Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Teh Teh Big banks profit... Fall...... hebu twambie ni bank gani hizo?
Source :THE CITIZEN HAHAHAHA
Braza na wewe ulijaribu kusomea sheria? ..hata kusoma hujui...lol
Teh Teh Big banks profit... Fall...... hebu twambie ni bank gani hizo?
Source :THE CITIZEN HAHAHAHA
Yaani umesoma kichwa cha habari tu, ukafyatuka kama risasi kuiliza swali ambalo lina jibu kwenye uzi. Soma habari yote.Teh Teh Big banks profit... Fall...... hebu twambie ni bank gani hizo?
Source :THE CITIZEN HAHAHAHA
Ni sawa na bondia anayepigwa ulingoni karibu kufa,badala ya kurusha taulo ili refa asimamishe mechi,wao wanamuahamasisha aendelee kupiganawanaomsifiaga uyu jamaa cjui wana matatzo ya akil au n maprofound
Hao ni Roboti mkuu.wanaomsifiaga uyu jamaa cjui wana matatzo ya akil au n maprofound
Hakika......yeye kila kitu anaona hewa,sasa nchi imechafuka kwa kunyanyasa wawekezaji,vijana wamemaliza vyuo hawana ajira na hawataelewa somo lolote,wawekezaji wa kuwaajiri umewatisha unawaita wapiga dili,hili jeshi la vijana litakwenda wapi?Tatizo walioshika mpini wana akili za kawaida tu. Kuna msemo maarufu ambao umekuwa ukitumiwa na viongozi wetu "Usione vyaelea" na hivi karibuni "ukiona tochi inawaka"; wao wawe wa kwanza kujifunza kutoka katika msemo huo kwani kujenga imani kwa wawekezaji na sekta binafsi zilifanywa jitihada kubwa na serikali zilizopita. Kuna baadhi ya mambo unaweza "kuruka sarakasi" uwezavyo, lakini katika mambo yanayohusu uchumi wa nchi hasa hizi nchi zetu masikini inahitaji kuwa mwangalifu.
Hawakusanyi chochote hata kodi ya majengo inalipa mahakamani.Hivi TRA huwa wanakusanyia mapato wapi kama walipa kodi wanatangaza hasara na kufunga biashara?
Soma kwanza kabla ya kukimbilia kukomenti.Teh Teh Big banks profit... Fall...... hebu twambie ni bank gani hizo?
Source :THE CITIZEN HAHAHAHA
Taifa likae kitako litafakari,tumekwamaSiku hizi hata kupata mikopo ni shiida hata uwe na vigezo hasa CRDB
new loan ni kazi kupata ila renewal wanatoa.Siku hizi hata kupata mikopo ni shiida hata uwe na vigezo hasa CRDB
Mkuu msamehe tu huyo naye anafanya kitu kwa maagizo toka juu!! kwenye hili la uchumi mchango wa mtu anaitwa KobeloYaani umesoma kichwa cha habari tu, ukafyatuka kama risasi kuiliza swali ambalo lina jibu kwenye uzi. Soma habari yote.
Loans giving, expenditure ni moja ya vichocheo vya ukuaji wa uchumi,ambavyo kwa hivi sasa they are not free to that extent, watch out uchumi wetu!!! hah hah ha nilikuwa nachomekea kidogo kisukuma!!!