Tanzania haitopata rais kama Kikwete

Tanzania haitopata rais kama Kikwete

Tanzania -Literacyrate
Literacyrate, youth female (%of females ages 15-24)
Definition: Youthliteracyrate is the percentageof people ages 15-24 who can, with understanding, read and write a short, simple statement on their everyday life.
Source: United Nations Educational, Scientific, and Cultural Organization (UNESCO) Institute for Statistics.
See also:
Thematic map
Country comparison
Country ranking
YearValue
1988 77.87
2002 76.20
2010 76.47
Literacyrate, youth male (%of males ages 15-24)
Definition: Youthliteracyrate is the percentageof people ages 15-24 who can, with understanding, read and write a short, simple statement on their everyday life.
Source: United Nations Educational, Scientific, and Cultural Organization (UNESCO) Institute for Statistics.
See also:
Thematic map
Country comparison
Country ranking
YearValue
1988 86.20
2002 80.92
2010 78.16
Literacyrate, youth total (%of people ages 15-24)
Definition: Youthliteracyrate is the percentageof people ages 15-24 who can, with understanding, read and write a short, simple statement on their everyday life.
Source: United Nations Educational, Scientific, and Cultural Organization (UNESCO) Institute for Statistics.
See also:
Thematic map
Country comparison
Country ranking
YearValue
1988 81.75
2002 78.40
2010 77.32
Literacyrate, adult female (%of females ages 15 and above)
Definition: Adultliteracyrate is the percentageof people ages 15 and above who can, with understanding, read and write a short, simple statement on their everyday life.
Source: United Nations Educational, Scientific, and Cultural Organization (UNESCO) Institute for Statistics.
See also:
Thematic map
Country comparison
Country ranking
YearValue
1988 48.09
2002 62.17
2010 67.50
 
point niliyonote hapa ni kuwa zamani shule za kipindi cha marais kabla ya jk,zilizalisha magenious,sasa ndo nilitaka niwajue hao magenious.
ujue ukiongea kitu uwe na kitu cha kusupport point yako

mkuu ina maana untaka kulinganisha wahitimu wa zamani na sasa? mkuu hata kama unatumika na magamba ona aibu kidogo ,tufanye tathimini toka kata ianze kutoa matokeo ya form four ni asilimia ngapi inayoenda form five na six iwe serekalini au private,kata ni chuo cha kuzalisha madereva bodaboda,wasusi,wapiga miziki,elimu ya kata inakuwezesha kumudu hayo.mkuu mmebuni hadi dv 5 unataka nikutajie mifano,hell no mkuu siwezi
 
Jk ni janga la Taifa nchi hii kasambaratisha rasilimali zetu na kuchakachua katiba
 
ni kweli hatuji kupata raisi dhaifu kama kikwete na sipendi ije itokee
 
Sana tena sana tu. Kwa ushahidi kabisa.
Had you known kwamba hivi sasa Tanzania ina idadi kubwa ya wasiojua kusoma na kuandika kuliko kipindi cha Mkapa usingekaa ujisifie hivyo? Na kama ungejua kwamba huduma za afya hivi sasa zimedorora kuliko hata wakati wa Mkapa wala usingejinasibu hivyo. Ukitaka data nitakupa. Kama ungefahamu ya kwamba hali ya elimu nchini ni mbaya kuliko wakati wa Mkapa usingesema lolote.
Kimsingi nakubaliana na mtoa post kwamba hatuwezi tena kupata Rais kama Kikwete. Kumpata rais mwingine kama Kikwete utakuwa ni mkosi mkubwa kwa nchi yetu na kwa hakika tutalazimika kufanya matambiko na kukesha kwenye nyumba za ibada kumuomba Mungu atuepushe na balaa la kupata Rais kama Kikwete.
Kikwete is the worst president ever been in Tanzania and we will never ever have such a weak president in this country. Sidhani wala sitegemei kwamba watanzania wataendelea kuwa mambulula wa kuchagua sura badala ya uchapakazi - haiwezekani.
Haiwezekani kwamba watanzania wataendelea kuchagua rais anayetegemea kuendesha nchi kwa kuomba, anayeendekeza ushikaji hadi kwenye mambo mhimu ya nchi, hawezi hata kukusanya kodi, anaendekeza rushwa na hana kauli ya kiuongozi kwa wanaofuja mali za umma - haiwezekani.
 
mkuu 90% watoto wanaomaliza shule ya kata hawajielewi.Nimekutana na wengi tu ambao huwa nawatafutia nafas za kuokoteza 200-300 kwa mwezi linapofika swala la lugha ya malikia wengi uzikataa nafasi hizo za kazi kwahiyo mkuu nafahamu shule ya kata inazalisha watu gani.

Tatizo sio shule za kata bali watanzania wengi lugha ni shida tazama ajira za kimataifa utawakuta wakenya, warwanda au waganda, watz kazi kulaumu.
 
Nchi yetu Tanzania timeshuhudia vipindi vya marais wengi.Ila kwa uelewa na ufuatiliaji wangu,tunaweza kukaa muda mrefu sana tusipoangalia katika kupata rais kama huyu JK wa pili hapa nchini.

Japo anabezwa,anakashifiwa na kuitwa dhaifu lakini ukweli utabaki palepale Kikwete ni rais bora kuliko wote tuliopata kuwashuhudia.

Siku atakayokaa pembeni tutamkumbuka.

Nadhani inafaa tumtambue kama rais wa karne ktk nch yetu.
Sphincter at work
 
Ni kweli hatutapata rais BOMU kama JK ambaye kwa miaka yake 10 ya uongozi, miaka 2 ameishi angani.
 
NI KWELI KABISA TUTAMKUMBUKA!!!! haijawahi tokea kwa vipindi vyote vilivyopita rais kushiriki katika ukwapuaji mkubwa kama EPA,ESCROW nk,na kubagain na wezi namna nzuri ya kurudisha pesa walizoiba pamoja na kumtetea mwizi kwa kuwageuka wananchi kuwa hela sio za serikali ilihali anakusanya kodi kwa waliopata mgao.Pia kuacha maoni ya wananchi katika katiba mpyan na kuchukua maoni ya fisadi mzoefu aliyekula 1.6,LAZIMA AKUMBUKWE SANA TU!!!!! ila sijajua ni kwa ubaya au uzuri
Nchi yetu Tanzania timeshuhudia vipindi vya marais wengi.Ila kwa uelewa na ufuatiliaji wangu,tunaweza kukaa muda mrefu sana tusipoangalia katika kupata rais kama huyu JK wa pili hapa nchini.

Japo anabezwa,anakashifiwa na kuitwa dhaifu lakini ukweli utabaki palepale Kikwete ni rais bora kuliko wote tuliopata kuwashuhudia.

Siku atakayokaa pembeni tutamkumbuka.

Nadhani inafaa tumtambue kama rais wa karne ktk nch yetu.
 
soma takwimu za IMF au world bank utaona vipi GDP ya Tanzania imepaa kwenye dahari ya JK , elimu ilivyopanuka n.k.

Acha ufala huyo ni mtanzania hatakiw kusoma anatakiwa ajionee hayo yaliyopaa,hayo ya kusomwa yasomwe na hao hao IMF na WBANK wasioishi huku kwetu
 
mkuu 90% watoto wanaomaliza shule ya kata hawajielewi.Nimekutana na wengi tu ambao huwa nawatafutia nafas za kuokoteza 200-300 kwa mwezi linapofika swala la lugha ya malikia wengi uzikataa nafasi hizo za kazi kwahiyo mkuu nafahamu shule ya kata inazalisha watu gani.
Wewe nawe lugha ya malikia ndio nini?Lugha si kigezo cha elimu.Elimu hupimwa kwa kigezo cha namna mtu anavyoweza kutatua matatizo katika mazingira yake ya kimaisha kupitia maarifa aliyoyapata shuleni.Huku kusema mpaka uweze kuongea vizuri kiingereza ndio usomi.Huo ni utumwa wa mawazo tunaourithi kutoka kwa wazee wetu ambao walirithishwa na hao wazungu wenye lugha yao.Angalia nchi kama China,Ujerumani,Israel,Ufaransa na nchi nyingine kama Irani katika nchi za kiarabu wanafanya vizuri katika masuala mbalimbali ya kiteknolojia.Huku wakitumia lugha zao tu bila kiingereza katika mitaala yao ya kielimu.
Tuache kujidharau sisi na kuwathamini watu wengine kwa kuthamini kila kitu chao.
Halafu katika suala la elimu kupitia shule za kata.Elimu ipo na watoto wanapata japo si kama tunavyotaka wengi wetu namna inavyotakiwa iwe.Sio kitu cha kushangaa sasa hivi watoto katika mitaa kukuta robo tatu ni wahititimu wa kidato cha nne.Jk kashafanikiwa kujenga kila kata shule na sasa anamalizia na maabara.Je,ni kiongozi gani aliyetawala nchi hii aliyeweza kutengeneza mtandao mpana katika uga wa elimu kiasi hicho.Si Mwinyi,si Mkapa na hata Nyerere aliyeweza hata kujenga darasa mojamoja tu katika kila wilaya.
Acheni unazi nyie,mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Itatuchukua muda mrefu sana kumpata raisi aliyebora kama Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Wewe nawe lugha ya malikia ndio nini?Lugha si kigezo cha elimu.Elimu hupimwa kwa kigezo cha namna mtu anavyoweza kutatua matatizo katika mazingira yake ya kimaisha kupitia maarifa aliyoyapata shuleni.Huku kusema mpaka uweze kuongea vizuri kiingereza ndio usomi.Huo ni utumwa wa mawazo tunaourithi kutoka kwa wazee wetu ambao walirithishwa na hao wazungu wenye lugha yao.Angalia nchi kama China,Ujerumani,Israel,Ufaransa na nchi nyingine kama Irani katika nchi za kiarabu wanafanya vizuri katika masuala mbalimbali ya kiteknolojia.Huku wakitumia lugha zao tu bila kiingereza katika mitaala yao ya kielimu.
Tuache kujidharau sisi na kuwathamini watu wengine kwa kuthamini kila kitu chao.
Halafu katika suala la elimu kupitia shule za kata.Elimu ipo na watoto wanapata japo si kama tunavyotaka wengi wetu namna inavyotakiwa iwe.Sio kitu cha kushangaa sasa hivi watoto katika mitaa kukuta robo tatu ni wahititimu wa kidato cha nne.Jk kashafanikiwa kujenga kila kata shule na sasa anamalizia na maabara.Je,ni kiongozi gani aliyetawala nchi hii aliyeweza kutengeneza mtandao mpana katika uga wa elimu kiasi hicho.Si Mwinyi,si Mkapa na hata Nyerere aliyeweza hata kujenga darasa mojamoja tu katika kila wilaya.
Acheni unazi nyie,mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Itatuchukua muda mrefu sana kumpata raisi aliyebora kama Jakaya Mrisho Kikwete.[/QUOTE
]

usipotoshe watu
 
Kweli hatutopata tena Rais kama yeye kwani hatutachagua tena VIONGOZI wa aina yake...

Rais aliyeporomosha uchuki wa nchi
Rais ambaye ni mwoga wa kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya nchi..
Rais anayeita fedha yake madafu...
Rais mwenye sandal za kila aina... Meremeta.... IPTL... ESCROW... MADAWA YA KULEVYA... PEMBE ZA NDOVU...
RAIS MPENDA MASEMU ...
RAIS ASIYE NA DIRA MAKINI YA NCHI... OR MARA ARI MPYA NA NGUVU MPYA... MARA KILIMO KWANZA...

Kweli hatutapata Rais wa hivyo Milele na Milele Amina..
 
Back
Top Bottom