- Thread starter
- #41
Vipi uko sawasawa kweli au weekend imeshaanza.Wawaj8bu hivi tunalaani mauajib
Tunaweza kusaidia uchunguzi. Hivi lipi ni tukio kubwa
Hovyo ni nini? Sio lazima kuwajibu kisa kibaraka wao.
Vipi uko sawasawa kweli au weekend imeshaanza.Wawaj8bu hivi tunalaani mauajib
Tunaweza kusaidia uchunguzi. Hivi lipi ni tukio kubwa
Hovyo ni nini? Sio lazima kuwajibu kisa kibaraka wao.
Vipi uko sawasawa kweli au weekend imeanza.
Mkuu kuna uwajibishaji wa kiongozi akienda kinyume na katiba kulingana na UN treaties km alivyofanyiwa Uhuru Kenyatta.Saa nyingine you should think using your heard. Within each country kuna katiba. Countries hazipo isolated. There is an organ called UN. Na kila nchi should abide to all UN treaties. If Rwanda or any country violate then it is the responsibility of other members to remind her. Sasa hii huwezi kuiita ni interference of a sovereign state. Think like an intellect na siyo kuongozwa na mahaba.
Venezuela iko Afrika mbona nayo inaingiliwa.Mkuu kuna uwajibishaji wa kiongozi akienda kinyume na katiba kulingana na UN treaties km alivyofanyiwa Uhuru Kenyatta.
Ila kusema ukweli hawa jamaa huingilia internal sovereignty za watu kuliko kuwajibisha viongozi wanapoenda kinyume.
Na kwann iwe Africa tuu???
Kuna mataifa yana violate human rights kindaki ndaki ikiwemo Myanmar ila husikii kiongozi wake akishurutishwa.
Kwann iwe Africa tuu ??!!
Venezuela iko Afrika mbona nayo inaingiliwa.
Mkuu namaanisha sana sana Africa labda nirekebishe kauli.Venezuela iko Afrika mbona nayo inaingiliwa.
Natamani kuyaona haya mabeberu yakiingia kwenye lile zizi la majike na kuyabugudhi, kuyapiga na kuyafurumua balaa.Rais wa Rwanda alishawajibu vizuri sana hao jamaa kuhusu masuala ya haki za binadamu.
1. Kuwa Mwaafrika ndiye kinara wa haki hizo duniani.
2. Kuwa hao jamaa hawana moral authority ya kumfundisha Mwaafrika kuhusu haki hizo ambazo zinatawaliwa na mila na desturi.
3. Kuwa haki za binadamu za hao jamaa na ushoga, kutukana wakubwa zao na mambo mengine ambayo hayavumiliki kwa Mwaafrika. Mzungu anapaswa kujifunza kwetu katika masuala.ya haki za binadamu and not vice versa!
4. Kabendera kutumiwa na gazeti la Uingereza la Economist kuandika habari za kuleta machafuko kwa nchi yetu kwa malipo ya kampuni ya Uingereza ya Acasia, kamwe haliwezi kuvumiliwa na wala haliwezi kuwa kwenye haki za binadamu wa Kiafrika. Acasia wamekuwa wakimlipa Kabendera mabilioni ya pesa kwa shughuli hii baada ya kubanwa kwenye wizi wao wa makenikia. Lengo lao likiwa kuikomesha serikali ya Tanzania. Huu ni uhaini unaopaswa kuzimwa kabla haujaleta madhara. Hichi ndicho serikali ilichofanya kwa kumkamata Kabendera na kumfikisha mahakamani. Pesa hizo za kigeni alizokuwa akilipwa Kabendera hazikulipiwa kodi ya serikali - alikuwa akilipwa kinyemela kama wanavyolipwa wanaotumikia vikundi vya kigaidi hususani Al Akaida. Hii kama siyo money laundering ni nini?
Suala la Kabendera liko mahakamani na hakuna mwenye haki ya kuingilia suala ambalo liko mahakamani, including hao mabalozi wa Uingereza na Marekani. It is a contept of court. Waache sheria zetu zichukue mkondo wake.Wasitake kuifanyia Tanzania kama walivyozifanyia nchi kama Libya.
Vodacom wataongeza wafanyakazi kwakuwa matamko yamewapa kiki zaidi ...Ni aibu ! wiki ijayo huenda voda wakatangaza kupunguza 75% ya wafanyakazi , unaambiwa ni kimbembe !
Kagame hua anavuta bangi,kuna siku aliwaambia wazungu nyie mnasema haki za binadamu lkn si ni nyie wakimbizi wakitoka libya na sehemu nyinginezo wakiwa kwny maboti yao wakikaribia kwny nchi zenu mnawatumia coastguards wenu na kuwazuia wasiingie nchini kwenu na mnawaacha wanafia baharini mpk maiti zinakuja ufukweni kwny nchi zenu?Rais wa Rwanda alishawajibu vizuri sana hao jamaa kuhusu masuala ya haki za binadamu.
1. Kuwa Mwaafrika ndiye kinara wa haki hizo duniani.
2. Kuwa hao jamaa hawana moral authority ya kumfundisha Mwaafrika kuhusu haki hizo ambazo zinatawaliwa na mila na desturi.
3. Kuwa haki za binadamu za hao jamaa na ushoga, kutukana wakubwa zao na mambo mengine ambayo hayavumiliki kwa Mwaafrika. Mzungu anapaswa kujifunza kwetu katika masuala.ya haki za binadamu and not vice versa!
4. Kabendera kutumiwa na gazeti la Uingereza la Economist kuandika habari za kuleta machafuko kwa nchi yetu kwa malipo ya kampuni ya Uingereza ya Acasia, kamwe haliwezi kuvumiliwa na wala haliwezi kuwa kwenye haki za binadamu wa Kiafrika. Acasia wamekuwa wakimlipa Kabendera mabilioni ya pesa kwa shughuli hii baada ya kubanwa kwenye wizi wao wa makenikia. Lengo lao likiwa kuikomesha serikali ya Tanzania. Huu ni uhaini unaopaswa kuzimwa kabla haujaleta madhara. Hichi ndicho serikali ilichofanya kwa kumkamata Kabendera na kumfikisha mahakamani. Pesa hizo za kigeni alizokuwa akilipwa Kabendera hazikulipiwa kodi ya serikali - alikuwa akilipwa kinyemela kama wanavyolipwa wanaotumikia vikundi vya kigaidi hususani Al Akaida. Hii kama siyo money laundering ni nini?
Suala la Kabendera liko mahakamani na hakuna mwenye haki ya kuingilia suala ambalo liko mahakamani, including hao mabalozi wa Uingereza na Marekani. It is a contept of court. Waache sheria zetu zichukue mkondo wake.Wasitake kuifanyia Tanzania kama walivyozifanyia nchi kama Libya.
Mkuu namaanisha sana sana Africa labda nirekebishe kauli.
Mostly African countries bro.
Kagame hua anavuta bangi,kuna siku aliwaambia wazungu nyie mnasema haki za binadamu lkn si ni nyie wakimbizi wakitoka libya na sehemu nyinginezo wakiwa kwny maboti yao wakikaribia kwny nchi zenu mnawatumia coastguards wenu na kuwazuia wasiingie nchini kwenu na mnawaacha wanafia baharini mpk maiti zinakuja ufukweni kwny nchi zenu?
Then mnaongelea haki zipi za binadamu?
Anyway sio kila kitu ni cha kuiga.
Kujibu nini sasa ? Hao ni wa kupuuzwa tu. Kagame kishasema who are they?Atakuja kutusaidia kujibu au mimi sijakuelewa.
Km Myanmar iliwekewa vikwazo vipi???Unajua wenyewe hawajahi kuwekwewa vikwazo. Wanawawekea wengine.
Wangapi waliuwawa juzi Texas kwenye supermarket. Kosa lao ni nini? Labda tutoe tamko.
Leave Kagame for Rwandese talk for Tanzanian Kagame hata angesemaje hatowasaidia watanzania.Kujibu nini sasa ? Hao ni wa kupuuzwa tu. Kagame kishasema who are they?
..wale hawakuuwawa na vyombo vya serekali.
..waliuawa na mwananchi wa kawaida aliyekuwa na silaha.
..na Wamarekani wanajadiliana kwa uwazi kuhusu masuala ya umiliki wa silaha usio na udhibiti.
..wako baadhi yao wanaamini unasababisha silaha ziangukie mikononi mwa wasiostahili.
..Na katika tukio lile vyombo vya serekali vilichukua hatua za haraka kurejesha usalama, na kumkamata mtuhumiwa.
..hapa kwetu wanaotuhumiwa kufanya ukatili ni vyombo vya serekali. Na kibaya zaidi serekali haionyeshi kukerwa na hali hiyo, na haichukui hatua.
Watasema nini move yao yakudai taarifa ni fake imebuma, wengine wamebaki kumpongeza Kagame.!
!
Kwa Haraka Haraka Naona Watu Wa Lumumba Wamebadili Strategy Humu Mitandaoni. Kwa Sasa Wao Ni Kuwashambilia Wanaopingana Nao Kwa Kuwaambia Wana Stress Hawana Furaha Na Mambo Kama Hayo.