Hivi unajivunia hizo shule kweli? heri jk wa kwanza aloacha shule moja lakini watu walifaulu lakini sio hizo za kata zinazalisha vilaza .
Subiri hadi karne itimie ndiposa hao wataokuwepo wakati huo ikitimia watabainisha hili...
Lakini hadi hapa tulipo sioni la maana alilofanya hadi kutukuzwa kwa wingi wa maneno uloyaandika...
Alichofanya ni kutimiza baadhi ya wajibu kama kiongozi wa nchi lakini ameshindwa kujenga misingi ambayo waliomtangulia pia walianguka kwa hilo...
vilaza kwa vigezo vipi?.
hao ambao walisoma shule zisizolisha vilaza unaweza kututajia?
...yaaa hatutapata serikali dhaifu kama hii tena maana ukawa ni imara kuongoza nchi...
mkuu 90% watoto wanaomaliza shule ya kata hawajielewi.Nimekutana na wengi tu ambao huwa nawatafutia nafas za kuokoteza 200-300 kwa mwezi linapofika swala la lugha ya malikia wengi uzikataa nafasi hizo za kazi kwahiyo mkuu nafahamu shule ya kata inazalisha watu gani.
Riz anaomba bank account yako.
Rais galasa kabisa.Hafai hata kuwa mkuu wa mkoa.rushwa, uoga,ukatili na uongozi mbovu.
sasa kumbe unakubali katimiza wajibu,kwani ulitaka akufanyie kipi zaidi au akubebe mgongoni?
ukawa ndo nani?
Nchi yetu Tanzania timeshuhudia vipindi vya marais wengi.Ila kwa uelewa na ufuatiliaji wangu,tunaweza kukaa muda mrefu sana tusipoangalia katika kupata rais kama huyu JK wa pili hapa nchini.
Japo anabezwa,anakashifiwa na kuitwa dhaifu lakini ukweli utabaki palepale Kikwete ni rais bora kuliko wote tuliopata kuwashuhudia.
Siku atakayokaa pembeni tutamkumbuka.
Nadhani inafaa tumtambue kama rais wa karne ktk nch yetu.
Bywatu8:
Subiri hadi karne itimie ndiposa hao wataokuwepo wakati huo ikitimia watabainisha hili...
__sioni logic ya ulichosema hapa.kwanini tusubiri karne nzima,what is the logic here?