Utasikia upande mmoja safi sana we piga kazi baba[emoji23][emoji23]
Mabenki yapunguze gharama za uendeshaji
Mabenki yanatakiwa kuwa mabunifu na kutanua shughuli zao. Yasome Mazingira yafanyamo kazi na kufanya kazi accordingly.
Mi naona yamekosa ubunifu tu
Kumbe mabenki wanafanya biashara na pesa za nani?walizoea kufanya biashara na pesa za umma,what do you expect?
umeongea neno mkuu, miaka ya sabini, themanini pamoja mwanzoni mwa tisini hao wadudu walikuwa wanapeta kutokana na umasikini, ukosefu wa elimu bora(kutokujitambua) na matibabu duni, ila miaka ya hivi karibuni watu walikuwa wameanza kujitambua, sasa hawa nyenyere wameligundua hilo wanataka waturudishe huko tulikotoka ili wapate usingizi!!!!Wakiongezeka masikini basi inahesabu wanachama wake wameongezeka
wewe acha ndoto za mchana huyo mfugaji atakuwa anakula kwa mamako muda huo wa mwaka mzima, hao ngombe hawatibiwi? hawafi? Mchungaji ni baba yako? Maji Ya babu yako? watachunga kwa shamba la bibi yako? tuache hayo yote kumbuka hapo kunaHiyo ndiyo point mkuu, mabenki ya kibongo mengi yalizoea kufanya biashara na pesa za serikali, hata kutafuta wateja walikuwa hawafanyi, zamani mabenki yalikuwa na maajenti wa kuwatafutia wateja. Babu yangu aliwahi kukopa tractor miak ya 1961 alifuata na mawakala waliokuwa wananunua pamba ENZI HIZO wahindi, lakini mkopo ulikuwa wa barclays ya wakati ule.ALIFUATWA KIJIJINI. Kwa nini mabenki yasiende vijijini wakafanya biashara huko ya kutafuta wateja??
Watu wanalalamika wafugaji hawauzi ng'ombe kama biashara. Haya mabenki yakitoa elimu kwa wafugaji ili wafanye ufugaji wa kibiashara watapata wateja wengi sana. Ni lazima wawatafute wafugaji wa kisukuma, kimasai, kilangi nk wawashawishi kwa hoja (najua watapata changamoto kuwaelimisha lakini mwisho watakubali maana hawajaelimishwa kuingia mfumo huo wameachwa kama yatima)wakikubali kuwa wanavuna ng'ombe kwa mwaka, assuming mfugaji mwenye ng'ombe 1000 akikubali kufuga kibiashara akawanenepesha ng'ombe na akaweza kuvuna ng'ombe 100 kila mwaka atapata (shs.900,000 x 100= 90,000,000) kwa mwaka assuming nchi nzima wakipatikana wafugaji 100 watakaowekaza kwa kiwango hiki ina maana mabenki yatapata deposits kutoka kwa wafugaji hawa wachache 100 xshs.90,000,000=shs.9,000,000,000 kila mwaka. Assuming baada ya miaka mitano uwekezaji wa wafugajikatika mabenki utakua kwa kiwango cha shs.45,000,000,000
Mabenki yatakuwa yamefanya faida kubwa na uhakika wa deposits. Elimu hii ikikua na kuwashawishi wafugaji wengi multiplier effect kiuchumi itakuwa kubwa sana, kwani wenye butcher watapata soko la uhakika wa ng'ombe, uuzaji nje utafanywa etc etc.
So mabenki lazima yabadilike namna ya kufanya biashara wasisubiri wateja wa kuja kukopa tu, watafuta wateja wa kuweka pesa benki.wataalamu wa benki waache kufanya biashara ya vitabuni, wawe proactive katika kuibua fursa wamuelewe RAIS JPM ana maanisha nini, wakisubiri wapewe gori la mezani, duuu watasubiri sana na wataanza kutafuta visingizio eti oo serikali irekebishe sera. wapiiiii
wewe mubunifu unamiliki hata tuta la mchicha hapo ulikopanga? au unasubiri wabunifu wakulipe mshahara? kumbuka bank ni tasisi ina wataalamu wakila nyanja kwa hiyo wanapotangaza kushuka kwa faida wanamaanisha, sio wewe from no where, huna moral authority unakosoa taluma ya watu kwa kutumia kigezo kimoja tu cha ubunifu. Dogo rudi shule kasome Business Education, there are so many factors which may lead to success or failure of entity kubwa kuliko zote ni government intervetion!!!!.Mabenki yapunguze gharama za uendeshaji
Mabenki yanatakiwa kuwa mabunifu na kutanua shughuli zao. Yasome Mazingira yafanyamo kazi na kufanya kazi accordingly.
Mi naona yamekosa ubunifu tu
Huo msemo wa mwisho umenena jambo la msingi sana......ni kweli na ni sahihi kabisa kusema Uchumi ndio unatakiwa kudefine siasa na sio siasa zidefine uchumi......hata huo ubadhilifu wa awamu ya kikwete ni tatizo hilo hilo la kutumia siasa kufanya maamuzi ya kiuchumiNi sawa na bondia anayepigwa ulingoni karibu kufa,badala ya kurusha taulo ili refa asimamishe mechi,wao wanamuahamasisha aendelee kupigana
Bila uchumi hata usalimia kwa kisukuma,kijaluo,kifilipino,hutaeleweka
Uchumi inatakiwa uongoze siasa,sio siasa iongoze uchumi
2020 tutakuwa tunaitwa new zimbabweNgoja tuone mwisho wake maana hadi 2020 si mbali !
Duuh yaani wewe hamnazo kabisaJamani, sasa mnatakaje? mnataka achukue hela awawekee mfukoni? kuwa wabunifu! No longer bussness as usual!
TuNataka kudhibiti pesa au kuzalisha pesa?kama ni kudhibiti basi magufuli alikuwa sahihi kuzihamishia Bot!ila kama tulitaka kuzizalisha zaidi ili zisaidie ku boost uchumi basi alikosea!wewe ukiwa na fedha utataka kuzichimbia uvunguni ili uweze kuzidhibiti?au utaziwekeza ili zizalishe?Acha zife zote tutabaki na benki moja benki kuu ya taifa, hii itaipa serikali uwezo wa kudhibiti mzunguko wa fedha😀
Ni kweli bro. Benki zinapata faida kutokana na mikopo ya wateja. Kwa sasa wateja wengi tunaogopa kukopa kwa sababu biashara hazijakaa vema sana, kiasi kwamba marejesho yataleta usumbufu. Bora benki wakae nazo pesa zao wenyewe. Ndio chanzo cha kushuka kwa hizo faidaLoans giving, expenditure ni moja ya vichocheo vya ukuaji wa uchumi,ambavyo kwa hivi sasa they are not free to that extent, watch out uchumi wetu!!! hah hah ha nilikuwa nachomekea kidogo kisukuma!!!
Katika mshikemshike wa kuwatafuta "wapiga dili" ambapo watu walifanyiwa kitu kiitwacho "Taxe examination" TRA imekuwa ikifunga account za wafayabiashara na kuzuia miamala yote Jambo ambalo limepepekea wafanya biasha kutoziamini bank na kuamua kufunga account and kuendesha mialama ya cash, huku wakianzisha vibobo. ukifuatalia kwa makini utaona biashara ya safe boxes imetoka sana kipindi hiki. Ni utaratibu wa kisheria lakini ulikuwa ufanyike kwa tahadhari ili usiathiri tabia za watu. Kila serekali inapopanga kuanzishwa kwa kodi basi watu hutafuta njia mbadala wa kukwepa, na wafanyakazi wa serekali ndio husaidia ukwepaji huo, kwa kuwa wao pia hunufaika na ukwepaji huo. Japo sio wakudumu baadae hao wafanyakazi wanapoamishwa basi ujue utalipia kodi hiyo tuu.Hivi TRA huwa wanakusanyia mapato wapi kama walipa kodi wanatangaza hasara na kufunga biashara?
Hatari sanaKatika mshikemshike wa kuwatafuta "wapiga dili" ambapo watu walifanyiwa kitu kiitwacho "Taxe examination" TRA imekuwa ikifunga account za wafayabiashara na kuzuia miamala yote Jambo ambalo limepepekea wafanya biasha kutoziamini bank na kuamua kufunga account and kuendesha mialama ya cash, huku wakianzisha vibobo. ukifuatalia kwa makini utaona biashara ya safe boxes imetoka sana kipindi hiki. Ni utaratibu wa kisheria lakini ulikuwa ufanyike kwa tahadhari ili usiathiri tabia za watu. Kila serekali inapopanga kuanzishwa kwa kodi basi watu hutafuta njia mbadala wa kukwepa, na wafanyakazi wa serekali ndio husaidia ukwepaji huo, kwa kuwa wao pia hunufaika na ukwepaji huo. Japo sio wakudumu baadae hao wafanyakazi wanapoamishwa basi ujue utalipia kodi hiyo tuu.