Chelsea Damu
Member
- Jan 18, 2015
- 14
- 2
Na aliyeongoza kwa kusafiri km yeye
mleta uzii huu ni "kichwa nazi"
Msome vizuri kaandika "tunaweza kukaa muda mrefu sana tusipoangalia" sasa wewe hayo yako umeyatowa wapi?
Nchi yetu Tanzania timeshuhudia vipindi vya marais wengi.Ila kwa uelewa na ufuatiliaji wangu,tunaweza kukaa muda mrefu sana tusipoangalia katika kupata rais kama huyu JK wa pili hapa nchini.
Japo anabezwa,anakashifiwa na kuitwa dhaifu lakini ukweli utabaki palepale Kikwete ni rais bora kuliko wote tuliopata kuwashuhudia.
Siku atakayokaa pembeni tutamkumbuka.
Nadhani inafaa tumtambue kama rais wa karne ktk nch yetu.

ukawa ndo nani?
Hana lolote sifa za ukoka ni kweli hatutapa rais yeyote kama Kikwete maana ndo rais wa kwanza kununua urais pili ni useless na bogus president ever ruled our country kutokana na uwezo wake finyu na katawala kwa miaka 10 kila mtanzania hata asiye na sifa za kuongoza anajiona anauwezo wa kuwa Rais sababu Kikwete kaharibu hadhi ya Rais na kufanya kila mtanzania aamini anaweza ni serikali iliyokuwa ya madili hatujapata kuiona tangu tupate Uhuru.
Nyerere aliwahi sema Rais akinunuliwa na wachache wakampeleka ikulu ndo atawatumikia hao wachache na kweli tumeona kwa JK anawatumikia waliomnunua si kutumikia watanzania
Nchi yetu Tanzania timeshuhudia vipindi vya marais wengi.Ila kwa uelewa na ufuatiliaji wangu,tunaweza kukaa muda mrefu sana tusipoangalia katika kupata rais kama huyu JK wa pili hapa nchini.
Japo anabezwa,anakashifiwa na kuitwa dhaifu lakini ukweli utabaki palepale Kikwete ni rais bora kuliko wote tuliopata kuwashuhudia.
Siku atakayokaa pembeni tutamkumbuka.
Nadhani inafaa tumtambue kama rais wa karne ktk nch yetu.
hakuna haja ya kuuliza mtu,jipime mwenyewe hali yako kimaisha ilikuaje kabla ya 2005 na sasa
Nchi yetu Tanzania timeshuhudia vipindi vya marais wengi.Ila kwa uelewa na ufuatiliaji wangu,tunaweza kukaa muda mrefu sana tusipoangalia katika kupata rais kama huyu JK wa pili hapa nchini.
Japo anabezwa,anakashifiwa na kuitwa dhaifu lakini ukweli utabaki palepale Kikwete ni rais bora kuliko wote tuliopata kuwashuhudia.
Siku atakayokaa pembeni tutamkumbuka.
Nadhani inafaa tumtambue kama rais wa karne ktk nch yetu.
Nchi yetu Tanzania timeshuhudia vipindi vya marais wengi.Ila kwa uelewa na ufuatiliaji wangu,tunaweza kukaa muda mrefu sana tusipoangalia katika kupata rais kama huyu JK wa pili hapa nchini.
Japo anabezwa,anakashifiwa na kuitwa dhaifu lakini ukweli utabaki palepale Kikwete ni rais bora kuliko wote tuliopata kuwashuhudia.
Siku atakayokaa pembeni tutamkumbuka.
Nadhani inafaa tumtambue kama rais wa karne ktk nch yetu.
Umeyatoa na sio umeyatowa.
Kichwa maji kbsa.labda wasanii wenzie ndo watamkumbuka.mleta uzii huu ni "kichwa nazi"