-kwanza unasema huoni alichofanya,halafu unageuka tena kudai katimiza wajibu,which is which?
hiyo misingi ambayo hajaweka ni ipi hiyo na ilishawekwa nchi ipi labda utupe mfano
Nchi yetu Tanzania timeshuhudia vipindi vya marais wengi.Ila kwa uelewa na ufuatiliaji wangu,tunaweza kukaa muda mrefu sana tusipoangalia katika kupata rais kama huyu JK wa pili hapa nchini.
Japo anabezwa,anakashifiwa na kuitwa dhaifu lakini ukweli utabaki palepale Kikwete ni rais bora kuliko wote tuliopata kuwashuhudia.
Siku atakayokaa pembeni tutamkumbuka.
Nadhani inafaa tumtambue kama rais wa karne ktk nch yetu.
JK mwanamume huyu hatutamsahau,mfano MWALIMU miaka yake 24 Mkoa wa KIGOMA aliwaachia sekondari moja tu,Miaka 2 tu yake JK na LOWASA walimaliza kata zote TANZANIA.JK jembe.
Ni kweli haijawah tokea rais jinga kama hiliii tutalikumbuka kwa ujinga wake
Kikwete shule nyingi lakini illiteracy level ni 100% wakati wa mwl shule mbili literacy level 100%.
-kwani wewe kwako la maana ni lipi,liseme.
Elimu imeanguka kwa kiwango cha kutisha hadi ikabidi matokeo ya O'level na A"level yachakachuliwe , Shilingi inaanguka kwa kasi ya kutisha, wizi na ufisadi uliokithiri ndani ya Serikali mpaka Serikali inakosa pesa za kulipa mishahara. Huyu ni mtu ambaye hakustahili kabisa kupewa ridhaa na Watanzania kuiongoza nchi, uwezo wake ni SIFURI hana sifa hata moja ya uongozi. Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya; Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana, Tumethubutu,
kumbe tatizo walimu hawapewi mshahara,hawajalipwa tangu lini na kwanini hawasemi?
Is there anything extraordinary that your so praised president has accomplished?
Tukuzo huja pale mtu anapofanya zaidi ya kipimo cha ukamilifu ama zaidi ya wajibu...
Huwezi kuisifia sukari kwa kuwa ni tamu na wasahau kuwa kazi yake ni kutia utamu...
Sifa kubwa ya watu waliobweteka ni kupaza sauti zao na kuwasifia kwa kuwakweza wale waliofanya wanayopaswa kufanya...
Leo hii rais akisimamia ujenzi wa barabara basi atapigiwa vinubi na zumari, watu wanasahau kuwa mtu huyu katimiliza l
kumbe kazi ya kusifia ni nini kama si kusifu mtu anapotimiza wajibu?
rais gani anashindwa kumfurusha kagame, kagame anatemeba kifua mbele...
kumbe kazi ya kusifia ni nini kama si kusifu mtu anapotimiza wajibu?
Sifa huja ufanyapo hatua moja zaidi ya wajibu...
Wajibu wa kila mwananchi ni kutii sheria za nchi, je wewe kama mwananchi ushawahi kusifiwa kwa kutimiza wajibu huu?
soma takwimu za IMF au world bank utaona vipi GDP ya Tanzania imepaa kwenye dahari ya JK , elimu ilivyopanuka n.k.
acha mawazo mgando, hizo takwimu zinaandikwa na watu kama wewe, tuongee uhalisia elimu imepanikaje? au div 5