Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Wabongo bana.........Walikuwa wanafanya acrobatic au ukomandoo? Kama ukomandoo walikuwa wanafanyia pori la ngerengere?
Wabongo bana.........
Sasa Heading ya thread ni 'Tanzania Comnandos Show'.......Na kazi za Commandos ni pamoja na hiyo unayoiita carobatic...
Sasa sijui wewe ulitaka hiyo show ioneshe ukomandoo wanaoufanya Ngerengere ama kwenye medani ya kivita.....
Yani we kunguru unasema nilikua nafanya mazingaombwe.Yani umati wote ule mie niwafanyie mazingaombwe?mazingaombwe kwani hamuyajui toka lini ngumi ikavunja jiwe duuh! kweli wabongo vichwa panzi mnadanganyika hivi hivi
Mmmh!!Tanzania ina makomandoo wangapi?
Tanzania ina makomandoo wangapi?
Nchi hii kila mtu ni comando, hata LEMA naye hujiita comando.!
!
makomandoo vipensi hawa au makomandoo john?
Niliona kwenye luninga maonesho ya hao makomandoo; mafunzo yao ni hali ya juu sana. Nikakumbuka jinsi askari walivyopata taabu kumkamata Tamim mmoja wa makomando waliotuhumiwa kutaka kuipindua serikali ya Nyerere na hatimaye kuweza kumuua kwa kumpiga risasi pale Kinondoni!!!!.
Haya maonesho ya nguvu za dola yaliyooneshwa kule Zanzibar wakati wa sherehe za miaka 50 ya mapinduzi yana lengo la kuwatayarisha kisaikolojia wananchi wa visiwani kitu gani wakitegemee na kinaweza kuwapata iwapo watakaidi matakwa ya watawala wao ikiwa ni pamoja na kukataa muungano wa serikali mbili!!!
mazingaombwe kwani hamuyajui toka lini ngumi ikavunja jiwe duuh! kweli wabongo vichwa panzi mnadanganyika hivi hivi
Hivi hawa so called makomandoo wetu kazi yao ni kuonyesha show kwenye sherehe tu?
Hapana, ila pengine umetambua uwepo wao kupitia hiyo show yao. Kama hukujua uwepo wao basi inawezekana kuna mengine mengi pia usiyoyajua kuwahusu, ikiwemo kazi zao!
Hawana kazi yoyote ya maana hao zaidi ya kuruka ruka kwenye sherehe