Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Ndo limeshafika kimataifa sasa. Mnatesa na kunyanyasa kingono watu. Jiandaeni kuchukuliwa hatua kali.Hii siyo Jamhuri ya Mabwege kama Wakenya wanavyotaka kutuchukulia. Hii ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iheshimiwe. Kama hawawezi kutupa heshima kwa hiari, tutatumia njia yeyote ile watuheshimu.
Kama hao wanaharakati wenu watathubutu kuja tena Mahakamani kwenye kesi ya Tundu, uniite mbwa niko pale Kimara Kibo
Kwamba taaluma zao haziwatoshi kumiliki kiasi hicho yani Milioni 1 na laki saba?Unepiga gharama zote, nakushukuru. Sasa huyo Agatha ni journalist tu na huyo Mwangi wanasema ni photographer.
Naomba tu uniwekee hapa vyanzo vya mapato yao ndiyo tutakuwa na informed conclusion
Jaribu kuficha umaskini wako sio kila mtu anaona $400 ni kubwaHatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.
Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??
Jaribu mkuu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla hujatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kitakuwa dispenser ya mate tu
Acha kupenda kuliwa ubwabwa wewe. Kwa hiyo hizi gharama za chumba cha USD 400 per night, ziliwekwa kwa ajili ya akina nani sasa ? Wakati hizo hela apa bongo wapo watu wanaweza kumudu kulala hata kwa siku 4.Hatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.
Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??
Jaribu mkuu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla hujatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kitakuwa dispenser ya mate tu
OVERNIGHT: Human Rights Foundation calls on UN Special Rapporteur on Torture to investigate Tanzania for cruel, inhuman, or degrading treatment after harrowing stories of sexual abuse while in detention by activists Boniface Mwangi and Agather AtuhaireMambo mengine ni kutofikiri vizuri tu. Kama kweli walidhani ni watu hatari kwa nini wasingewarudisha makwao tu bila kuwatesa? Au kama wangewakataza tu kuingia nchini wakaishia uwanja wa ndege kama walivyofanya kwa Martha Karua na jopo lake wangepungukiwa na nini?
Vitu vilivyoonekana sawa jana vinaweza kuonekana vibaya leo kutokana na athari zake au namna vilivyotekelezwa.Wakati enzi zile yule bwana alifanya mambo yanayofanana kama hayo na wewe ulikuwa mstari wa mbele ukisema ananyosha nchi na victims mliwaita wajinga na wamejitakia.
Sometimes haya mambo bwana mpaka yakukute ndio utaelewa.
If someone travels to support a fellow activist like Tundu Lissu in court, it doesn’t automatically mean there’s a hidden LGBTIQ agenda behind it.Hatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.
Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??
Jaribu mkuu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla hujatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kitakuwa dispenser ya mate tu
uliyoyasema hayahalalishi kuteswa na kudhulumiwa kingonoHatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.
Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??
Jaribu mkuu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla hujatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kitakuwa dispenser ya mate tu
Unajifanya mzalendo wa keyboard ilhali akili yako imeparaganyika kama network ya Airtel usiku wa mvua. ,,Unasikitisha.!hayupo duniani wa kuichafua Tanzania ikachafuka zaidi ya kujichafua waropokaji wenyewe gentleman 🐒
Kuishi baada ya janga si ushahidi kuwa hakuna janga lililotokea. Unyanyasaji wa kingono huacha majeraha ya ndani yasiyoonekana kwa macho, na maumivu yake hayawezi kupimwa kwa hali ya mtu kurudi nyumbani salama.Nasikitika sana baada ya kunyanyaswa kingono bado wakarudi salama kwao!
Hii aina ya reasoning ni hatari sana! Critical thinking is thinking about one's own thinking!Hatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.
Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??
Jaribu mkuu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla hujatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kitakuwa dispenser ya mate tu
Waache kiherehere hawa Wakenya...
Kama siyo cha kushangaza basi na wewe weka kivuli cha tiketi yako ya kupanda ndege hapa mara ya mwisho!!
Bwege unapanda Katarama kwenda kwenu Katoro au Naliendele halafu leo unaona kupanda business class ni kitu
Ninapoishi mimi situmii VPN kuingia X na majira haya jua linazama 21:00 , naomba niishie hapa.Kama siyo cha kushangaza basi na wewe weka kivuli cha tiketi yako ya kupanda ndege hapa mara ya mwisho!!
Bwege unapanda Katarama kwenda kwenu Katoro au Naliendele halafu leo unaona kupanda business class ni kitu cha kawaida
Hatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.
Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??
Jaribu mkuu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla hujatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kitakuwa dispenser ya mate tu
Nyie wajinga mmoja mmoja ndiyo mnaharibu hili Taifa Kila kitu Kiko wazi usikute nyie ndiyo mnamdanganya Mama wa watu,Kila binadamu anakosea ukijua Kuna sehemu umekosea ni rahisi kusahihisha,Mama hao inner Circle yako anza kuwaza tofauti jinsi ulivyokuwa unawaona mwanzo.Hatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.
Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??
Jaribu mkuu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla hujatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kitakuwa dispenser ya mate tu
Mataifa gani hayo unayoyaogopa? Haya yanayofadhili shughuli za ushoga?Ndo limeshafika kimataifa sasa. Mnatesa na kunyanyasa kingono watu. Jiandaeni kuchukuliwa hatua kali.
Kuja kusikiliza kesi ya Tundu tu? Are you okay kwenye brain yako?Kwamba taaluma zao haziwatoshi kumiliki kiasi hicho yani Milioni 1 na laki saba?