kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,319
- 13,385
Kwani amekula na kukutangaza?Msaliti on watch!
Kwani amekula na kukutangaza?Msaliti on watch!
Hatujalipwa NduguJe hicho tulichokuwa tunakipigania( trilion490) tumelipwa???
angewatolea macho kama anakata gogo huku yupo constipatedWangekutana na mtu mropokaji kama Kabudi sijui wangejibiwa vipi
Ccm oyeee
Yaani ningewashukuruje!!!Mbona mnamchelewesha huyo Jiwe UK, USA mkomesheni haraka atie akili.
Mambo mengine hayahitaji uanaharakatiNi aibu ! wiki ijayo huenda voda wakatangaza kupunguza 75% ya wafanyakazi , unaambiwa ni kimbembe !
WATANZANIA TUMEKUWA TUNACHEZA SANA NA THEORY ZA KUONGOZA MIFUMO YA NCHI IKIWA NI PAMOJA NA KUONGOZA SEKTA MBALIMBALI NA KUJIPA MAISHA MAGUMU BILA SABABU ZA MASINGI JAMBO LA KUJIULIZA NINI MAANA YA SEKTA BINAFSI KATIKA UANDAAJI WA SERIKALI YA VIWANDA?Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema inalifanyia kazi tamko la pamoja la ubalozi wa Marekani na Uingereza linaloelezea wasiwasi wa kuzorota kwa haki za raia nchini.
Katika tamko hilo lililotoka leo Ijumaa Agosti 9, 2019 mabalozi hao wanaitaka Serikali kutoa hakikisho la mchakato wa kutenda haki kwa raia wake.
Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Agustine Mahiga akizungumza na Mwananchi leo kuhusu tamko hilo amesema wameliona na wanalifanyia kazi.
Mwanadiplomasia huyo amesema wizara yake pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) watakutana kujadili tamko hilo na baada ya hapo Serikali itatoa msimamo.
“Baada ya kukaa kwa pamoja tutatoa taarifa ya Serikali kuhusu tamko hilo la pamoja,” amesema Balozi Mahiga aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Amesema anafahamu tamko hilo linatokana na tukio la hivi karibuni ambalo hakulitaja.
==========
My Take; Angalau Mahiga kajibu kidiplomasia angekuwa yule wangeambiwa Tanzania ni nchi huru wasituingilie.
WATANZANIA TUMEKUWA TUNACHEZA SANA NA THEORY ZA KUONGOZA MIFUMO YA NCHI IKIWA NI PAMOJA NA KUONGOZA SEKTA MBALIMBALI NA KUJIPA MAISHA MAGUMU BILA SABABU ZA MASINGI JAMBO LA KUJIULIZA NINI MAANA YA SEKTA BINAFSI KATIKA UANDAAJI WA SERIKALI YA VIWANDA?Yaani ningewashukuruje!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu bwana huwa namuonea huruma sana.Katika ya Wagonjwa wenye hali mbaya hapa nchini basi ni wewe!
Hivi kweli unapata muda wa kufurahia kuishi kweli? Hivi huwa una furahi hata mara moja?
How do you know that he is constipated mkuu ?angewatolea macho kama anakata gogo huku yupo constipated
tuliza testicles mkuu sio kila kitu lazima uelewe....How do you know that he is constipated mkuu ?
Mkuu kuna uwajibishaji wa kiongozi akienda kinyume na katiba kulingana na UN treaties km alivyofanyiwa Uhuru Kenyatta.
Ila kusema ukweli hawa jamaa huingilia internal sovereignty za watu kuliko kuwajibisha viongozi wanapoenda kinyume.
Na kwann iwe Africa tuu???
Kuna mataifa yana violate human rights kindaki ndaki ikiwemo Myanmar ila husikii kiongozi wake akishurutishwa.
Kwann iwe Africa tuu ??!!
Usiropoke mkuu.Waafrika mmezidi.