Tanzania haijawahi kupata Rais kama Samia

View attachment 3570637
Japo tuliwahi kuwa na baadhi ya marais wa hovyo kama Jakaya Kikwete, huyu wa sasa sina la kusema. Sijui kama anajua anachofanya kiumbe huyu. Mungu atusaidie ikiwezekane amkutanishe na Magu japo tupumue. Inakuwaje tugeuzwe koloni la koloni letu nasi tuangalie hata kushindwa kulalamika?
Nawasilisha kilio changu.
Bado hamjasema...
Hii ni mwendo mdundo mpk 2030!
Mpaka mseme
 
View attachment 3570637
Japo tuliwahi kuwa na baadhi ya marais wa hovyo kama Jakaya Kikwete, huyu wa sasa sina la kusema. Sijui kama anajua anachofanya kiumbe huyu. Mungu atusaidie ikiwezekane amkutanishe na Magu japo tupumue. Inakuwaje tugeuzwe koloni la koloni letu nasi tuangalie hata kushindwa kulalamika?
Nawasilisha kilio changu.
Takataka hiyo mkuu!
 
Rais wa hovyo sana.leo nimepita mbezi msakuzi wilaya ya ubungo,nikaona Barabara yote ni mashimo tu hadi nikamkumbuka magufuli.Uchawa uliokithili wa kiwendawazimu umetuletea rais bogus
Na bado! Mpk 2030 mtakuwa mmetoa milio ya kila namna
 
View attachment 3570637
Japo tuliwahi kuwa na baadhi ya marais wa hovyo kama Jakaya Kikwete, huyu wa sasa sina la kusema. Sijui kama anajua anachofanya kiumbe huyu. Mungu atusaidie ikiwezekane amkutanishe na Magu japo tupumue. Inakuwaje tugeuzwe koloni la koloni letu nasi tuangalie hata kushindwa kulalamika?
Nawasilisha kilio changu.
Kila anapotanabaishwa na sifa ya "udaktari" mbele za watu, basi hapo kila kitu huaribika. Alianza na "who're you?' sasa bei zao za mafuta kwa Lita ni €4,000 ama US $8,000
 
View attachment 3570637
Japo tuliwahi kuwa na baadhi ya marais wa hovyo kama Jakaya Kikwete, huyu wa sasa sina la kusema. Sijui kama anajua anachofanya kiumbe huyu. Mungu atusaidie ikiwezekane amkutanishe na Magu japo tupumue. Inakuwaje tugeuzwe koloni la koloni letu nasi tuangalie hata kushindwa kulalamika?
Nawasilisha kilio changu.
 
Mnafikiri wamarekani ni wajinga kwa kutomchagua mwanamke kuwa Rais?

Mpaka 2030 mtajuta kuzaliwa Tanzania
 
Back
Top Bottom