TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)

TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)

Status
Not open for further replies.
Allah! The moon God, Emmited to Jews God by Mohamed, forced to people by Armies, intimidation and political qonquor. If God is good then Allah is not God but if God evil, Allah is God.

Wow! "Philosophical" Thesi,you are not serious are you!?

I mean what you have posted is just a good monday morning joke right!?

But just in case you are serious,pull up a chair and listen very closely;
No Sir,Muslims aren't terrorists and Islam doesn't condone terrorism and/or justify any form of killing of innocent civillians.

Sheikh Mohammed Said for instance,which is a good example of Muslim/Islam.

But here's where you argument fails. Well,let me put this way...Can a Muslim be a terrorist or bloodsucker/s as some of you been calling us!? The answer is a big fat NO!

Unless you are mistaken and we've different interpretation/definition of the word terrorist/terrorism!?

In that case what about the state organised and funded terror/terrorism!?

Back to the Topic Please!

Ahsanta.
 
Huyu shetan amerudi tena? Mbegu mzipandazo zmeanza kuzaa matunda huko NAIROBI. Hongeren kwa kukata kiu. Mungu awarehem sana

One should question,but never to make a fool out of yourself or comment what you don't understand!

Any meaningful contribution/comment to the Topic/paper as presented by Sheikh Mohammed Said!?...Otherwise, fact off!!

Ahsanta.
 
250px-72-houris.jpg

zawadi hiyo ya warembo 72 mkijilipua tu! Anaanza nani?

Did you know that the the Biblical "Ten Plagues" against Egypt was stolen and grossly exaggerated from the Ancient Pagan texts of "Ipuwer Papyrus"-3000BC!?

Back to the Topic Plse!

Ahsanta.
 
Did you know that the the Biblical "Ten Plagues" against Egypt was stolen and grossly exaggerated from the Ancient Pagan texts of "Ipuwer Papyrus"-3000BC!?

Back to the Topic Plse!

Ahsanta.

I cant agree more bro!

Unfortunately your words is going to fall in deaf ears!
Teaching this people is like try to play guitar to a lamb and expected the lamb to dance!
And that will never happen.!

How sad eey!!
 
Huyu shetan amerudi tena? Mbegu mzipandazo zmeanza kuzaa matunda huko NAIROBI. Hongeren kwa kukata kiu. Mungu awarehem sana

Maneno yako yanafanana na elimu uliyonayo! Elimu za kata zimewaletea majanga makuu!
Huna uwezo wa kiakili wa kujenga hoja!
Unapayuka kama mlevi wa pombe ya kienyeji!
Maskini mtoto wa kufkia we! Basi juu ya kuwa uwezo wako wa kufkiri kuwa mdogo, umekosa hata mafunzo ya huyu mzazi mmoja aliyekulea? Hakukufundisha namna ya kujibizana na wazee wewe!
Amma mtoto huna adabu we!
Lahaula walaquwat.! Watu km nyie ni janga la taifa .
 
Nyakageni,
Kipi kitakachonikimbiza Nkrumah?

Ikiwa nitaalikwa kuzungumza Ukumbi wa Nkrumah nitakwenda na sidhani kama
nitatoka katika ukumbi kwa mabio nawakimbia watu na wao wako nyuma wananikimbiza.

Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum.
Nakutumia bayana hii adimu kukuamkua tu kiduchu.

Nakusihi Al Akhiy,tafadhali wala sijitie tafrani na wahka wa roho ati kumjibu huyo karagosi Nyakageni, asojua nidhamu ya kitaaluma.

Hapa jamvini hajatokea mwenye hata thuluthi ya uyajuayo na karima ya ulojaaliwa nayo.

Kama uonavyo mpaka sasa wala hawana hoja yoyote yenye kungia akilini kitaaluma,zaidi ya tashtit,chuki,hasada,kebehi dhidi yako binafsi,Waislamu na dini yetu tukufu!?

Nakhis wengi wao bado wana hang-over ya ile minyambulisho ulowapa na hadhara ilowakumba kwenye ule mnakasha ulokwisha/ulofungwa(tena baada ya wao wenyewe kuinua makono juu,kulalama na kulazimishwa ati ufungwe!)

We kaa utulizane,huku kipata zako faluda,chai ya zahtari,pilipili-doria kimalizia na mikate yako ya chila...tuwama kiwasoma chuki na mashaufu yao yaso mipaka wala tahayuri...siwajibu asilan.

Manyakanga wao wenye kuwamudu mbona wamo humu humu kama uonavyo;akina Maalim Chamviga,Shariff Ritz,Dr. Kahtaan,Ustadh Al Tayeb,Mwinyi Mbokaleo,Ulamaa Ally Kombo, Hajat Faizafoxy,Alhaj Kikwajuni One,Al Akhiy Boko Haram,Ustaadh Sideeq,Chief Elungata,Prof.Crabat,Al Murid-The Big Show,Mufti Barubaru na wengineo lukuki...wala shaka sikungie Al Sahib.

Insha Allah Mola akuzidishie takrima ya umri ulo mwema,sabra na kukulipa fadhila zako kwa yoote.

Nasi tuhapa kwa utuvu, kuzidi pata hii Ilm yako iso shaka.

Jazaak Allahu Khairu!

Ahsanta sana.
 
Al-Habib gombesugu,

I couldn't see the treasures that all this side, teh teh teh.

Hiyo orodha hatari tupu hizo ndiyo habari za Mzizima au Durussalam.
 
Last edited by a moderator:
Al-Habib gombesugu,

I couldn't see the treasures that all this side, teh teh teh.

Hiyo orodha hatari tupu hizo ndiyo habari za Mzizima au Durussalam.

Marhaba ya akhi Ritz maneno yako sisi wanyamwezi tunayaita "soga saNa!"
Teh teh teh! Wallahi uislamu raha bwana!
Alaaah!
 
Last edited by a moderator:
Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum.
Nakutumia bayana hii adimu kukuamkua tu kiduchu.

Nakusihi Al Akhiy,tafadhali wala sijitie tafrani na wahka wa roho ati kumjibu huyo karagosi Nyakageni, asojua nidhamu ya kitaaluma.

Hapa jamvini hajatokea mwenye hata thuluthi ya uyajuayo na karima ya ulojaaliwa nayo.

Kama uonavyo mpaka sasa wala hawana hoja yoyote yenye kungia akilini kitaaluma,zaidi ya tashtit,chuki,hasada,kebehi dhidi yako binafsi,Waislamu na dini yetu tukufu!?

Nakhis wengi wao bado wana hang-over ya ile minyambulisho ulowapa na hadhara ilowakumba kwenye ule mnakasha ulokwisha/ulofungwa(tena baada ya wao wenyewe kuinua makono juu,kulalama na kulazimishwa ati ufungwe!)

We kaa utulizane,huku kipata zako faluda,chai ya zahtari,pilipili-doria kimalizia na mikate yako ya chila...tuwama kiwasoma chuki na mashaufu yao yaso mipaka wala tahayuri...siwajibu asilan.

Manyakanga wao wenye kuwamudu mbona wamo humu humu kama uonavyo;akina Maalim Chamviga,Shariff Ritz,Dr. Kahtaan,Ustadh Al Tayeb,Mwinyi Mbokaleo,Ulamaa Ally Kombo, Hajat Faizafoxy,Alhaj Kikwajuni One,Al Akhiy Boko Haram,Ustaadh Sideeq,Chief Elungata,Prof.Crabat,Al Murid-The Big Show,Mufti Barubaru na wengineo lukuki...wala shaka sikungie Al Sahib.

Insha Allah Mola akuzidishie takrima ya umri ulo mwema,sabra na kukulipa fadhila zako kwa yoote.

Nasi tuhapa kwa utuvu, kuzidi pata hii Ilm yako iso shaka.

Jazaak Allahu Khairu!

Ahsanta sana.

Alhaj gombesugu hiyo list nimeisoma hapo juu! Wallahi nimejihisi kama niko hajj na ndugu zangu!
Allahu akbar!
Nakuombea afya njema ndugu yangu ili upate kuwakumbusha hawa wagalatia waliorogwa! Huenda kwa hekima zako na kwa fadhla za muumba wakauona mwanga siku moja!
Barakallah feeq ya akhi! Fee daarayn!
 
Last edited by a moderator:
we have our heroes... number one ni jk nyerere
...
I ' ve stopped to regard him my Hero a decade ago after discovering Who exactly was, his masters and the pains he inflicted to Tanganyika, Zanzibar and Tanzania ...May his soul rest in Hell.
 
Mohammed Said is a looser and he'll never secure,labda akaanzishe nchi yake,sijui Jk Nyerere alimwibia mke..
Truth has a tendency of revealing itself ..Time is not an issue!.... What we are seeing now is just a prelude of the Unveiling The sacred and tightly hidden TRUTH of what befell our country before and after independence. Pray to be alive and of sound mind to be among the honorable witnesses..
 
Huchoki tu kumnanga Mwalimu Nyerere kila upumuapo?

Nikisema nitulie nianze kuchambua kila sentensi ya ngano zako hizi zote utakuta zimejaa hisia tu bila ukweli halisi,

Hakuna unachoweza kukithibitisha hapa hata kimoja juu ya madai yako yote,

Mada imejaa maneno mfano: "inasemekana" "iliaminika" "kulikuwa na taarifa" "ilisikika" nk

Endelea kupiga domo umri unakutupa,

Mafunzo ya wewe na Ilunga kwa vijana Wakitanzania sasa yanazaa matunda, tindikali na ugaidi wa westgate!

Upo kwenye nyuzi 265 kutiwa nguvuni

Wakati ukipata fundo la maji hebu funguka akili yako hapa chini,

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake:

Na:

Yericko Nyerere:

Kwanza kwa tafsiri ya kawaida ya "mfumo kristu" ni "utaratibu unaotumika kuongoza/kutawala mahali/watu kwa misingi ya dini ya kikristu"

Nchini Tanzania kumekuwepo na madai kuwa Tanzania "ni ya mfumo kristu",

Madai haya ni mazito na yanahitaji majibu yakinifu kutoka serikalini kwakuwa yanagusa imani za watu, yana athiri uchumi wetu, yana athiri siasa za nchi yetu, yana athiri elimu yetu pia yana athiri ajira nchini, lakini serikali imekuwa kimya kwa mda mrefu sasa,

Kwa dhana hiyo hapa wanaosema Tanzania ni ya mfumo kristu inamaana kuwa sekta zote zinazosimamiwa na serikali ya Tanzania zipo chini ya Ukristu na hata serikali kuanzia Urais hadi mjumbe wa nyumba kumi nk!

Mwaka 2011 nilijipa kazi maalumu yakuusaka ukweli kuhusu madai hayo,

UTAFITI wangu ULIFANYIKA katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza na Zanzibar, hii ni kutokana na kuwa majiji haya ndio kitovu cha mambo yote na mwelekeo wa taifa letu, na ndiyo yenye wakazi wengi zaidi ambao ni zaidi ya 15% ya Watanzania wote!

Haikuwa kazi rahisi kupata nilichokihitaji hasa kila nilipojaribu kuomba ufafanuzi kwa walioimba na wanaoendelea kuimba wimbo huo wa "Mfumo Kristu" kukosa majibu mujarabu,

Nilipanga safu yangu ya kiutafiti katika makundi yafuatayo,

1) Siasa,
2) Elimu
3) Ajira
4) Uchumi

A. Katika anga la siasa hapa nilijikita kuangalia Watanzania wanaohudumu katika ngazi za kimaamuzi ya kisiasa tu kwa jiji la Dar, Mbeya, Mwanza, Arusha na Zanzibar

Jiji la Dar limekumbatia wanasiasa 521,556 ambao huendeshea shughuli zao za kisiasa Dar tu, niliowahoji imani zao za kiroho ni 360,001 kati ya hawa 270,823 ni waamini wa Uislamu na 89,100 ni waamini wa Ukristu huku 72 ni waamini wa imani zingine na 6 ni waamini wa Urasta fari.

Kundi la wanasiasa lililobaki nilitumia kigezo cha majina yao japo kina akisi kwa 98% tu ya ukweli wao!

Jiji la Mbeya lina wanasiasa 1360 ambao wanahudumu katika siasa ndani ya jiji hilo. niliowahoji kujua imani zao za kiroho ni 386 kati ya hawa 272 ni waamini wa Ukristu na 112 ni waamini wa Uislamu huku 2 ni waamini wa imani zingine na hakuna waamini wa Urasta fari.

Jiji la Mwanza lina wanasiasa 2682 wanaohudumu katika siasa ndani ya jiji hilo, niliowahoji kujua imani zao za kiroho ni 1230 kati ya hawa 324 ni waamini wa Uislamu na 696 ni waamini wa Ukristu huku watu 58 ni waamini wa imani zingine na hakuna waamini wa Urasta fari.

Zanzibar ina wanasiasa 682 wanaohudumu katika siasa ndani ya mamlaka hiyo, niliowahoji kujua imani zao za kiroho ni 123 kati yao 120 ni waamini wa Uislamu na 2 ni waamini wa Ukristu huku watu 1 ni waamini wa imani zingine na hakuna waamini wa Urasta fari.

B. ELIMU

Hapa kwenye sekta ya elimu kwakutumia takwimu za wizara ya Elimu, nilitumia majina ya wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2011-2012 kutambua imani zao japo sio njia aminifu kwa asilimia mia.

Mkoa wa Dar mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 120,032, kati yao 111,231 ni Waislamu, na 8,801 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa!

Mkoa wa Mbeya mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 76,136, kati yao 25,621 ni Waislamu, na 50,515 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa!

Mkoa wa Mwanza mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 100,116, kati yao 23,522 ni Waislamu, na 76,594 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa

Zanzibar mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 89,139, kati yao 89,138 ni Waislamu, na 1 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa

C. AJIRA

Kwamjibu wa takwimu zilizopo Wizara ya Utumishi na ambazo mimi nimetzitumia kama rejea kuu ni kuwa,

Mwezi wa 7 mwaka 2012 Mkoa wa Dar es Salaam ulikuwa na wafanyakazi 876,981, kati yao 492,238 ni Waislamu, wakati 384,700 ni Wakristu na 43 ni wa dini nyinginezo!

Mwezi wa 7 mwaka 2012 Mkoa wa Mwanza ulikuwa na wafanyakazi 226,139, kati yao 114,023 ni Waislamu, wakati 112,116 ni Wakristu na 0 ni wa dini nyinginezo!

Mwezi wa 7 mwaka 2012 Mkoa wa Mbeya ulikuwa na wafanyakazi 199,226, kati yao 99,221 ni Wakrstu, wakati 100,005 ni Waislamu na 0 ni wa dini nyinginezo

Mwezi wa 7 mwaka 2012 Zanzibar ilikuwa na wafanyakazi 113,206, kati yao 113,001 ni Waislam, wakati 205 ni Waikristu na 0 ni wa dini nyinginezo

D. UCHUMI

Katika anga la uchumi nchini nilimulika zaidi idadi ya wafanyabiasha katika miji hiyo kwakutumia takwimu za TRA na BRELA

Mwezi wa kumi nambili Mwaka 2012 jiji la Dar es Salaam pekee lilikuwa na makampuni (Limited) 4737 kwamjibu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni, kati ya hayo utafiti unaonyesha 3826 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Uislamu kwa 100%, wakati 911 yalikuwa yanamilikiwa na Waamini wa Ukristu,

Eneo la Kariakoo ambako kunamkusanyiko mkubwa wa wafanyabiashara na biashara zao kulitoa picha stahiki za utafiti wangu,
Kariakoo na viunga vyake pekee nilitembelea maduka 489,125, kati ya hayo 312,568 yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, na maduka 176,500 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Ukristu wakati maduka 57 wamiliki wake ni wa dini nyingine

Mwezi Januari Mwaka 2013 jiji la Mbeya lilikuwa na makampuni (limited) 197 kwamjibu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kati ya hayo utafiti unaonyesha makampuni 102 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, wakati makampuni 95 yalikuwa yanamilikiwa na Waamini wa Ukristu.

Jiji la Mwanza lilikuwa na makampuni (limited) 204 kwamjibu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kati ya hayo utafiti unaonyesha makampuni 102 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, wakati makampuni 95 yalikuwa yanamilikiwa na Waamini wa Ukristu.

Zanzibar ililikuwa na makampuni (limited) 81 kwamjibu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar, kati ya hayo utafiti unaonyesha makampuni 72 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, wakati makampuni 9 yalikuwa yanamilikiwa na Waamini wa Ukristu.

Msomaji unaweza kutumia mang'amuzi yako kujua hoja ya wenye hoja!

Ndugu zangu Watanzania, tuendeshe siasa za kistaarabu kuilinda nchi yetu iliyojengwa kwa jasho na damu, dhana za kufikirika na zenye agenda mtambuka na wakwale zitalipeleka taifa letu pabaya!

sources please!....Another Parrot in a wilderness!
 
You bullying Idiot still here!?

You are full of shit,hatred and Islamophobia.

I don't see any constructive/meaningful contribution from you...There's no way to justify your ignorant,no intellect at all!

Ahsanta.

English yenyewe hujui! Hatred weka hatrace and kwenye ignorant weka ignorance! Kwa tusi nashukuru kwani Qur'an ndo mafundisho yake. Pia sishangai mawazo yako, DNA yako na ya mtume aliyesema yeye ndo atatoa bikra ya bikra Mariamu wakiwa mbinguni iko sawa
 
...
I ' ve stopped to regard him my Hero a decade ago after discovering Who exactly was, his masters and the pains he inflicted to Tanganyika, Zanzibar and Tanzania ...May his soul rest in Hell.

pamoja na Kiingereza chako kibovu kisarufi umeamua kueleza kilichojificha kwenye bongo zenu! Unafikiri nani zaidi ya Nyerere?
 
Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum.
Nakutumia bayana hii adimu kukuamkua tu kiduchu.

Nakusihi Al Akhiy,tafadhali wala sijitie tafrani na wahka wa roho ati kumjibu huyo karagosi Nyakageni, asojua nidhamu ya kitaaluma.

Hapa jamvini hajatokea mwenye hata thuluthi ya uyajuayo na karima ya ulojaaliwa nayo.

Kama uonavyo mpaka sasa wala hawana hoja yoyote yenye kungia akilini kitaaluma,zaidi ya tashtit,chuki,hasada,kebehi dhidi yako binafsi,Waislamu na dini yetu tukufu!?

Nakhis wengi wao bado wana hang-over ya ile minyambulisho ulowapa na hadhara ilowakumba kwenye ule mnakasha ulokwisha/ulofungwa(tena baada ya wao wenyewe kuinua makono juu,kulalama na kulazimishwa ati ufungwe!)

We kaa utulizane,huku kipata zako faluda,chai ya zahtari,pilipili-doria kimalizia na mikate yako ya chila...tuwama kiwasoma chuki na mashaufu yao yaso mipaka wala tahayuri...siwajibu asilan.

Manyakanga wao wenye kuwamudu mbona wamo humu humu kama uonavyo;akina Maalim Chamviga,Shariff Ritz,Dr. Kahtaan,Ustadh Al Tayeb,Mwinyi Mbokaleo,Ulamaa Ally Kombo, Hajat Faizafoxy,Alhaj Kikwajuni One,Al Akhiy Boko Haram,Ustaadh Sideeq,Chief Elungata,Prof.Crabat,Al Murid-The Big Show,Mufti Barubaru na wengineo lukuki...wala shaka sikungie Al Sahib.

Insha Allah Mola akuzidishie takrima ya umri ulo mwema,sabra na kukulipa fadhila zako kwa yoote.

Nasi tuhapa kwa utuvu, kuzidi pata hii Ilm yako iso shaka.

Jazaak Allahu Khairu!

Ahsanta sana.

Al-habib gombesugu, hakika umenifurahisha kwa kutaja kikosi cha ushindi!

Hiko ni kikosi cha kuchukua point tatu popote pale kinapotia miguu!

Tupo pamoja!
 
Last edited by a moderator:
Did you know that the the Biblical "Ten Plagues" against Egypt was stolen and grossly exaggerated from the Ancient Pagan texts of "Ipuwer Papyrus"-3000BC!?

Back to the Topic Plse!

Ahsanta.

tell this lie to jews! Christianity means followers of Christ. Ngonomind thinking of 72 houris to screw them at 'uwanja wa fisi' wa pepo yenu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom