Kwa hiyo wewe ni kilaza? Maana inaonyesha umesoma wakati wa maraisi hao. Unaposema MTU genious unaangalia vigezo gani?
Hujatoa sababu za kumsifia huko, mzuri kwa lipi alilofanya.. Sasa eti ni raisi bora, bila hata artifacts!!
Hapakaziwi hata Mwenyewe anajua yeye Ni dhaifu !
Sakata la kina Muhongo alipaswa kulimaliza baada ya ukaguzi wa CAG ....
JK mwanamume huyu hatutamsahau,mfano MWALIMU miaka yake 24 Mkoa wa KIGOMA aliwaachia sekondari moja tu,Miaka 2 tu yake JK na LOWASA walimaliza kata zote TANZANIA.JK jembe.
Nchi yetu Tanzania timeshuhudia vipindi vya marais wengi.Ila kwa uelewa na ufuatiliaji wangu,tunaweza kukaa muda mrefu sana tusipoangalia katika kupata rais kama huyu JK wa pili hapa nchini.
Japo anabezwa,anakashifiwa na kuitwa dhaifu lakini ukweli utabaki palepale Kikwete ni rais bora kuliko wote tuliopata kuwashuhudia.
Siku atakayokaa pembeni tutamkumbuka.
Nadhani inafaa tumtambue kama rais wa karne ktk nch yetu.
...utaijua tu we ngoja ikufanye vibaya...ukawa ndo nani?
we nae umedandia train kwa mbele,anaedai waliosoma shule za jk ni vilaza,mi nikamwambia ataje magenious waliosoma kabla ya shule za jk.sasa wewe tena unaniuliza mimi habari ya mageniuos?