mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,440
- 138,231
Ile lami ilipigwa kuanzia kati ikaishi kanisani pale,mimi nlijuwa imefika mpaka msakuzi kumbe badoRais wa hovyo sana.leo nimepita mbezi msakuzi wilaya ya ubungo,nikaona Barabara yote ni mashimo tu hadi nikamkumbuka magufuli.Uchawa uliokithili wa kiwendawazimu umetuletea rais bogus
Ova