Soma post 121 kuna dozi yake huko.
Yani umeongea utumbo mtupu.
Hao wazungu uliowasifia wanatunyonya kupitia hiyo misaada na mikopo unayoisemea.
Wale jamaa ukiunda nao urafiki jua ipo siku taifa lako halikaliki.
Itizame Libya kutoka wonderful state into failed state.
We wasema kuwa eti wana mema mengi we jamaa ungeenda kuichunguza concept ya neocolonialism ungeelewa hawa wana mabaya kisedeee kuliko unavyowapaisha.
Huwez kusema bora kutawaliwa na wao ilhali ni wezi wa rasilimali na wanaenda kujenga kwao.
Hawachelewi kugeuza mataifa ya watu viwanja vya vita na majaribio ya silaha example Iraq,Syria,Libya.
Hawachelewi kupindua serikali yako na kupandikiza vibaraka kwa kupandikiza revolution example Venezuela and Turkey.
Hawa wana wema gani wafadhili wa IS,Taliban waharibu haki za kibinadam kwa kuharibu aman ya mataifa mbali mbali for their geopolitical interests????
Umejazwa kasumba ww.
Haiwezekan ww unatia shaba za kichwa raia wako kisa weusi then uje unirekebishe mm kuhusu haki za binadam.
Ni sawa na mchungaji anazini wazi wazi then awaambie waumin achen uzinzi ilhali yajulikana yey mzinzi wazi wazi.
We jamaa umejazwa kasumba huwajui vema hawa chui waliovaa ngozi za kondoo.