Tanzania kuijibu Marekani, Uingereza

Tanzania kuijibu Marekani, Uingereza

Kama Kagame ndio kawa role model wetu, basi inasikitisha sana! Watu waliouwana kwa sababu ya ukabila tu kwa malaki, leo ndio tunawaona ndio wa kuwaiga, nchi imeisha!
Waliuana kwa ukabila ni kweli kabisa. But kabla hujamtukana kagame unatakiwa ujiulize maswali kadhaa kabla ya kuropoka. Nani aliituliza Hali hiyo ya kuuana. Je hayo makabila hayapo kwa sasa. Then tafuta rekodi ya Rwanda kwenye ukuaji wa uchumi wake, usawa wa kijinsia, majiji masafi duniani, nchi zenye viwango vidogo vya uhalifu na Rushwa. Utapata majibu.
 
Kama ambavyo mke wako akichepuka mnayamaliza ndani kwa ndani, hivyo hivyo hata habari mbaya siwezi kuiandika na kuishabikia. Wewe kinara wa kushabikia mapungufu hasa ya Magufuli kiasi nina wasiwasi hata nkeo akikojoa kitandani Kwa bahati mbaya utautangazia ulikwengu. Jirekebishe
Kwahiyo Magufuli anakojoa kitandani???? tusiseme?
 
Mtu yoyote anayefanya jitihada za kuzuia uovu tunamuunga mkono bila kujali ni mzungu au mwafrika. Tunawapongeza US na UK kwa kukemea uovu.
Kweli kabisa. Marekani waache kupiga bomu kwa kutumia drones kwenye harusi au sherehe za kifamilia ili kumuua gaidi mmoja.
 
Rais wa Rwanda alishawajibu vizuri sana hao jamaa kuhusu masuala ya haki za binadamu.
1. Kuwa Mwaafrika ndiye kinara wa haki hizo duniani.
2. Kuwa hao jamaa hawana moral authority ya kumfundisha Mwaafrika kuhusu haki hizo ambazo zinatawaliwa na mila na desturi.
3. Kuwa haki za binadamu za hao jamaa na ushoga, kutukana wakubwa zao na mambo mengine ambayo hayavumiliki kwa Mwaafrika. Mzungu anapaswa kujifunza kwetu katika masuala.ya haki za binadamu and not vice versa!
4. Kabendera kutumiwa na gazeti la Uingereza la Economist kuandika habari za kuleta machafuko kwa nchi yetu kwa malipo ya kampuni ya Uingereza ya Acasia, kamwe haliwezi kuvumiliwa na wala haliwezi kuwa kwenye haki za binadamu wa Kiafrika. Acasia wamekuwa wakimlipa Kabendera mabilioni ya pesa kwa shughuli hii baada ya kubanwa kwenye wizi wao wa makenikia. Lengo lao likiwa kuikomesha serikali ya Tanzania. Huu ni uhaini unaopaswa kuzimwa kabla haujaleta madhara. Hichi ndicho serikali ilichofanya kwa kumkamata Kabendera na kumfikisha mahakamani. Pesa hizo za kigeni alizokuwa akilipwa Kabendera hazikulipiwa kodi ya serikali - alikuwa akilipwa kinyemela kama wanavyolipwa wanaotumikia vikundi vya kigaidi hususani Al Akaida. Hii kama siyo money laundering ni nini?
Suala la Kabendera liko mahakamani na hakuna mwenye haki ya kuingilia suala ambalo liko mahakamani, including hao mabalozi wa Uingereza na Marekani. It is a contept of court. Waache sheria zetu zichukue mkondo wake.Wasitake kuifanyia Tanzania kama walivyozifanyia nchi kama Libya.
Ni kweli
 
Mwehu wewe kwa hiyo unataka tuingiliwe?
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema inalifanyia kazi tamko la pamoja la ubalozi wa Marekani na Uingereza linaloelezea wasiwasi wa kuzorota kwa haki za raia nchini.

Katika tamko hilo lililotoka leo Ijumaa Agosti 9, 2019 mabalozi hao wanaitaka Serikali kutoa hakikisho la mchakato wa kutenda haki kwa raia wake.

Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Agustine Mahiga akizungumza na Mwananchi leo kuhusu tamko hilo amesema wameliona na wanalifanyia kazi.

Mwanadiplomasia huyo amesema wizara yake pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) watakutana kujadili tamko hilo na baada ya hapo Serikali itatoa msimamo.

“Baada ya kukaa kwa pamoja tutatoa taarifa ya Serikali kuhusu tamko hilo la pamoja,” amesema Balozi Mahiga aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Amesema anafahamu tamko hilo linatokana na tukio la hivi karibuni ambalo hakulitaja.
==========

My Take; Angalau Mahiga kajibu kidiplomasia angekuwa yule wangeambiwa Tanzania ni nchi huru wasituingilie.
 
Waliuana kwa ukabila ni kweli kabisa. But kabla hujamtukana kagame unatakiwa ujiulize maswali kadhaa kabla ya kuropoka. Nani aliituliza Hali hiyo ya kuuana. Je hayo makabila hayapo kwa sasa. Then tafuta rekodi ya Rwanda kwenye ukuaji wa uchumi wake, usawa wa kijinsia, majiji masafi duniani, nchi zenye viwango vidogo vya uhalifu na Rushwa. Utapata majibu.
Hujaitendea haki username yako. Sehemu gani nimemtukana Kagame? Jambo la pili ni kuwa Rwanda haiwezi kuwa role model yetu kwa sababu ya ukubwa na wengi wa watu wake. Tumewazidi haipungui mara 6 kwa idadi ya watu na ukubwa wa eneo. Ni sawa na wewe kuwa na watoto 12 n jirani yako ana watoto 2 wakike na wakiume halafu mtoto wako mmoja anakwambia baba mbona jirani zetu kila mmoja analala chumba chake peke yake?
 
Rais wa Rwanda alishawajibu vizuri sana hao jamaa kuhusu masuala ya haki za binadamu.
1. Kuwa Mwaafrika ndiye kinara wa haki hizo duniani.
2. Kuwa hao jamaa hawana moral authority ya kumfundisha Mwaafrika kuhusu haki hizo ambazo zinatawaliwa na mila na desturi.
3. Kuwa haki za binadamu za hao jamaa na ushoga, kutukana wakubwa zao na mambo mengine ambayo hayavumiliki kwa Mwaafrika. Mzungu anapaswa kujifunza kwetu katika masuala.ya haki za binadamu and not vice versa!
4. Kabendera kutumiwa na gazeti la Uingereza la Economist kuandika habari za kuleta machafuko kwa nchi yetu kwa malipo ya kampuni ya Uingereza ya Acasia, kamwe haliwezi kuvumiliwa na wala haliwezi kuwa kwenye haki za binadamu wa Kiafrika. Acasia wamekuwa wakimlipa Kabendera mabilioni ya pesa kwa shughuli hii baada ya kubanwa kwenye wizi wao wa makenikia. Lengo lao likiwa kuikomesha serikali ya Tanzania. Huu ni uhaini unaopaswa kuzimwa kabla haujaleta madhara. Hichi ndicho serikali ilichofanya kwa kumkamata Kabendera na kumfikisha mahakamani. Pesa hizo za kigeni alizokuwa akilipwa Kabendera hazikulipiwa kodi ya serikali - alikuwa akilipwa kinyemela kama wanavyolipwa wanaotumikia vikundi vya kigaidi hususani Al Akaida. Hii kama siyo money laundering ni nini?

Suala la Kabendera liko mahakamani na hakuna mwenye haki ya kuingilia suala ambalo liko mahakamani, including hao mabalozi wa Uingereza na Marekani. It is a contept of court. Waache sheria zetu zichukue mkondo wake.Wasitake kuifanyia Tanzania kama walivyozifanyia nchi kama Libya.
we kweli fala unajilinganisha wewe Sokwe na binadamu waliostaarabika kama Wazungu??
 
Heheheh
Jiwe kanuna kweli
Ukute keshamuuliza Mahiga kwani tukiwafukuza hawa nini kitatokea maana wanatuingilia
Au tukawateke?
😂😂😂 Tuwateke au tuwatengenezee filamu ya ngono 😂😂😂
 
Muulize Jiwe mwenye frustrations na sio mimi!!
Hawa watu ni wa kuhurumia mkuu. Wanadhani kuutetea ukweli ni jambo LA kukosesha furaha kama wao watetea uongo,uovu na dhambi. Hebu waangalie sura ya Mbowe, Lissu,Zitto na wengine wa kundi hilo. Pamoja na kuishi katika kukandamizwa,kujeruhiwa kukamatwa hovyo na mateso mbalimbali lakini tabasamu usoni mwao haliishi na wana amani moyoni huku jamii ikiwaonyesha upendo wa kweli sio huo wa kwao wa kinafiki.
 
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema inalifanyia kazi tamko la pamoja la ubalozi wa Marekani na Uingereza linaloelezea wasiwasi wa kuzorota kwa haki za raia nchini.

Katika tamko hilo lililotoka leo Ijumaa Agosti 9, 2019 mabalozi hao wanaitaka Serikali kutoa hakikisho la mchakato wa kutenda haki kwa raia wake.

Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Agustine Mahiga akizungumza na Mwananchi leo kuhusu tamko hilo amesema wameliona na wanalifanyia kazi.

Mwanadiplomasia huyo amesema wizara yake pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) watakutana kujadili tamko hilo na baada ya hapo Serikali itatoa msimamo.

“Baada ya kukaa kwa pamoja tutatoa taarifa ya Serikali kuhusu tamko hilo la pamoja,” amesema Balozi Mahiga aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Amesema anafahamu tamko hilo linatokana na tukio la hivi karibuni ambalo hakulitaja.
==========

My Take; Angalau Mahiga kajibu kidiplomasia angekuwa yule wangeambiwa Tanzania ni nchi huru wasituingilie.
Genge la
Wahalifu ndani ya serikali ya awamu ya 5 wanamtesa Balozi mahiga
 
Rais wa Rwanda alishawajibu vizuri sana hao jamaa kuhusu masuala ya haki za binadamu.
1. Kuwa Mwaafrika ndiye kinara wa haki hizo duniani.
2. Kuwa hao jamaa hawana moral authority ya kumfundisha Mwaafrika kuhusu haki hizo ambazo zinatawaliwa na mila na desturi.
3. Kuwa haki za binadamu za hao jamaa na ushoga, kutukana wakubwa zao na mambo mengine ambayo hayavumiliki kwa Mwaafrika. Mzungu anapaswa kujifunza kwetu katika masuala.ya haki za binadamu and not vice versa!
4. Kabendera kutumiwa na gazeti la Uingereza la Economist kuandika habari za kuleta machafuko kwa nchi yetu kwa malipo ya kampuni ya Uingereza ya Acasia, kamwe haliwezi kuvumiliwa na wala haliwezi kuwa kwenye haki za binadamu wa Kiafrika. Acasia wamekuwa wakimlipa Kabendera mabilioni ya pesa kwa shughuli hii baada ya kubanwa kwenye wizi wao wa makenikia. Lengo lao likiwa kuikomesha serikali ya Tanzania. Huu ni uhaini unaopaswa kuzimwa kabla haujaleta madhara. Hichi ndicho serikali ilichofanya kwa kumkamata Kabendera na kumfikisha mahakamani. Pesa hizo za kigeni alizokuwa akilipwa Kabendera hazikulipiwa kodi ya serikali - alikuwa akilipwa kinyemela kama wanavyolipwa wanaotumikia vikundi vya kigaidi hususani Al Akaida. Hii kama siyo money laundering ni nini?

Suala la Kabendera liko mahakamani na hakuna mwenye haki ya kuingilia suala ambalo liko mahakamani, including hao mabalozi wa Uingereza na Marekani. It is a contept of court. Waache sheria zetu zichukue mkondo wake.Wasitake kuifanyia Tanzania kama walivyozifanyia nchi kama Libya.
Makala za jarida LA economist tumezisoma hakuna pahala mwandishi ameandika uongo, kila alichokiandika ni kweli tupu.

Pili mbona serikali imekubali acaccia iuzwe bure kwa baricki kabla ya mgogoro kuisha

Kupitia mlango wa nyuma tumeona makubaliano mapya ya barick na serikali ambayo hayazingatii zile sheria mlizopitisha kwa hati ya dharula,

Kawadanganye maccm wenzio majinga
 
Hiyo ndo shida ya kutojitambua. Wapi kwenye katiba ya ulaya na marekani iliruhusu ubaguzi wa Rangi, wazungu hawa walianza kutupenda lini kama walitufanya watumwa na kututesa kwa miaka mingi na baadae kututawala chini ya ukoloni. Hizo ndio human rights wanazotupigia kelele? Kuwaua kina Kwame nkrumah na kuwatesa kina Mandela was it right. Kama wanaheshimu human rights kwa dhati, leo hii Iraq, Iran, Congo, Libya, Yemen, Syria watoto, wanawake na wengine wasio na hatia wangekua Hai leo. Eti human rights wakati wanaendesha gereza la Guantanamo bay, unadhani kuna haki za binadamu huko? Waandishi wa habari marekani wanatafutwa ili kufunguliwa mashtaka. Watoa taarifa za uhuni wa nchi zao wanasakwa wafunguliwe makosa ya uhaini. Huzijui nchi zao zinavyoendeshwa so acha kuropoka. Kagame is right, wajisafishe wao kwanza ndipo waanze kutuhubiria hayo mambo yao.
Ila watu hili hawalioni bro wanamsafiiisha huyo US na UK sijui km kina nani ??!!!
 
Yaani imebidi UK na USA wapige collable dadadeki ili kama msala uwe wao wote ....
 
Bro maelezo yako yananikosha sana aisee.
Tena saanaaa
Uko sahihi bado. Kwa ufupi nchi zote ambazo zitaathiri maslahi ya watu wa magharibi hasa maslahi ya kiuchumi, zitashughulikiwa. Ikiwemo venezuela ambayo best zao ni warusi ambao ni maadui wa marekani. Waafrika tunasahau haraka sana. Tunasahau kuwa mobutu seseseko alikuwa dikteta, muuaji na Kila aina ya ubaya alikuwa nao, lakini bado alikuwa kipenzi cha wazungu. Do you know why? Jibu ni simple tu, alikuwa akisaidia wazungu kuiibia Africa hasa Congo. Leo tumepata hasara kuwa na wasomi wasioamka kifikra wakisahau kuwa kutangulia sio kufika. Wazungu kututangulia haimaanishi wao watakuwa juu milele.
 
Sitarajii majibu yoyote ya maana bali kinyume chake.

Najua wataendelea kuharibu tu kupitia majibu yao.

Mimi natarajia majibu ya maana...Kama huwaamini viongozi wetu wa serikali wape ushauri wa nini cha kujibu..waandikie wajibu vipi na upost hummu huo ushauri wako ili tuone na sisi kamaushauri na majibu yako ni ya maana.....
 
Back
Top Bottom