ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,452
- 5,670
..tutendeane HAKI.
Kabisa 100% tupo pamoja kuhusu haki.
..tutendeane HAKI.
Akili zako kidogo kuna shida. Mwandishi anamuuliza maswali as mwandishi, PK yeye directly anaanza kumshambilia kwa maneno yasio ya kistaarabu.Kiboko yao huyu,hacheki na nyani.
Hio interview umeiangalia yote?Akili zako kidogo kuna shida. Mwandishi anamuuliza maswali as mwandishi, PK yeye directly anaanza kumshambilia kwa maneno yasio ya kistaarabu.
Katika ya Wagonjwa wenye hali mbaya hapa nchini basi ni wewe!
Hivi kweli unapata muda wa kufurahia kuishi kweli? Hivi huwa una furahi hata mara moja?
Wangerushiwa mimate mpaka wakomeWangekutana na mtu mropokaji kama Kabudi sijui wangejibiwa vipi
Ccm oyeee
Heheheh
Jiwe kanuna kweli
Ukute keshamuuliza Mahiga kwani tukiwafukuza hawa nini kitatokea maana wanatuingilia
Au tukawateke?









Kama Kagame ndio kawa role model wetu, basi inasikitisha sana! Watu waliouwana kwa sababu ya ukabila tu kwa malaki, leo ndio tunawaona ndio wa kuwaiga, nchi imeisha!Good question, in the end.by Kagame ask them who are you?
Hao wapiga debe tu afu safari hawaendi.Vipi zoezi la kutupa simcard za vodacom,limefikia wapi
Hivi kwanini tunatumia nguvu nyingi kujieleza wakati hatujazoea na hoja zenyewe hatuna?Rais wa Rwanda alishawajibu vizuri sana hao jamaa kuhusu masuala ya haki za binadamu.
1. Kuwa Mwaafrika ndiye kinara wa haki hizo duniani.
2. Kuwa hao jamaa hawana moral authority ya kumfundisha Mwaafrika kuhusu haki hizo ambazo zinatawaliwa na mila na desturi.
3. Kuwa haki za binadamu za hao jamaa na ushoga, kutukana wakubwa zao na mambo mengine ambayo hayavumiliki kwa Mwaafrika. Mzungu anapaswa kujifunza kwetu katika masuala.ya haki za binadamu and not vice versa!
4. Kabendera kutumiwa na gazeti la Uingereza la Economist kuandika habari za kuleta machafuko kwa nchi yetu kwa malipo ya kampuni ya Uingereza ya Acasia, kamwe haliwezi kuvumiliwa na wala haliwezi kuwa kwenye haki za binadamu wa Kiafrika. Acasia wamekuwa wakimlipa Kabendera mabilioni ya pesa kwa shughuli hii baada ya kubanwa kwenye wizi wao wa makenikia. Lengo lao likiwa kuikomesha serikali ya Tanzania. Huu ni uhaini unaopaswa kuzimwa kabla haujaleta madhara. Hichi ndicho serikali ilichofanya kwa kumkamata Kabendera na kumfikisha mahakamani. Pesa hizo za kigeni alizokuwa akilipwa Kabendera hazikulipiwa kodi ya serikali - alikuwa akilipwa kinyemela kama wanavyolipwa wanaotumikia vikundi vya kigaidi hususani Al Akaida. Hii kama siyo money laundering ni nini?
Suala la Kabendera liko mahakamani na hakuna mwenye haki ya kuingilia suala ambalo liko mahakamani, including hao mabalozi wa Uingereza na Marekani. It is a contept of court. Waache sheria zetu zichukue mkondo wake.Wasitake kuifanyia Tanzania kama walivyozifanyia nchi kama Libya.



Akajibiwa tutanunua mkate kwa milioni 2, akaufyataHeheheh
Jiwe kanuna kweli
Ukute keshamuuliza Mahiga kwani tukiwafukuza hawa nini kitatokea maana wanatuingilia
Au tukawateke?
Hahahaha mamaa nimekubali kauli za Kagame kasema kweli.
Yani hawa wazungu hujifanya wanalinda haki za binadam ilhali hao ndio wa kwanza kuzivunja.
Wacha tu awachane ukweli inatakiwa ifike kipindi Waafrika tujitambue sisi ni kina nan na tunatakiwa tufanye nn tofauti na kuendeshwa na hawa majamaa.
Inatubid tuue superiority complex mama angu.
Mkuu kuna uwajibishaji wa kiongozi akienda kinyume na katiba kulingana na UN treaties km alivyofanyiwa Uhuru Kenyatta.
Ila kusema ukweli hawa jamaa huingilia internal sovereignty za watu kuliko kuwajibisha viongozi wanapoenda kinyume.
Na kwann iwe Africa tuu???
Kuna mataifa yana violate human rights kindaki ndaki ikiwemo Myanmar ila husikii kiongozi wake akishurutishwa.
Kwann iwe Africa tuu ??!!
Km Myanmar iliwekewa vikwazo vipi???
Hakunnaaa
Mbona unachagua zile za kuhusu maendeleo ya barabara ya kimara hadi kibaha huwezi leta bali za kiusaliti tuKazi yangu ni habari na hobby yangu ni habari.
Mafisadi mpaka waache ufisadi wao haturudi nyuma! Hapa kazi tu!Pamoja na stress za mhusika nakukumbusha tu kwanba damu za Watanzania wenzenu jaribuni angalau ziwakinai sasa...
Hiyo ndo shida ya kutojitambua. Wapi kwenye katiba ya ulaya na marekani iliruhusu ubaguzi wa Rangi, wazungu hawa walianza kutupenda lini kama walitufanya watumwa na kututesa kwa miaka mingi na baadae kututawala chini ya ukoloni. Hizo ndio human rights wanazotupigia kelele? Kuwaua kina Kwame nkrumah na kuwatesa kina Mandela was it right. Kama wanaheshimu human rights kwa dhati, leo hii Iraq, Iran, Congo, Libya, Yemen, Syria watoto, wanawake na wengine wasio na hatia wangekua Hai leo. Eti human rights wakati wanaendesha gereza la Guantanamo bay, unadhani kuna haki za binadamu huko? Waandishi wa habari marekani wanatafutwa ili kufunguliwa mashtaka. Watoa taarifa za uhuni wa nchi zao wanasakwa wafunguliwe makosa ya uhaini. Huzijui nchi zao zinavyoendeshwa so acha kuropoka. Kagame is right, wajisafishe wao kwanza ndipo waanze kutuhubiria hayo mambo yao.Saa nyingine you should think using your heard. Within each country kuna katiba. Countries hazipo isolated. There is an organ called UN. Na kila nchi should abide to all UN treaties. If Rwanda or any country violate then it is the responsibility of other members to remind her. Sasa hii huwezi kuiita ni interference of a sovereign state. Think like an intellect na siyo kuongozwa na mahaba.
Wewe huwa unaleta zipi, habari ni habari tu nzuri mbaya ni habari, za kupongeza za usaliti zote habari.Mbona unachagua zile za kuhusu maendeleo ya barabara ya kimara hadi kibaha huwezi leta bali za kiusaliti tu