Tanzania: Big banks' profits fall amid continuing industry woes

Tanzania: Big banks' profits fall amid continuing industry woes

Sishangai, walitoa mikopo risky ambayo sasa hailipiki, serikali imeondoa hela zake hivyo hawana mtaji waliozoea kuzungusha kwa wateja, walioweka hela zao (ambao wengi walikuwa wapiga dili) wanatoa au walishatoa. Wamefika Hapo kwa maamuzi yao wenyewe. Sasa inabidi wajiongeze ili wasiharibu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mijitu itakuambia humu, " it was fake economy"
It was, na ndio maana mambo yako hivi, kazi ya BOT sio kukopesha benki binafsi, pia huwezi sema wewe kipato chako ni laki saba kwa mwezi ila watumia milioni 4 kwa mwezi! Hesabu gani hizo?!
Tutalaumu tutatukana, ila ukweli wabaki pale pale, tumia unachopata halali, na sio mangumashi yale ya wakati ule
 
sioni kosa la mtu mwenye kipato cha laki saba kutumia milioni 4, hizo milioni nne anazotumia bila shaka nazo ni zake ndio maana anatumia.. sio lazima umlipe mtu mshahara laki saba halafu akawa hana vyanzo vyake vingine vya hela, mfano
" Unauza gari mil 3 umetafuta mteja umekosa, mimi nimekuuzia gari lako hilo hilo kwa mteja nimjuae kwa mil5, kosa langu hapo ni nini". Tofautisha wizi na ujanja katika kuishi..dalali wa nyumba ana kosa gani? kama anakusaidia kutafuta nyumba ambayo wewe huwezi kuitafuta halafu akachukua kodi ya mwezi mmoja au nyumba ambayo wewe umekosa mteja wa mi500 yeye akaleta wa bil 1?.. ukimkuta anatumia hiyo mil 4 ndio umhukumu eti kisa ni hana kazi uijuayo?? hii ni 2017.

Kazi ya Serikali sio kuzuia watu wasipate hela na maendeleo, kazi ya serikali ni kuhakikisah watu hawavunji sheria kupata vipato vyao, kama mtu amepata tilioni 800 bila kuvunja sheria hupaswi kumuhoji eti kisa ni darasa la saba,..

Tafsiri ya Magumashi bado inawasumbua watu, Magumashi ni kupata hela kwa kuvunja sheria lakini kama namiliki hela bila kuvunja sheria hutakiwa kupambana na mimi zaidi utakuwa wivu tu..
 
Faida katika mabenki makubwa nchini imeporomoka,hii ni kwa mujibu wa gazeti la THE CITIZEN

Wanauchumi watatuambia hii ina maana gani

NMB mwaka jana walipata faida ya bilioni 45,mwaka huu bilioni 35,pungufu bilioni 10

CRDB mwaka jana walipata faida bilioni 27,mwaka huu bilioni 13,pungufu bilioni 14

Ndani ya miaka kumi Tanzania itakuwa na benki yenye afya? Au zitakufa zote tubaki na benki za wakenya!View attachment 555206
Ni utaratibu wa mabenki kutoa taarifa ya shughuli za kibenki kwa kila robo mwaka. Taarifa zinazozungumziwa hapa ni za April- June 2017, na si za mwaka mzima! Inawezekana kwa robo mbili zilizobakia July- Sept, and Oct- Dec, hali ikaboreka au ikazidi kuwa mbaya
 
Asichezee ugali wa watu milioni 50 kwa propaganda zake zisizoeleweka!!

Meza inahitaji ugali bhana,tena ugali na mboga,akavuruge uchumi wa nyumbani kwake
Hutuli ndege wala fly over wala reli ya mwendo kasi tunakula mahindi
 
Sasa hivi kila biashara wanajitahidi kulipa kodi na kunyoosha uendeshaji wa kazi ili kuendana na maadili mapya. Nchi inanyooka, viongozi wamekuwa makini balaa, ukitizama kwenye luninga kila kiongozi amekuwa Magufuli kwenye usimamizi, watu wanachapa kazi. Kwa kweli tofauti ni kubwa, serekali inatajirika kwa kasi na kazi tunaiona, mipango mikubwa tunaisikia. Jamii forum ndio tumebaki tunapiga domo zaidi.
 
Safi sana Chash
 
Lumumba msije mkawa mnabwata bila kujua mnachoongea kwa kijitoa ufahamu ,jambo hili lina athari mtambuka ambazo ni hasi,kuna siku mtashindwa kupata kodi ya kulipa mishahara
 
Faida katika mabenki makubwa nchini imeporomoka,hii ni kwa mujibu wa gazeti la THE CITIZEN

Wanauchumi watatuambia hii ina maana gani

NMB mwaka jana walipata faida ya bilioni 45,mwaka huu bilioni 35,pungufu bilioni 10

CRDB mwaka jana walipata faida bilioni 27,mwaka huu bilioni 13,pungufu bilioni 14

Ndani ya miaka kumi Tanzania itakuwa na benki yenye afya? Au zitakufa zote tubaki na benki za wakenya!View attachment 555206
Mimi siyo Mwanauchumi lakini nina uhakika kuwa Mabenki mengi tanzania yalikuwa yanafanya biashara na pesa za umma.
Mashirika, Idara za umma zote zililikuwa zinahifadhi pesa zake kwenye benki za biashara.
Lakini tangu alipoingia JPM na kurejesha utaratibu uliokuwa ukitumika zamani ambapo mashirika/idara zote za umma pesa za kuhifadhiwa na BOT.
 
Magu amefeli pa kubwa!! Kama ilivyo no new development project ndio ilivo no new income than bombadia!! Watz mkimrudisha after 10 yrs mtavaa viraka watch thiscomment
 
Kwa upande wangu nimepunguza expenditure toka mh aingie madarakani, kama sinunui nguo mpya, simu mpya,mjengo umeishia kwenye lenter je Hawa wanaojishughulisha na hizo shughuli ni vipi wanasurvive.pamoja na kwamba wanapata ila sio kwa kiwango cha kawaida, kwa nini hata benki zisipungue kwakiwango cha faida?
 
Back
Top Bottom