Tanzania kuijibu Marekani, Uingereza

Tanzania kuijibu Marekani, Uingereza

Rais wa Rwanda alishawajibu vizuri sana hao jamaa kuhusu masuala ya haki za binadamu.
1. Kuwa Mwaafrika ndiye kinara wa haki hizo duniani.
2. Kuwa hao jamaa hawana moral authority ya kumfundisha Mwaafrika kuhusu haki hizo ambazo zinatawaliwa na mila na desturi.
3. Kuwa haki za binadamu za hao jamaa na ushoga, kutukana wakubwa zao na mambo mengine ambayo hayavumiliki kwa Mwaafrika. Mzungu anapaswa kujifunza kwetu katika masuala.ya haki za binadamu and not vice versa!
4. Kabendera kutumiwa na gazeti la Uingereza la Economist kuandika habari za kuleta machafuko kwa nchi yetu kwa malipo ya kampuni ya Uingereza ya Acasia, kamwe haliwezi kuvumiliwa na wala haliwezi kuwa kwenye haki za binadamu wa Kiafrika. Acasia wamekuwa wakimlipa Kabendera mabilioni ya pesa kwa shughuli hii baada ya kubanwa kwenye wizi wao wa makenikia. Lengo lao likiwa kuikomesha serikali ya Tanzania. Huu ni uhaini unaopaswa kuzimwa kabla haujaleta madhara. Hichi ndicho serikali ilichofanya kwa kumkamata Kabendera na kumfikisha mahakamani. Pesa hizo za kigeni alizokuwa akilipwa Kabendera hazikulipiwa kodi ya serikali - alikuwa akilipwa kinyemela kama wanavyolipwa wanaotumikia vikundi vya kigaidi hususani Al Akaida. Hii kama siyo money laundering ni nini?

Suala la Kabendera liko mahakamani na hakuna mwenye haki ya kuingilia suala ambalo liko mahakamani, including hao mabalozi wa Uingereza na Marekani. It is a contept of court. Waache sheria zetu zichukue mkondo wake.Wasitake kuifanyia Tanzania kama walivyozifanyia nchi kama Libya.
Umbea ni nini, wakati Kabendera anapewa hela na Acacia ulikuwepo.
 
Ndo na sisi tujifunze kitoa tamko pale haki za raia wa marekani na kwingineko kunako mabeberu zinapovunjwa hasa watu weusi kupigwa risasi ama tukiitwa sh***t hole si kila wakati kukanusha tu kama aliens
 
Duuuuuh...au ndo majibu yenyewe mmeshaanda ndo unatuletea???maana si kwa utetezi huu
Rais wa Rwanda alishawajibu vizuri sana hao jamaa kuhusu masuala ya haki za binadamu.
1. Kuwa Mwaafrika ndiye kinara wa haki hizo duniani.
2. Kuwa hao jamaa hawana moral authority ya kumfundisha Mwaafrika kuhusu haki hizo ambazo zinatawaliwa na mila na desturi.
3. Kuwa haki za binadamu za hao jamaa na ushoga, kutukana wakubwa zao na mambo mengine ambayo hayavumiliki kwa Mwaafrika. Mzungu anapaswa kujifunza kwetu katika masuala.ya haki za binadamu and not vice versa!
4. Kabendera kutumiwa na gazeti la Uingereza la Economist kuandika habari za kuleta machafuko kwa nchi yetu kwa malipo ya kampuni ya Uingereza ya Acasia, kamwe haliwezi kuvumiliwa na wala haliwezi kuwa kwenye haki za binadamu wa Kiafrika. Acasia wamekuwa wakimlipa Kabendera mabilioni ya pesa kwa shughuli hii baada ya kubanwa kwenye wizi wao wa makenikia. Lengo lao likiwa kuikomesha serikali ya Tanzania. Huu ni uhaini unaopaswa kuzimwa kabla haujaleta madhara. Hichi ndicho serikali ilichofanya kwa kumkamata Kabendera na kumfikisha mahakamani. Pesa hizo za kigeni alizokuwa akilipwa Kabendera hazikulipiwa kodi ya serikali - alikuwa akilipwa kinyemela kama wanavyolipwa wanaotumikia vikundi vya kigaidi hususani Al Akaida. Hii kama siyo money laundering ni nini?

Suala la Kabendera liko mahakamani na hakuna mwenye haki ya kuingilia suala ambalo liko mahakamani, including hao mabalozi wa Uingereza na Marekani. It is a contept of court. Waache sheria zetu zichukue mkondo wake.Wasitake kuifanyia Tanzania kama walivyozifanyia nchi kama Libya.
 
Kiboko yao huyu,hacheki na nyani.
Hahahaha mamaa nimekubali kauli za Kagame kasema kweli.
Yani hawa wazungu hujifanya wanalinda haki za binadam ilhali hao ndio wa kwanza kuzivunja.
Wacha tu awachane ukweli inatakiwa ifike kipindi Waafrika tujitambue sisi ni kina nan na tunatakiwa tufanye nn tofauti na kuendeshwa na hawa majamaa.
Inatubid tuue superiority complex mama angu.
 
Saa nyingine you should think using your heard. Within each country kuna katiba. Countries hazipo isolated. There is an organ called UN. Na kila nchi should abide to all UN treaties. If Rwanda or any country violate then it is the responsibility of other members to remind her. Sasa hii huwezi kuiita ni interference of a sovereign state. Think like an intellect na siyo kuongozwa na mahaba.
 
Rais wa Rwanda alishawajibu vizuri sana hao jamaa kuhusu masuala ya haki za binadamu.
1. Kuwa Mwaafrika ndiye kinara wa haki hizo duniani.
2. Kuwa hao jamaa hawana moral authority ya kumfundisha Mwaafrika kuhusu haki hizo ambazo zinatawaliwa na mila na desturi.
3. Kuwa haki za binadamu za hao jamaa na ushoga, kutukana wakubwa zao na mambo mengine ambayo hayavumiliki kwa Mwaafrika. Mzungu anapaswa kujifunza kwetu katika masuala.ya haki za binadamu and not vice versa!
4. Kabendera kutumiwa na gazeti la Uingereza la Economist kuandika habari za kuleta machafuko kwa nchi yetu kwa malipo ya kampuni ya Uingereza ya Acasia, kamwe haliwezi kuvumiliwa na wala haliwezi kuwa kwenye haki za binadamu wa Kiafrika. Acasia wamekuwa wakimlipa Kabendera mabilioni ya pesa kwa shughuli hii baada ya kubanwa kwenye wizi wao wa makenikia. Lengo lao likiwa kuikomesha serikali ya Tanzania. Huu ni uhaini unaopaswa kuzimwa kabla haujaleta madhara. Hichi ndicho serikali ilichofanya kwa kumkamata Kabendera na kumfikisha mahakamani. Pesa hizo za kigeni alizokuwa akilipwa Kabendera hazikulipiwa kodi ya serikali - alikuwa akilipwa kinyemela kama wanavyolipwa wanaotumikia vikundi vya kigaidi hususani Al Akaida. Hii kama siyo money laundering ni nini?

Suala la Kabendera liko mahakamani na hakuna mwenye haki ya kuingilia suala ambalo liko mahakamani, including hao mabalozi wa Uingereza na Marekani. It is a contept of court. Waache sheria zetu zichukue mkondo wake.Wasitake kuifanyia Tanzania kama walivyozifanyia nchi kama Libya.

Wangapi waliuwawa juzi Texas kwenye supermarket. Kosa lao ni nini? Labda tutoe tamko.
 
wacha wajibu hovyo halafu tu-Sadamiwe na ku-Gadafiwa wakolomije washike adabu yao!

Wawajibu tunalaani mauaji yaliyokea hivi karibuni Texas na kwingine.

USA wafuate haki za kibinadamu.

Hovyo ni nini? Sio lazima kuwajibu kisa kibaraka wao.
 
Dada hapana huyu jamaa kauaa.
"you are not judge to tell everybody what to do and what to not do,who are you???!!!!!!"
Yani kagame kaenda mbali kuwaambia Mabeberu wanaongea nonsense.
Daah huyu mchizi kauaa.
Tusisifu sana ya jirani tusubiri majibu ya jiwe tuone.
 
Katika ya Wagonjwa wenye hali mbaya hapa nchini basi ni wewe!
Hivi kweli unapata muda wa kufurahia kuishi kweli? Hivi huwa una furahi hata mara moja?
Mtu unawezaje kuwa na furaha wakati wenzako wanasikitika na wako kwenye majonzi?
Umeliza swali la kipumbavu Sana na hili limekuthibitisha kuwa wewe ni mpumbavu.
Nisamehe Kama nimekukosea.
 
Back
Top Bottom