mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,410
- 3,881
Tanzania ina nafasi kubwa katika nchi za maziwa makuu. Ikiwa itatoa tamko kuhusu Rwanda na waasi wa M23 itasaidia sana. sijui intelljinsia ya tz ikoje kwa sasa na kwa nini isijue hali ilivyo huko. kama inajua na kisha kuamua kukaa kimya basi hilo ni kosa la kushindwa kutimiza wajibu.