Tanzania haina Arena, tuache ushamba!

Tanzania haina Arena, tuache ushamba!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,299
Reaction score
90,482
Arena ni kiwanja kikubwa kilicho katika mithili ya ukumbi ambacho shughuli za michezo, muziki, mikutano na sanaa mbalimbali zinaweza kufanyika ndani yake.

Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili tu ambazo ni BK Arena, Kigali na Moi/Kasarani Arena, Kenya. Supe Dome Masaki ni hall tu ya kufanyia matukio madogo madogo ya kijamii kama kitchen party, harusi, iftar n.k
Screenshot_20250323-043631_X.jpg
 
View attachment 3280180

Wee Babu, shikamoo, ama baada ya shikamoo Mimi ni mzima wa siha muruwa kabisa. Dhumuni la barua hii ni kutaka kujua Leo utakuwepo kilengeni? Nataka nilete sadaka ya mbuzi pale kwa Babu Ambilikile Mwasapile wa Samunge, Loliondo?

Nakutakia Domingo njema
 
Tawile .. Tawile... Mkubwa na wajukuu zake.. Nipo Kilingeni Ila kusanyiko la tambiko lilikuwa jana
 
Unaweza kutusaidia sifa ya area inavyotakiwa kuwa ili tupate uelewa wa pamoja.

Hasa kulingana na ulichokieleza hapo. Kama ni ukubwa unakuwaje, kama ni maegesho, pia idadi ya watu.

Arena kwa michezo ya mipira sifa zake, boxing, burudani nk. Itusaidie kupata picha sisi ambao ni wageni wa haya mambo ya arena
 
Arena ni kiwanja kikubwa kilicho katika mithili ya ukumbi ambacho shughuli za michezo, muziki, mikutano na sanaa mbalimbali zinaweza kufanyika ndani yake.

Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili tu ambazo ni BK Arena, Kigali na Moi/Kasarani Arena, Kenya. Supe Dome Masaki ni hall tu ya kufanyia matukio madogo madogo ya kijamii kama kitchen party, harusi, iftar n.k
View attachment 3280180
Duh mkuu, kwan super dome walikataa ww kufanya kitchen party Yako? Mbona umeandika kwa hasira hvy?
 
Superdome, ni kweli sio Arena kama imavyotakiwa sifa za arena. Ila imeitwa arena kama Jina tu maana inauwezo wakubeba watu 1500 tu, haizidi blue peal wala mlimani city. So fahamu ile ni Hall ila wakalipa jina la Arena kama utani au kulitabanisha jina. Ila ule ukumbi na wenyewe kuachana na hao watu wako wa mtandao ndio wameita arena. Ule ukumbi unaitwa THE SUPERDOME Tanzania.
Kamfundishe huyo uliyescreenshot kule X, kwamba arena ni for indoor games kama basketball au tennis, ina mzunguko wa vita inabeba watu almost from 2000 mpaka 20,000 tao, ina locker rooms, sehemu za vyakula na vinywaji, parking yake binafsi. Arena ni kama eneo linalojitosheleza kila kitu. Sio hall tu. Unapanga viti kama harusi.
 
Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili tu ambazo ni BK Arena, Kigali na Moi/Kasarani Arena, Kenya. Supe Dome Masaki ni hall tu ya kufanyia matukio madogo madogo ya kijamii kama kitchen party, harusi, iftar n.k
Kwa msaada wa Gemini:

When discussing "physical space arenas" in East Africa, we're primarily talking about large stadiums and multi-purpose venues designed for sports and events. Here are some key examples:

  • Kigali Arena (Rwanda):
    • This is a modern, indoor arena that stands out in the region.
    • It's used for basketball, volleyball, concerts, and other events.
    • It has a capacity of around 10,000 seats.
    • It has become a very important venue for events in the east african region.
  • Moi International Sports Centre, Kasarani (Kenya):
    • This is a large, outdoor stadium complex in Nairobi.
    • It includes a main stadium, an aquatic center, and an indoor arena.
    • The main stadium is primarily used for football and athletics.
  • Mandela National Stadium (Uganda):
    • Located in Kampala, it's a major outdoor stadium for football.
    • It has undergone recent renovation.
  • Benjamin Mkapa Stadium (Tanzania):
    • Located in Dar es Salaam, it is a very large outdoor stadium used primarily for football.
  • Talanta Hela Stadium (Kenya):
    • This is a stadium currently under construction in Nairobi, Kenya. It is being built to host 2027 AFCON games.
These venues play significant roles in the region's sporting and cultural life, hosting national and international events.
 
Nimekuja kugundua twitter inamalimbukeni wengi Sana

Huyo jamaa anaandika kwa confidance kabisa kumbe halijui kitu
Twitter zamani ndio ilikuwa ina watu wenye akili kwa wingi, tangu ibadilishwe na kuitwa X ni kama watu walio wengi kwa sasa kwenye huo mtandao kama wanaakisi hilo jina jipya kabisa.
 
Kwa msaada wa Gemini:

When discussing "physical space arenas" in East Africa, we're primarily talking about large stadiums and multi-purpose venues designed for sports and events. Here are some key examples:

  • Kigali Arena (Rwanda):
    • This is a modern, indoor arena that stands out in the region.
    • It's used for basketball, volleyball, concerts, and other events.
    • It has a capacity of around 10,000 seats.
    • It has become a very important venue for events in the east african region.
  • Moi International Sports Centre, Kasarani (Kenya):
    • This is a large, outdoor stadium complex in Nairobi.
    • It includes a main stadium, an aquatic center, and an indoor arena.
    • The main stadium is primarily used for football and athletics.
  • Mandela National Stadium (Uganda):
    • Located in Kampala, it's a major outdoor stadium for football.
    • It has undergone recent renovation.
  • Benjamin Mkapa Stadium (Tanzania):
    • Located in Dar es Salaam, it is a very large outdoor stadium used primarily for football.
  • Talanta Hela Stadium (Kenya):
    • This is a stadium currently under construction in Nairobi, Kenya. It is being built to host 2027 AFCON games.
These venues play significant roles in the region's sporting and cultural life, hosting national and international events.
Arena huwa zinakuwa enclosed au zinawezekana kufungwa kwa juu inapohutajika, Benjamin Mkapa na Mandela Stadium hazina uwezo wa kufungika kwa juu kuwezesha shughuli kuweza kuendelea katikati ya uwanja wakati wa mvua au jua kali.
 
Back
Top Bottom