UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
unajuaje kama Malaria Sugu ni mtu na siyo taasisi inayotumia jina la malaria sugu kuwakilisha fikra chokozi za Mafisi- Hadi kwenye jamvi letu tukufu la JF?Malaria Sugu, alipigana peke yake sasa kuna dalili ataibuka mshindi na chama chake cha CCM.
kweli kabisa, Mbwana Slaa alitakiwa kuwa Mbunge na sio Rais, tutamkumbuka kwenye bunge lijalo na hata yeye atakumbuka kuwa bungeni, next time asithubutu kukubali kungombea Urais
Mate yanadondoka sio?huko biharamulo pia ccm :rip:
kweli kabisa, Mbwana Slaa alitakiwa kuwa Mbunge na sio Rais, tutamkumbuka kwenye bunge lijalo na hata yeye atakumbuka kuwa bungeni, next time asithubutu kukubali kungombea Urais
kushindwa kwa dr.slaa ni kushindwa kwa wananchi maskini...
kinachotia uchungu yeye sio maskini tena kwani hata akiukosa urais atalipwa milioni 12 kila mwezi na chadema kwa mujibu wa mkataba waliokubaliana nae!!!
Weka nakala ya hayo makubaliano hapa please! Chadema huwa tunakwenda kwa datas sio porojo za sisi m. Ndio sababu tumeanza kuaminiwakinachotia uchungu yeye sio maskini tena kwani hata akiukosa urais atalipwa milioni 12 kila mwezi na chadema kwa mujibu wa mkataba waliokubaliana nae!!!

.Magogoni

JK 696

Dr. 50

Prof. 6044

Bukoba Mjini.

JK 15,410

Prof. 449

Majimbo kumi yametimia watatuita tena kutupa kumi mengine. Nimeyapata kwenye hard copy, natafuta scanner nimscanie Invisible.

matokeo mengine ni saa 11 jioni na ya mwisho saa 2:00 usiku.