Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,858
- 7,847
- Thread starter
- #81
Hizi ndo zinakuaje mkuu?Unaweza tengeneza compact cold rooms kwa ajili ya maiti hapo hapo dar kwa bei nafuu .
Hizi ndo zinakuaje mkuu?Unaweza tengeneza compact cold rooms kwa ajili ya maiti hapo hapo dar kwa bei nafuu .
Itahitaji ununue nyumba chief maana sidhani kama mtu atakua tayari akupangishie nyumba yake uifanye mortuary.Kwa kweli hata mimi watu wanavyokua negative na kuipondea ndo nazidi kuwa excited kuifuatilia zaidi.
Risk takers na wafanyabiashara wakubwa wanajua kuwa idea ya biashara ambayo kila mtu anaipinga hiyo ndo ya kuifanya, na the opposite is also true.
Kumbe hiyo kitu inaruhusiwa nchini na kuna miongozo kabisa ya vitu gani vya kuzingatia, na ni mamlaka zipi zinatoa kibali. Naendelea kufuatilia zaidi na zaidi.
Mkuu, ukweli ni kwamba hata kwa hali ya sasa hivi tu mochwari zilizopo mahospitalini hazitoshi kabisa kulingana na uhitaji mkubwa uliopo. Hii kitu kama nikitengeneza mjini Dar hapa, inaweza ku take off vizuri tuu. Wacha niendelee kujifunza zaidi.
Nadhani kuna nyuzi joto maalum ambazo maiti anahifadhiwa,siku hizi teknolojia imekua hapo Magomeni kuna wataalam wa kutengeneza kila aina ya cooling/cold sytem unayohitji. Sio lazima kuagiza China,lakini pia miji mingi sana haina mortuary zenye vyumba baridi. Hii biashara sio lazima kufanyia dar tu hata mikoani,wilayani mtu akifanya utafiti anapiga hela .Hizi ndo zinakuaje mkuu?
Nje ya mada; shemasi huyo kwa profile pic ni nani? Naomba mawasiliano yakeFursa....!
Hata huko utakorofishana TU na HIFKwa nchi ambayo asilimia kubwa wananchi hawana bima utapata hasara Hadi ukome.
Asilimia kubwa watu wanakufa wakiwa na madeni Hadi migogoro na hospital inatokea. Bora watu wenye bima malipo utakata juu kwa juu.
Sasa wewe fungua tuje kukulalia.
Kwa kweli hata mimi watu wanavyokua negative na kuipondea ndo nazidi kuwa excited kuifuatilia zaidi.
Risk takers na wafanyabiashara wakubwa wanajua kuwa idea ya biashara ambayo kila mtu anaipinga hiyo ndo ya kuifanya, na the opposite is also true.
Kumbe hiyo kitu inaruhusiwa nchini na kuna miongozo kabisa ya vitu gani vya kuzingatia, na ni mamlaka zipi zinatoa kibali. Naendelea kufuatilia zaidi na zaidi.
Mkuu, ukweli ni kwamba hata kwa hali ya sasa hivi tu mochwari zilizopo mahospitalini hazitoshi kabisa kulingana na uhitaji mkubwa uliopo. Hii kitu kama nikitengeneza mjini Dar hapa, inaweza ku take off vizuri tuu. Wacha niendelee kujifunza zaidi.
Yeah, naona that is a logic assumption ukizingatia negativity ambayo imeonekana kwenye huu uzi kuhusiana na hii idea.Itahitaji ununue nyumba chief maana sidhani kama mtu atakua tayari akupangishie nyumba yake uifanye mortuary.
Hapana mkuu, hii ni regulated area kabisa na kuna mamlaka ambazo zinakagua na kufuatilia ufanyaji kazi wake. Ni sawa na hospitali za binafsi, kwa hiyo huwezi ku assume tu kuwa hilo litatokea.Watu watachezea maiti za watu ikiwemo kiba viungo
Yes mkuu uko sahihi kabisa nakubaliana na wewe!Nadhani kuna nyuzi joto maalum ambazo maiti anahifadhiwa,siku hizi teknolojia imekua hapo Magomeni kuna wataalam wa kutengeneza kila aina ya cooling/cold sytem unayohitji. Sio lazima kuagiza China,lakini pia miji mingi sana haina mortuary zenye vyumba baridi. Hii biashara sio lazima kufanyia dar tu hata mikoani,wilayani mtu akifanya utafiti anapiga hela .
Very true mkuu. Ila naona watu wanaogopa sana hii idea.Hii ni fursa kubwa tu, zipo fursa mbili naona if you have money unaweza kufanya.
1. Mortuary
2. Cremation.
Unaweza kudhani wahindi wanaochomana wanakosea lakini it's a very good idea. Ukienda pale makumbusho, costs za kuchoma mwili ni shilingi 2,500,000. Imagine kama unafungua yako kwa 2,000,000 or less, inalipa.
Kweli kabisa mkuu.... Na wizara ya afya naona wana muongozo kabisa wa standards za kujenga kotu cha hivyo inatakiwa iweje, uwe na wataalamu gani, vibali, etc.ni uzubaifu tu sio kwamba kunasheria inakataza, ilimradi tu kuzingatia viwango na masharti ya wizara ya Afya.
Ok mkuu.Mbona zipo mkuu? Pale Himo Moshi ipo na inafanya kazi vizuri tu
Ni mortuary tu hamna hospital. Simjui mmliki lakini ipo na inatumika sana. Ni mji mdogo wa Himo ukishavuka daraja la mto WonaOk mkuu.
Mmiliki ni nani?
Pia ni mortuary tu au ni hospitali kabisa ambayo ina mortuary? Pia inaitwaje?
Nitafuatilia niweze kufika hapo nijifunze mawili matatu kuhusu hii idea.
Fuatilia, kama una mtaji wekeza coz itakulipa tu. Unakuwa na full package, yaani funeral home services na mortuary so mtu akileta mpendwa wake inakuwa one stop center... kila kitu anapata hapo.Very true mkuu. Ila naona watu wanaogopa sana hii idea.
Hadi wengine wananiona katili kwa kufikiria idea ya hivi. Daahhhh!!
Shemasi umekuwa wa mataifaaaaNje ya mada; shemasi huyo kwa profile pic ni nani? Naomba mawasiliano yake
Shida ni mortuary au hivyo umeandika apo?Wanatanzania waoga kwa kila nyanja,biashara za hivyo hawaziwezi,tena utanangwa na jamii.