Tanzania haitambui ushindi wa Mugabe - Membe

......mkuu ES umemaliza...membe anahitaji somo la diplomacy.....ndio maana hata kwenye mkutano wa sullivan alishindwa kazi rahisi ya kutambulisha viongozi...he did a diplomatic fault ,kosa lile dogo lilionyesha ukosefu wake wa umakini!!
 
Mkuu FMES,

asante kwa dataz................binafsi ninazo dataz za makubaliano ya kule UK, kila mtu alitakiwa a-play part yake.......Je Mugabe anaweza kutueleza pesa alizopewa amezifanyia nini kabla ya hiyo 1997?...........
 
Dua said:
Kuna issue ambazo naona kidogo zinaweza kuelekea kuwa na utata. Moja ni ya Mugabe kuwa king pin katika mazungumzo ya Lancaster - Ni ukweli usiopingika kwamba sisi Tanzania as a nation tulikuwa tunahitaji ZANU waungane na ZAPU kuwa (ZANU-PF) ili kuweza kufanikiwa katika hilo lakini tulimsupport zaidi Nkomo na ZAPU.


Further, in the political sphere, Rowland for many years attempted to undermine the alliance of the Patriotic Front, whose two member organizations fought against the white minority government from separate bases in Mozambique and Zambia. According to British press reports, in September 1977, Rowland orchestrated a secret meeting between Rhodesian Prime Minister Ian Smith and Patriotic Front co-leader Joshua Nkomo, in an attempt to break up the Front and draw Nkomo into a separate peace with the white minority. In justifying his government's expropriation, Nyerere specifically cited Lonrho's sanction busting and the company's "meddling in the affairs of Southern Africa." particularly in Rhodesia.

Dua,

..Nkomo aliachiwa "LAANA" na Nyerere kutokana na tabia yake ya kuchukua pesa toka kwa Tiny Rowland.

..In the end Nyerere na Samora walikuwa wanam-support Mugabe.

..hata Savimbi naye aliachiwa "LAANA" na Nyerere kutokana na kushirikiana na makaburu na Tiny Rowland wa Lonhro.

..Nyerere didnt like Dr.Augustinho Neto in the beggining, but he ended up supporting him once Savimbi showed his true colours.
 
Maisha ya Wazimbabwe yalikuwa swaafi tu...Na ni baada ya makubaliano ya wao kutoingilia level ya uongozi kuanza kukiukwa na hapo Mugabe akaona na ARDHI nayo itakwenda tu.
Maisha yalikuwa si mbaya sana il bado kuna watu wanakaa kwenye slams na kulia njaa na wakati kuna ardhi kubwa yenye rutuba yenye kumilikiwa na watu 5000 tu!
Ardhi ambayo iliwalisha sana ulaya na pia kuchangia kwenye uchumi wa Zimbabwe.
Je kwanini na hao wasioukuwa na makazi na wenye njaa wasiangaliwe?
Wenye shida nyingi kwenye ardhi yao na huku mali zao zikiporwa na wenyewe kufa kwa magonjwa yenye kuzuilika na ama kutibika pamoja na njaa?
It is Extremely hard and tough to adhere.
 
Africa takes centre stage as G8 kicks off summit

By Yoko Kubota and Alan Wheatley
2 hours, 26 minutes ago

TOYAKO, Japan (Reuters) - The Group of Eight rich nations will seek to convince a skeptical Africa on Monday that it is living up to promises to double aid to the world's poorest continent.

Underlining the importance of the issue, the G8 has invited seven African leaders to join the opening day of its annual summit, taking place at a plush hotel on the northern Japanese island of Hokkaido.

Climate change, record oil prices and a deteriorating global economy add up to a crowded agenda for the three-day meeting, but U.S. President George W. Bush said he particularly wanted to hold fellow leaders to account for their African aid pledges. At its 2005 summit in Gleneagles, Scotland, the G8 agreed to double aid to Africa by 2010 as part of a wider drive to alleviate global poverty.

The G8 holds talks on Monday with the leaders of Algeria, Ethiopia, Ghana, Nigeria, Senegal, South Africa and Tanzania.

Ndio maana tumekimbilia kutoa msimamo kwa kushinikizwa na mkono mzito kisa na mkasa ni misaada ya kutoka huu mkutano, waizri wetu wa nje tunasema hivi hii ni aibu kubwa snaa kwa taifa letu!

Kama nilivyosema mkutano wa G8 SUMMIT ni muhimu sana!
Na kwa hivyo basi...Kikwete anaelekea kwenda kupata ujumbe wake huko kwani drums za VITA HAKUNA TENA!
Hata hivyo vikwazo vya uchumi sidhani kama Bush atavikumbatia tena.
Hivyo basi Balozi Green kesha washa yellow...Na Kikwete anajiandaa kupewa ujumbe!
However...Si vizuri kutabiri chochote kwa sasa...Ila msimamo wa Marekani kama ulivyo kwa wananchi wengi ni ripoti na hatua za kisheria.
 
Mkuu FMES,asante kwa dataz................binafsi ninazo dataz za makubaliano ya kule UK, kila mtu alitakiwa a-play part yake.......Je Mugabe anaweza kutueleza pesa alizopewa amezifanyia nini kabla ya hiyo 1997?...........

Ni swali zuri lakini sio kwa Mugabe bali kwa Tonny Blair mwenyewe, kwani miezi michache ya kwanza alipoingia ofisini, waziri wake wa maendeleo ya kimataifa Bi. Clare Short aliandika barua ya pongezi kwa Mugabe, kumpongeze jinsi alivyotumia vizuri mafungu ya fedha aliyopewa kwa ajili ya ugawaji ardhi. Ikumbukwe hizi ni pesa zilizotolewa na John Major aliyekuwa PM kabla ya Tonny. Swali hapa ni kwa vipi Blair alishindwa kutimiza wajibu wake kwa upande wake?
 
Aibu gani? Wananchi wengi wapo very proud na maamuzi ya serikali yetu kuhusu kutokumtambua Mugabe. Angalia matokeo ya kura ya maoni.

Ni wananchi hao hao Kitila waliukataa mfumo wa vyama vingi Tanzania, na ndio hao hao waliompa ushindi wa kishindo JK na ndio hao hao waliinyima kura CHADEMA Kiteto. Wazo langu, kama tunaunga mkono maoni ya wananchi kwa stahili hii, basi siku nyingine tusianze kutafuta sababu, tuendelee kuunga mkono maoni yao kwa asilimia 100%
 
Wazungu 5000 walinyang'anywa ARDHI basi kelele miiingi!

Hivi kuna anayejuwa waafrika mamilioni kwa mamilioni tumeporwa ardhi kiasi gani na kufanywa kama hata si binadamu na watu wakakaa kimya na bado wanaendelea kukaa kimya?

Watu walikuwa wapi wakati watutsi na wahutu wakichinjana? What about DARFUR?

DOUBLE STANDARD HATUTAKI!

Tunataka kelele zipigwe hata pale mweusi anapopoteza haki yake kama ilivyo kwetu watanzania tuliopoteza UHURU WETU.
 
Je Mugabe anaweza kutueleza pesa alizopewa amezifanyia nini kabla ya hiyo 1997?...........

Mkuu Mugabe, alinunua ardhi chache kulingana na hela alizokuwa akipewa ambazo hazikuwa niyingi sana kwa sababu mpaka leo hujasikia Wazungu wakidai kuwa Mugabe amekula hela za ardhi, hiyo charge sijawahi kuiona popote pale meaning kwamba hata wazungu wanajua kuwa Mugabe alizitumia hela zile ndogo kwa matumizi ya kununua ardhi na asingeweza kabisa kuziiiba hizo hela kwa sababu by now angekuwa ameshapinduliwa na wenziwe kwa sababu kumbuka kuwa ndani ya jeshi la Zimbabwe kuna makamanda wakli na wenye nguvu kuliko hata Mugabe mwenyewe, na ndio hao wenye tatizo na Mugabe kuachia power, kumbuka kuwa katika siasa za taifa huwezi kutawala bila ridhaa ya watawala wenzio,

According to the dataz, ni kwamba wakati wa kusubiri matokea ya ule uchaguzi wa majuzi alioshinda Tshangarai, wazungu wengi toka UK walianza kurudi Zimambwe na kukaa mahotelini wakishangilia kuhsinda kwa Tshangarai kwamba tayari watarudishiwa ardhi yao, kuna hata waliodiriki kwenda kwenye mashamba yao ya zamani ambayo sasa yanamilikiwa na baadhi ya wanajeshi wa Mugabe, na kuwaakashifu huku wakisema kuwa wajitayarishe kuachia mashamba sasa ni era ya Tshangarai, ndio maana hata kutoa matokeo ilikuwa ni tatizo,

Leo hata Tshangarai akipewa urais hawezi kutawala Zimbabwe kwa amani kwa sababu yeye anawazidi wengine bungeni kura kumi tu, na hili ni bunge la lower house, wakati la upper house linashikiliwa na watu wengi wa Mugabe, suluhisho la Zimbabwe leo linatakiwa liwatenge wote Tshangarai na Mugabe, wawekwe pembeni na Zimbabwe ianze upya, otherwise itakuwa ni waste of time na money,

Tanzania tumekosea sana kwa kutoa hili tamko ni aibu kubwa sana kwa taifa letu!
 
...............suluhisho la Zimbabwe leo linatakiwa liwatenge wote Tshangarai na Mugabe, wawekwe pembeni na Zimbabwe ianze upya, otherwise itakuwa ni waste of time na money..........

...........kwa hilo hapo juu, tuko wote mkuu,......mengine lets tukubaliane kutokubaliana......bse you know one side of the story and i know the other side............
 
Zimbabwe iachwe peke yale na historia ya Mugabe ifutiliwe mbali?
Wote wakae pembeni kivipi?
Hapa kazi aachiwe Mbeki.
 
Mkuu Mugabe, alinunua ardhi chache kulingana na hela alizokuwa akipewa ambazo hazikuwa niyingi sana kwa sababu mpaka leo hujasikia Wazungu wakidai kuwa Mugabe amekula hela za ardhi, hiyo charge sijawahi kuiona popote pale meaning kwamba hata wazungu wanajua kuwa Mugabe alizitumia hela zile ndogo kwa matumizi ya kununua ardhi na asingeweza kabisa kuziiiba hizo hela kwa sababu by now angekuwa ameshapinduliwa na wenziwe kwa sababu kumbuka kuwa ndani ya jeshi la Zimbabwe kuna makamanda wakli na wenye nguvu kuliko hata Mugabe mwenyewe, na ndio hao wenye tatizo na Mugabe kuachia power, kumbuka kuwa katika siasa za taifa huwezi kutawala bila ridhaa ya watawala wenzio,

According to the dataz, ni kwamba wakati wa kusubiri matokea ya ule uchaguzi wa majuzi alioshinda Tshangarai, wazungu wengi toka UK walianza kurudi Zimambwe na kukaa mahotelini wakishangilia kuhsinda kwa Tshangarai kwamba tayari watarudishiwa ardhi yao, kuna hata waliodiriki kwenda kwenye mashamba yao ya zamani ambayo sasa yanamilikiwa na baadhi ya wanajeshi wa Mugabe, na kuwaakashifu huku wakisema kuwa wajitayarishe kuachia mashamba sasa ni era ya Tshangarai, ndio maana hata kutoa matokeo ilikuwa ni tatizo,

Leo hata Tshangarai akipewa urais hawezi kutawala Zimbabwe kwa amani kwa sababu yeye anawazidi wengine bungeni kura kumi tu, na hili ni bunge la lower house, wakati la upper house linashikiliwa na watu wengi wa Mugabe, suluhisho la Zimbabwe leo linatakiwa liwatenge wote Tshangarai na Mugabe, wawekwe pembeni na Zimbabwe ianze upya, otherwise itakuwa ni waste of time na money,

Tanzania tumekosea sana kwa kutoa hili tamko ni aibu kubwa sana kwa taifa letu!

Mimi naona suluhisho si kuwanyang'anya mashamba...Bali kugawa upya na kuhakikisha kuwa wazawa na wana nufaika na ardhi yao...Pia na kuhakikisha kwa hakuna umasikini na huku mali ikiwa mikononi mwa wachache!

Hiyo si THE FITTEST SURVIVES NA ni Social Darwnism.

Hata kama wakipewa mashamba hayo ni lazima mwananchi masikini apate haki yake na si kufa njaa,ama kwa magonjwa ya kuzuilika na ama ukosefu wa dawa na elimu.
 
bse you know one side of the story and i know the other side............

Bila ya kuiweka hapa hiyo side yako of story kwa manufaaa ya wananchi hapa kuelimishana na kuhabarishana, labda ni afadhali either usingekuwa nayo au usingeisema kabisa, kwa sababu wananchi hapa tunaelimika kwa kuwekewa hiyo side yako of story ambayo so far huiweki lakini unasema unayo iweke hapa mkuu tuelimike, kwa sababu sisi huwa tunaweka tuu and let the chips fall where they may!

By the way this weekend, nilipata bahati ya ku-spend a quality time na katibu wa zamani wa ofisi ya rais, yaani Mzee Paul Rupia na mkewe, hasa siku nzima ya jana kama kawaida niliweza ku-inject maswali mengi sana ya siasa zetu bongo za sasa, na kama kawa nikisha di-ggest nitazimwaga hapa pole pole, na pia niliweza kuwashawishi kuiingia hapa JF kujionea wenyewe wananchi wanavyokata ishus hapa, they were very excited na analysis kibao hapa na wameniahidi kuwa watakuwa hawakosi hapa.

JF always mbele na one step ahead!
 


By the way this weekend, nilipata bahati ya ku-spend a quality time na katibu wa zamani wa ofisi ya rais, yaani Mzee Paul Rupia na mkewe, hasa siku nzima ya jana

Wenye nchi hii mna vijimambo.......

Mzee amekuja ku-upgrade status yake huko isije siku ya wa-uswazi kuingia Masaki akakosa pa kukimbilia..... Inaelekea Balali amewaamsha wengi waliukuwa wakulazimisha kulala.......

Tanzanianjema
 


By the way this weekend, nilipata bahati ya ku-spend a quality time na katibu wa zamani wa ofisi ya rais, yaani Mzee Paul Rupia na mkewe, hasa siku nzima ya jana kama kawaida niliweza ku-inject maswali mengi sana ya siasa zetu bongo za sasa, na kama kawa nikisha di-ggest nitazimwaga hapa pole pole, na pia niliweza kuwashawishi kuiingia hapa JF kujionea wenyewe wananchi wanavyokata ishus hapa, they were very excited na analysis kibao hapa na wameniahidi kuwa watakuwa hawakosi hapa.

JF always mbele na one step ahead!
naomba umwambie huyo mzee Rupia kwa niaba ya watanzania arudishe mali zote alizoiba yeye pamoja na familia yake usisahau kufukisha huo ujumbe kwani huyo jamaa na familia yake ni fisadi namba MOJA....
 
..kipande cha habari nimekipara allafrica.com. kuna propaganda kutoka kila upande. inabidi mtu uwe makini sana na kile unachokisoma kuhusu Zimbabwe.


The Tsvangirai disappearing trick, apart from disheartening some of his supporters, also laid bare media bias and manipulation.

On June 25, for example, the British newspaper, the Guardian, published a commentary by Mr Tsvangirai, which called for international troops to intervene.

But Mr Tsvangirai disowned it, saying that it did not reflect his opinions regarding solutions to the Zimbabwean crisis. The newspaper later removed the article from its online version. So who placed the article in the Guardian?

Perhaps only historians will be able to put the Zimbabwe crisis in its proper perspective.
 
Mbona wasimueleze hayo walipokuwa nae Egypt, wamekula na kunywa pamoja sasa hayuko machoni ndio wanatoa vistatement vyao, kule wnapongezana kisha huku wanalete story za ajabu ajabu. Wanaogopa joto ya jiwe!

Ni mijoga kwa sababu wenyewe si wasafi - hapa ndio tunaona thamani ya Mwalimu kwani asingekaa kimya.

Kwa Muungwana tumepoteza kila kitu hata ile sifa ya Tanzania katika kutetea uhuru na haki ya wanadamu wengine duniani.
 
Maisha ya Wazimbabwe yalikuwa swaafi tu...Na ni baada ya makubaliano ya wao kutoingilia level ya uongozi kuanza kukiukwa na hapo Mugabe akaona na ARDHI nayo itakwenda tu.
Maisha yalikuwa si mbaya sana il bado kuna watu wanakaa kwenye slams na kulia njaa na wakati kuna ardhi kubwa yenye rutuba yenye kumilikiwa na watu 5000 tu!
Ardhi ambayo iliwalisha sana ulaya na pia kuchangia kwenye uchumi wa Zimbabwe.
Je kwanini na hao wasioukuwa na makazi na wenye njaa wasiangaliwe?
Wenye shida nyingi kwenye ardhi yao na huku mali zao zikiporwa na wenyewe kufa kwa magonjwa yenye kuzuilika na ama kutibika pamoja na njaa?
It is Extremely hard and tough to adhere.
Mushi wakati huu nadhani si wakati wa kuwalalamikia wazungu tena kwa habari za Zimbabwe maana walishaondolewa na kuiachia ardhi ya weusi.
Lakini inasemekana kuwa hata sasa bado shida ya ardhi ipo maana hawa wakubwa weusi wamejigawia ardhi kubwa na wenzao bado wanalialia na ardhi/
Sasa wakulaumiwa bado ni wazungu ???
 
Kutokana na statement JK aliyoitoa Japan inaonekamna kabisa hakukuwa na haja ya Membe kutoa Msimamo huu.

Bush meeting on Zimbabwe finds little common ground

When last they met, President Bush and Tanzanian President Jakaya Kikwete were all smiles. That was in February, in Dar es Salaam. Bush was touting the success of the White House initiative fighting HIV/AIDS, malaria and tuberculosis in the developing world -- and his plan to increase funding from the $18 billion spent up to then to $30 billion for the next five years.

They met again today in Toyako, Japan, on the sidelines of the Group of Eight summit, the annual conference of the leading industrial nations. Kikwete, the leader of the African Union, was there for related meetings on Africa. But in Toyako in northern Japan, Bush was coming not with new money, but with a new complaint: He wanted to see a tougher stance against Zimbabwe, in the wake of a presidential election he has called a sham.
A sure sign that the meeting did not go as planned: Reporters had been told before the session that the two presidents were likely to respond to questions during a photo-op after the meeting. When the picture-taking came, the two men presented their statements, and departed. They ignored shouted questions.

Bush said the question of Zimbabwe "took a fair amount of time."

"It did, it did," agreed Kikwete. That appeared to be the extent of their agreement.

To be sure, neither cared for the power-grab that has kept Zimbabwean President Robert Mugabe in office.

But from there, it was clear that they found no agreement on what to do about it -- and Bush's push for U.N. sanctions did not produce the support he sought.

Kikwete, speaking in diplomatic code that suggested -- in some distance from the U.S. policy -- the African Union favored a power-sharing agreement for Zimbabwe, added:

We are saying no party can govern alone in Zimbabwe, and therefore the parties have to work together to come up to -- to come out, work together, in a government, and then look at the future of their country together.

Later, White House Press Secretary Dana Perino emphasized that Bush had found some support for sanctions, and it was "not a President Bush versus the world situation."

Dan Price, a deputy White House national security advisor, put it this way: "There were differences. Not all leaders are there yet, in respect of sanctions."

As Kikwete put it: "The only area that we may differ is on the way forward."

Which, of course, is the central question.

For the transcript of the Bush-Kikwete comments, click here.

For the transcript of Dana Perino and Dan Price, click here.

--James Gerstenzang

http://latimesblogs.latimes.com/presidentbush/2008/07/when-last-they.html
 
African leaders drowned by Western push for sanctions at G8

By Lebo Nkatazo
Last updated: 07/09/2008 05:48:51
BRITAIN and the United States on Tuesday appeared ready to ignore African counsel to push through with punitive sanctions on Zimbabwe.

Seven African leaders invited to the G-8 summit in Japan all agreed sanctions against Zimbabwe "wouldn't be useful".

South African President Thabo Mbeki, who is involved in delicate talks supported by the Southern African Development Community (SADC) and Africa Union (AU) to establish a unity government in Zimbabwe, even suggested sanctions could trigger civil war.

But the US and Britain -- backed by France, Italy and Germany -- were ready to railroad the sanctions measures against President Robert Mugabe's government through the United Nations in response to accusations of voter fraud in the run-up to the June 27 presidential election runoff which secured Mugabe a controversial sixth term. Opposition leader Morgan Tsvangirai who led in the first round vote boycotted the run-off, claiming massive intimidation of his supporters.

"There's growing support for sanctions against the Mugabe regime being stepped up," British Prime Minister Gordon Brown said.

US President George W. Bush said Monday he was "extremely disappointed" with Zimbabwe's "sham" election. President Sarkozy said he would back sanctions as Mugabe's regime "tarnishes the image of all of Africa."

Italian Prime Minister Silvio Berlusconi said G8 leaders had voted unanimously to seek United Nations sanctions against Zimbabwe.

"The need and the urgency was indicated for sanctions at the UN Security Council," Berlusconi said, "that even Russia decided to go ahead. It seemed to me important to join in, voting unanimously."

Earlier, Russia had expressed strong reservations about sanctions against Zimbabwe.

"Russia is against financial or other sanctions against Zimbabwe because we don't believe in sanctions in this particular case as an effective tool," said Alexander Pankin, a deputy Foreign Ministry department chief, on the margins of the summit.

"Threatening with sanctions is not the best way of settling the issue between the parties. It's important to maintain peace and stability in Zimbabwe, and not to trigger a situation which would be unstoppable or could unfold in a very negative way," Pankin, who is involved with the talks that Russian President Dmitry Medvedev was attending, told reporters.

He said Russia advocates "broad negotiation" involving African leaders.

Senegal's President Abdoulaye Wade said on Tuesday that he had urged the G8 powers not to slap sanctions on Zimbabwe.

"I said that sanctions wouldn't be useful and that they wouldn't change the regime," Wade said.

He said he spoke first at a special session on Africa on Monday that also included Mbeki. "I was supported by all African leaders," he said. "We Africans called for a continuation of mediation that's underway.

"I understand that Westerners have to react to public opinion, which is shocked by images of massacres. They can't react. But for us Africans, sanctions aren't going to resolve anything."

On Monday, Tanzanian President and African Union chairman Jakaya Kikwete told US President George Bush that African leaders saw the Zimbabwe crisis "differently".

"You see differently," Kikwete told Bush, "but for us in Africa we see differently. At the last summit of the African Union, many leaders expressed their dissatisfaction at the way things happened (Zimbabwe elections). But also we agreed on the way forward.

"We are saying no party can govern alone in Zimbabwe, and therefore the parties have to work together to come up to -- to come out, work together, in a government, and then look at the future of their country together. So this is the way we see it."

Wade said he had asked German Chancellor Angela Merkel and French President Nicolas Sarkozy in separate meetings for the G8 leaders at least to delay sanctions if they insist on imposing them.

Mbeki warned Britain and the US that Zimbabwe could descend into civil war if they pressed for tougher sanctions against the Mugabe regime, according to Britain's Guardian newspaper.

The Zimbabwean government blames interference from Western countries for delaying a solution to the country's political impasse.

"It is the UK that is pushing for sanctions, but isolating and demonising Zimbabwe is not in the best interests of anyone. They should treat Zimbabwe as a partner rather than an enemy," Zimbabwe's Deputy Information Minister Bright Matonga said.

And a spokesman for Japan, the G8 hosts, reported: "Some African leaders mentioned that we should bear in mind that Mugabe will retire in a few years. Putting pressure on Zimbabwe, including sanctions, might lead to internal conflict. We should be discreet and careful."

It is expected that China will use its veto power at the United Nations to block the imposition of sanctions on Zimbabwe. Russia is also seen likely to balk.

The G8 groups Britain, Canada, France, Germany, Italy, Japan, Russia and the United States.

http://www.newzimbabwe.com/pages/au19.18462.html
 
Back
Top Bottom