Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,094
- 9,261
Hivi TRA huwa wanakusanyia mapato wapi kama walipa kodi wanatangaza hasara na kufunga biashara?
wape mda ndugu,
walichofanya TRA kwa miak miwili mfululizo ni kuua mitaji ya watu, wamekamua mpaka damu ndio manaa bishara zimekufa sana na zina endelea kufa.