He he he. Kenya's economy is 3 times ile ya Tz. Jifunze kunyenyekea.Hamna uwezo wa kushindana na Tanzania we are the strongest country in East Africa.
Nyinyi ndio mumeanzisha vita wiki hii na sisi tunajitayarisha kujibu mapigo.Kenya hovyo kabisa
Hata nikiongea na mkenya jua la saa sita bado nitammulika kwa kurunzi kali wongo na ujanjaujanja wa kitoto umewajaa
Hivi Ni nani alianzisha?
Bei ya kitungu mtawezana mnajidai mko na talent ya kufungua Braa kwa mkono mojaNyinyi ndio mumeanzisha vita wiki hii na sisi tunajitayarisha kujibu mapigo.
NiHe he he. Kenya's economy is 3 times ile ya Tz. Jifunze kunyenyekea.
Taja vita moja ambayo Kenya mmewahi kuishinda Tanzania 🇹🇿💪💪💪Mumeanzisha sisi ndio tutamaliza vita hii.
Mna huo ugali wa kumwaga lakini?Tanzania imeanzisha tena vita vya kiuchumi kama kawaida yao. Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo bila kutoa sababu zozote za kimsingi. Naona bado mnataka vita hamjatosheka. Mkimwaga mboga sisi tutamwaga ugali.
Tuliwaambia uhusiano na Kenya utaendelea kuwa kama enzi za Magufuli kwa sababu ya ujinga wenu, ninyi mlikua mnajaribu kujipendekeza kwa mama Samia Suluhu kwamba amemchagua waziri wa mambo ya nje mwenye kujua diplomasia kwa hiyo mahusiano na Kenya yatakua mazuri, hahahaha, hahaha,.Wanamchonganisha mama na wanataka sana akwame, wataanzisha kila aina ya chokochoko kote, juzi ameamrisha vyombo vya habari viachiwe huru, ila wamekaidi, kuna ripoti imetolewa ya CAG, duh madudu yaliyokuwepo Tanzania kipindi cha JPM jameni hehehe hawa watu wana nguvu kwa kweli. Sasa
Hahahaha, mumesahau ule ujinga wenu mliofanya wa kuzuia mahindi kuingia Kenya eti kwa kisingizio kwamba yako na sumu bila hata kutujulisha?, mlitangazia dunia kwamba mahindi ya Tanzania na Uganda yana sumu jambo ambalo nchi zingine zikalazimika kuzuia mahindi yetu, hiyo haikuwa vita ya biashara?.Tanzania imeanzisha tena vita vya kiuchumi kama kawaida yao. Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo bila kutoa sababu zozote za kimsingi. Naona bado mnataka vita hamjatosheka. Mkimwaga mboga sisi tutamwaga ugali.
Tanzania imeanzisha tena vita vya kiuchumi kama kawaida yao. Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo bila kutoa sababu zozote za kimsingi. Naona bado mnataka vita hamjatosheka. Mkimwaga mboga sisi tutamwaga ugali.