Tanzania: Big banks' profits fall amid continuing industry woes

Tanzania: Big banks' profits fall amid continuing industry woes

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
13,437
Reaction score
14,941
Faida katika mabenki makubwa nchini imeporomoka,hii ni kwa mujibu wa gazeti la THE CITIZEN

Wanauchumi watatuambia hii ina maana gani

NMB mwaka jana walipata faida ya bilioni 45,mwaka huu bilioni 35,pungufu bilioni 10


CRDB mwaka jana walipata faida bilioni 27,mwaka huu bilioni 13,pungufu bilioni 14


Ndani ya miaka kumi Tanzania itakuwa na benki yenye afya? Au zitakufa zote tubaki na benki za wakenya!
IMG-20170801-WA0032.jpg
 
Loans giving, expenditure ni moja ya vichocheo vya ukuaji wa uchumi,ambavyo kwa hivi sasa they are not free to that extent, watch out uchumi wetu!!! hah hah ha nilikuwa nachomekea kidogo kisukuma!!!
 
Hahahaaaa,wanakufa na tai shingoni......piga kazi babaa,sasa kama ana msemo wa hapa kazi NA Taasisi zinafilisika,si bora wakae nyumbani,kazi bila faida kazi gani sasa
Ngoja tuone mwisho wake maana hadi 2020 si mbali !
 
Siku hizi tunatunza hela majumbani na vile biashara zilivyobana unabadilishana dollar na wakongo,wazimbabwe na kuzifukia.. hamna cha benki wala nini ..mpaka watu tunasahau password za akaunti za benki.
 
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kiongozu wetu kukubali kushaurika otherwise hii namba itasomeka kwa lugha zote.
 
Na bado..

Dereva analipeleka lori spidi kubwa haangalii alikotoka wala anapokwenda. Vuluvulu tu.

Tulikuwa na serikali BADHILIFU sasa hivi tuna serikali HARIBIFU.

Tanzania imekwisha kabisa.
 
Teh Teh Big banks profit... Fall...... hebu twambie ni bank gani hizo?
Source :THE CITIZEN HAHAHAHA
 
Back
Top Bottom