ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 43,662
- 90,137
Haijalishi, naomba mawasiliano yake tafadhali. Huenda akaniongoa...😂Shemasi umekuwa wa mataifaaaa
Haijalishi, naomba mawasiliano yake tafadhali. Huenda akaniongoa...😂Shemasi umekuwa wa mataifaaaa
🤣🤣🤣Haijalishi, naomba mawasiliano yake tafadhali. Huenda akaniongoa...😂
Mbona Corona wana mortuary yao?Wadau hivi Bongo ukiachana na Mortuary zilizopo ndani ya hospitali, Mbona hakuna Mortuary ambazo Mtu/Kampuni zinamiliki private? i.e high class/ VIP mortuary?
Mfano kwa wenzetu Kenya, hii fursa watu wameitumia kweli kweli na kuna private mortuaries nyingi tu watu wamezitengeneza, na wengi wanazitumia huduma hizo pale wanapofikwa na janga la msiba kwenye familia zao.
Kwa shida ya upungufu na ubora hafifu wa vyumba vya mortuary kwa hospitali nyingi ninayoiona kwenye hospitali nyingi za bongo, hii inaweza kuwa biashara nzuri tu bongo na ikalipa vizuri tu, kama watu wenye uwezo wakiwekeza huko.
Ni watu hawajaiona hiyo fursa au wabongo hawataweza kuzilipia?
Au taratibu zetu za kisheria haziruhusu? Kama sheria zetu haziruhusu, zifanyiwe marekebisho ziruhusu hilo, ni fursa nzuri sana. Watu watapata pesa na serikali itapata kodi.
Ubepari raha ,hadi waombolezaji unakodi.
Usicheke, fanya utaratibu kabla sabato haijaanza maana huwa naweka simu na kila kitu pembeni masaa matakatifu😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
HahahhaahahahhaahaUsicheke, fanya utaratibu kabla sabato haijaanza maana huwa naweka simu na kila kitu pembeni masaa matakatifu😂😂😂😂😂😂😂
Hawa hawatoi huduma za mortuary as far as i know....! Yaani huduma za kutreat na kuhifadhi miili. Wao ni transport of bodies pamoja na arrangement za kuzika au kuchoma.Mbona Corona wana mortuary yao?
Hivi vikundi vipo vingi siku hizi mjini hapa!Hapa umenikumbusha kile kikundi cha wanawake fulani Bongo unawakodi kuja kulia tu unapofikwa na msiba na baada ya hapo unawalipa na kuondoka zao.
Watembelee Mikocheni wana mortuary servicesHawa hawatoi huduma za mortuary as far as i know....! Yaani huduma za kutreat na kuhifadhi miili. Wao ni transport of bodies pamoja na arrangement za kuzika au kuchoma.
Au nimekosea?
Ok, nitawacheki mkuu niwatembelee nijifunze zaidi kuhusu hii kitu.Watembelee Mikocheni wana mortuary services
Bila shaka wameboea na wataalam haswa sanaa ya kuomboleza ,kulia na kusaga meno!Hivi vikundi vipo vingi siku hizi mjini hapa!
Hii fursa mnaijadili hapa naamini kuna mtu ataifanyia kazi muda si mrefu.au inawezekana kuna mtu yupo tayari kwenye process ya kuifanyia kaziHahahahaha!
Hii nayo ni point nzuri mkuu. Ila mtanilaliaje? Kuingiza mwili hadi mtoe pesa, sio bure bure tu.
Mtu anaweza kuanzisha huduma hii aka target middle income eaners maeneo ya mjini kama Dar- Na akaweka huduma na bei ambazo ni za katikati (sio za juu sana). Anaweza kupata mid-income eaners wengi wafanyakazi na wafanyabiashara wa kati ambao watapenda kuhifadhi wapendwa wao kiheshima zaidi.
Au pia anaweza kutarget high income eaners wale matyta wa mjini hapa. The likes wanaotibiwa Aga Khan na zinazofanana na hizo.
Sio kwamba kitu kama hii mtu akajenge Sitimbi
Tena unaweka na solar system unapata faida iliyonyooka kbsa.Hahahahahahaha!
Sio ubepari mkuu. Ni huduma tu ya kawaida. Unajua kuhifadhi mwili ni gharama sana mkuu? Kuna treatment mwili unatakiwa kufanyiwa ili usioze, unatakiwa uwekwe sehemu baridi pia (refridgerator), vyote hivi ni gharama, usitegemee iwe ni huduma ya bure mkuu.
Ni kweli kabisa mkuu... Umeiweka vizuri haswa!Mi wazo zuri Sana maana mortuary ni zaidi ya kuhifadhi maiti kuna huduma za uchunguzi,utafiti, maandalizi yamazishi hata mafunzo pia itaongeza uwanja wa ajira or medical examiners
Sio lazima wawe wao unaweza ukaanzisha ukawaajiri km part time yaani anafanya kazi hospital akitoka anaunganisha shift nyingine kwenye ofisi yako km madaktari wanavyofanyaNi wazo zuri ila kuna mambo yasiyofaa yatafanyika huko, tujifunze kutoka kwenye ubinafsishaji mwingine uliofanyika huko nyuma, possibly wawekezeji namba moja watakuwa ni hao wafanyakazi wa mochuari wa sasa
Nakubaliana na wewe asilimia 100.Hii fursa mnaijadili hapa naamini kuna mtu ataifanyia kazi muda si mrefu.au inawezekana kuna mtu yupo tayari kwenye process ya kuifanyia kazi
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Yeah, ukiweka sola utaumia mwanzoni ila baada ya hapo unakula bata tu.Tena unaweka na solar system unapata faida iliyonyooka kbsa.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Sawa kabisa mkuu. Na pia kinachotakiwa ni kuweka standards tu na usimamizi wa kutosha (CCTV cameras, monitoring visits, uwepo wa miongozo ya ufanyaji kazi kwa weledi, etc).Sio lazima wawe wao unaweza ukaanzisha ukawaajiri km part time yaani anafanya kazi hospital akitoka anaunganisha shift nyingine kwenye ofisi yako km madaktari wanavyofanya
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
True chiefNakubaliana na wewe asilimia 100.
Kuna kipindi fulani nilikua nimewaza na kufanyia utafiti kuhusu fursa ya kuwekeza kwenye uuzaji wa maji kwenye eneo fulani ambalo lilikua na shida sana ya maji.Sema nilikua sijakaa vizuri financially, kwa hiyo sikua na huo mtaji, na ni idea ambayo ilihitaji kiasi kama cha milioni 7 minimum kuitekeleza. Nikawa najipanga sasa nichukue mkopo sehemu fulani nianze utekelezaji.
Ndani ya muda wa miezi mitatu, kuna jamaa akaja kutekeleza yaani karibu kila ambacho niliwaza kuhusu ile idea kwa asilimia 90. Jamaa hadi sasa anaendelea na mradi fresh tu, anakula vichwa balaa!! Nikasema kweli ukiwaza kuhusu idea fulani usidhani kuwa peke yako ndo umewaza hilo.