Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo

Hahahaha, lazima tuwafundishe adabu ili msijaribu kurudia ujinga, ni mwendo wa kuwachapa bakora tu. Kama mlizuia mahindi yetu kwa mwezi mmoja, sisi tunazuia gari zenu kwa miezi miwili.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nani amekuambia kwamba sisi hatuwezi kulipiza kisasi? Sisi mwanzoni tulizuia mahindi pekee ila tunaweza kuzuia kila kitu.
 
Nani amekuambia kwamba sisi hatuwezi kulipiza kisasi? Sisi mwanzoni tulizuia mahindi pekee ila tunaweza kuzuia kila kitu.
Hamna uwezo wa kulipiza kisasi ninyi, sisi tunazuia gari zote ili kuona nini mtafanya, next step tunazuia KQ, then tunafunga Bank zote za wakenya.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Tumewahi kufunga border in the 1970s. Hii haitakuwa mara ya kwanza.
1970s hamkua mnategemea sana Tanzania kiuchumi kwa sababu mlikua mikononi mwa Western block wakati wa "cold", wazungu walikua wanamiliki biashara za Kenya by 90%.

Tangu kumalizika kwa cold war, Kenya imeanza kuegemea mashariki zaidi kiuchumi, China na Tanzania ndio tegemeo kubwa la uchumi wa Kenya kuliko nchi za magharibi kwa sasa.

Uchumi wa Kenya bila China na Tanzania lazima utasambaratika, Kenya ikigombana na Tanzania, Geographically ni kwamba imegombana na nchi zote za kusini mwa Africa. Hahahaha, hahahaha, hahahaha.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Wakenya mnapenda sana kutuchokoza wa tz
Yaani mkipitisha mwezi bila mgogoro hamjisikii kabisa
Mtatafuta kila mbinu mtuchokonoe
 
Wakenya mnapenda sana kutuchokoza wa tz
Yaani mkipitisha mwezi bila mgogoro hamjisikii kabisa
Mtatafuta kila mbinu mtuchokonoe
Wakati huu nyinyi ndio mumeanza uchokozi.
 
Tanzania imeanzisha tena vita vya kiuchumi kama kawaida yao. Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo bila kutoa sababu zozote za kimsingi. Naona bado mnataka vita hamjatosheka. Mkimwaga mboga sisi tutamwaga ugali.

Tanzania commands EA economies. Our position and resources dictates policies of other state in the region.
 
1970s hamkua mnategemea sana Tanzania kiuchumi kwa sababu mlikua mikononi mwa Western block wakati wa "cold", wazungu walikua wanamiliki biashara za Kenya by 90%.

Tangu kumalizika kwa cold war, Kenya imeanza kuegemea mashariki zaidi kiuchumi, China na Tanzania ndio tegemeo kubwa la uchumi wa Kenya kuliko nchi za magharibi kwa sasa.

Uchumi wa Kenya bila China na Tanzania lazima utasambaratika, Kenya ikigombana na Tanzania, Geographically ni kwamba imegombana na nchi zote za kusini mwa Africa. Hahahaha, hahahaha, hahahaha.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wewe unadhani kati ya UG na TZ nchi gani ndio ina umuhimu zaidi kwa Kenya kibiashara kushinda nyingine.
 
Nguvu zetu zipo kwenye nini hebu zitaje???
Kwenye utegemezi wa kiuchumi na kijamii.kenya inategemea Tanzania kwa chakula.kumbuka tusipouza chakula Kenya tutauza nchi nyingine nyingi.resources nyingi za viwanda Kenya wanazipata Tanzania,tukipiga spana?
 
Tanzania ni muhimu kwa Kenya kuliko nchi yoyote kutokana na Geographical position ya Tanzania kwa Kenya, bila Tanzania hamuwezi kuzifikia nchi za kusini mwa Africa
Kwanza ujue ukitoa SA na TZ from SADC basi nchi zingine ni utopolo tu na Kenya haifanyi trade kubwa nazo. For your info Kenya huwa haitrade sana na SADC kupitia land route. Kwa jumla trade kati ya Kenya na SADC huwa inafanyika sana through the ocean. Yaani water transportation is cheaper than land transportation. So it is cheaper for Kenya to export/import goods from SA through the Indian Ocean than through the land bridge from SA to Kenya. Road transportation is very expensive compared to water transportation. The only landlocked countries that we cannot reach by sea are Malawi, Botswana, Zimbabwe and Zambia. Kenya does very little trade with Malawi, Botswana and Zimbabwe. Trade between Kenya and Zambia is also very low. $70 million from Kenya to Zambia and $50 million from Zambia to Kenya. Soma hapa

At the moment the trade between Kenya and Zambia stands $70million worth of exports in Zambia and about $50million exports into Kenya

So Kenya haihitaji sana SADC ukitoa SA na TZ nchi zingine hazina umuhimu sana kwa Kenya kama unavyodhani wewe. Halafu umuhimu wa market ya TZ umeanza kupungua mlipoanza trade war. Saa hii TZ sio top 5 important export au import market for Kenya. Hio trade war yenu ya kijinga imepunguza umuhimu wenu kwetu. Hampo top 5 kwenye export au import market list.

Tazama top five biggest export markets for Kenya. Na source ni world bank so usilete ubishi.

Kenya top 5 Export and Import partners​

MarketTrade (US$ Mil)Partner share(%)
Uganda611 10.10
Pakistan586 9.69
United States467 7.72
Netherlands458 7.56
United Kingdom397

So kama uonavyo hapa juu Tanzania sio muhimu sana kama unavyodhani wewe. Halafu Uganda unamuona yuko nambari moja kwenye export market ya Kenya? Uganda ni muhimu sana kwetu kwa maana ananunua sana processed goods zetu.

Halafu Tanzania sio top 5 import market for Kenya so upunguze majivuno na sifa za kijinga. Nyinyi ni muhimu lakini sio muhimu kama unavyodhani wewe.

Top 5 import markets to Kenya

ExporterTrade (US$ Mil)Partner share(%)
China3,661 21.07
India1,829 10.53
Saudi Arabia1,705 9.81
United Arab Emirates1,455 8.38
Japan986 5.67

Cc Geza Ulole
 
Back
Top Bottom