UK umetibua,

Juzi tulitinga combati na kusalimiana na wajeda pale ferry yote ni show off za kijinga tu.

Leo ndo balaa, wale tunaowaita wanyonge kule Morogoro wameungua utadhani ndafu imewekwa kwenye sinia
 
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema inalifanyia kazi tamko la pamoja la ubalozi wa Marekani na Uingereza linaloelezea wasiwasi wa kuzorota kwa haki za raia nchini.

Katika tamko hilo lililotoka leo Ijumaa Agosti 9, 2019 mabalozi hao wanaitaka Serikali kutoa hakikisho la mchakato wa kutenda haki kwa raia wake.

Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Agustine Mahiga akizungumza na Mwananchi leo kuhusu tamko hilo amesema wameliona na wanalifanyia kazi.

Mwanadiplomasia huyo amesema wizara yake pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) watakutana kujadili tamko hilo na baada ya hapo Serikali itatoa msimamo.

“Baada ya kukaa kwa pamoja tutatoa taarifa ya Serikali kuhusu tamko hilo la pamoja,” amesema Balozi Mahiga aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Amesema anafahamu tamko hilo linatokana na tukio la hivi karibuni ambalo hakulitaja.
==========

My Take; Angalau Mahiga kajibu kidiplomasia angekuwa yule wangeambiwa Tanzania ni nchi huru wasituingilie.
Mimacho awavuta kasi na pumzi tu. Akija ibuka ni aibu tupu.
 
Hahahaha mamaa nimekubali kauli za Kagame kasema kweli.
Yani hawa wazungu hujifanya wanalinda haki za binadam ilhali hao ndio wa kwanza kuzivunja.
Wacha tu awachane ukweli inatakiwa ifike kipindi Waafrika tujitambue sisi ni kina nan na tunatakiwa tufanye nn tofauti na kuendeshwa na hawa majamaa.
Inatubid tuue superiority complex mama angu.
Jeuri yote kasababisha mauaji ya kimbari.Ndo unataka yatokee Tz kisa kuonyesha u_kagemu? (kagame =kagemu).
 
Majuzi DSE wamevunja record ya guiness kwa kufunga mahesabu ya siku kwa kuuza hisa zenye thamani ya Tsh.40,000(Elfu arobaini tu).

Kweli 900 itapendeza.
Soko la.hisa lina ups and downs,ndio mana paiktwa sokoni
Kuna siku zinapigwa billions.za kutosha tu
 
Ni sahihi, kwani Tamko la Marekani na UK, lilidai kuwa taratibu za kumfikisha mahakamani Kabendera hazikufuatwa.

Alikamatwa, akahojiwa, akapelekwa mahakamani...hakufungwa.

Kumfikisha mtu mahakamani ni sawa na kumpa haki yake ya msingi ya kujitetea. Yeye ni Mtuhumiwa tu na sio Mfungwa.
 
Inaonekana tumeshaingia kwenye rada za kwenye dunia yaani US na EU kwa muda sasa; Uchaguzi mkuu ujao ndiyo utakiwa mtihani ( Kipimo) wetu wa mwisho tuwe makini.

Tukitengwa na Dunia kwa wiki tu tutaanza kunyonyoana manyoya kwa njaa.

Tanzania kwa 60% bado tunawategemea wadau wetu wakuu wa maendeleo ambao ni US na EU hili halina mjadala.
 
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema inalifanyia kazi tamko la pamoja la ubalozi wa Marekani na Uingereza linaloelezea wasiwasi wa kuzorota kwa haki za raia nchini.

Katika tamko hilo lililotoka leo Ijumaa Agosti 9, 2019 mabalozi hao wanaitaka Serikali kutoa hakikisho la mchakato wa kutenda haki kwa raia wake.

Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Agustine Mahiga akizungumza na Mwananchi leo kuhusu tamko hilo amesema wameliona na wanalifanyia kazi.

Mwanadiplomasia huyo amesema wizara yake pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) watakutana kujadili tamko hilo na baada ya hapo Serikali itatoa msimamo.

“Baada ya kukaa kwa pamoja tutatoa taarifa ya Serikali kuhusu tamko hilo la pamoja,” amesema Balozi Mahiga aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Amesema anafahamu tamko hilo linatokana na tukio la hivi karibuni ambalo hakulitaja.
==========

My Take; Angalau Mahiga kajibu kidiplomasia angekuwa yule wangeambiwa Tanzania ni nchi huru wasituingilie.
Unajua pia kuna busara katika kutokujibu kila kitu
 
Ni sahihi, kwani Tamko la Marekani na UK, lilidai kuwa taratibu za kumfikisha mahakamani Kabendera hazikufuatwa.

Alikamatwa, akahojiwa, akapelekwa mahakamani...hakufungwa.

Kumfikisha mtu mahakamani ni sawa na kumpa haki yake ya msingi ya kujitetea. Yeye ni Mtuhumiwa tu na sio Mfungwa.
Unakamatwa na kupewa kesi ya kuku ukifika mahakamani unapewa ya kuuza bange!!
 
Rwanda ni kanchi kadogo sana hakana impact yyt ni kama kamkoa hapa tz hatuwezi kuishi kwa kuwaiga Rwanda kwa hiyo na Jiwe atawale milele pia kama kagame?

Kwanini atawale milele,
Akili zako kidogo kuna shida. Mwandishi anamuuliza maswali as mwandishi, PK yeye directly anaanza kumshambilia kwa maneno yasio ya kistaarabu.

Ustaraabu ni nini? Hiyo definition ameiweka nani? Kwanini, lazima tuifuate?

Unajua. watu zaidi ya millioni moja wamekufa Rwanda, 5 millioni DRC, Congo.

Tanzania imewapa kazi, makazi, usalama; imewapokea wakimbizi zaidi ya millioni nne kutoka Rwanda, Burundi, DRC. Haki za bin adamu ni zipi?

Tanzania inajua haki za kibidamu. We don't need lecture.
 
Back
Top Bottom