dah! Poor English, hata mtoto wangu wa std 3 anakuzidi
My apologies Sir!...is that all!?
Just in case...I speak fluently and teach/research four international languages, English is not one of them.
Can we get back to the Topic please!
dah! Poor English, hata mtoto wangu wa std 3 anakuzidi
Al Habib gombesugu,My apologies Sir!...is that all!?
Just in case...I speak fluently and teach/research four international languages, English is not one of them.
Can we get back to the Topic please!
Unanisikitisha sana dogo halafu wewe ndio unaharibu huu uzi kwani lazima uchangie si uwe msomaji tujifunzeni Kiingereza kwanza! Actions speak au action speaks! Toa Kiingereza cha kiarabu hapa
Al Habib gombesugu, nimekusoma na miwani ya 3D.Shariff Ritz,
Asalaam Alaykum Al Akhiy.
Achana na huyo mtu "Nyakageni/Nikanyageni"...nakhis akili yake ina madhila mangi mno.
Wala asikushughulishe,ndo kati ya walewale jamaa zetu wa vijijini wanapomaliza vi-degree vyao uchwara pale Mlimani khalafu hukaa wakaanza kuleta makhanatha na kujinasibu ati wamesoma!ahaaha!
Kama wafuatilia hizo bayana zake dhaifu,basi utaona hata hicho Kiswahili bado champa taabu na kumuadhibu mno!ahaha!
Ahsanta sana.
teh teh teh! Najikinga kwa Mwenyezi Mungu nisiwe miongoni mwa wajinga.Unanisikitisha sana dogo halafu wewe ndio unaharibu huu uzi kwani lazima uchangie si uwe msomaji tu
ahaaaaa nimekumbuka hii ni weekend stuli ndefu au ni mambo ya:mvutaji:
Do you make decisions by reading only one publication by a frustrated author?Why don't you read and understand...there is a difference between hero and heroes...Nyerere's heroics are not denied by the author.
Hiyo heshima mpe wewe, mie simheshimu hata chembe, nimetumia uhuru huohuo wa kutoa maoni unaou-refer hapaMkuu Mohamed Said anastahili heshima. Si vizuri kummiminia matusi makali namna hii mzee wa watu. Ametumia uhuru wake wa kutoa maoni tumjibu kwa staha
Zipo kwe sayansi na kazi ninazofanya, sio hizi hekaya za senile dementia huku mashahidi karibia wote wa aliyoaandika wakiwa wameshakufa kwahiyo hakuna wa kumchallengeWewe paper zako zenye "common sense" ziko wapi? naona unashambulia mleta hoja badala ya kushambulia hoja, hiyo ndio "common sense" au ni sensi ya komoni?
Ritz aionee hii ikiwa kwny file.usiopoijibu ntakupuuza sna
Mkuu nikisoma post zako napata ilmu kubwa sana yaani kunawatu wanaudhi humu kila kitu waislamu siku hiziHiz Media zinawabrainwash sana hawa watu sampuli hii,
Na huwa mjadala ukiwa na watu kama hawa huwa sikai tena naondoka zangu,
Mada iko wazi,sijui zipi ni hoja zako,
Chukulia mfano media zinavokuwa na double standard,
''joseph kony uganda na lordy resistance army decades ago started the resistance army with the sole aim of setting the biblilical ten commandments,but the media have knowingly avoided to use the term ''CHRISTIAN REBELS''
While on the contrary they continiously use the term ''islam'' or ''muslims'' in connection with resistance,violence and etc,
You will find ''RADICAL MUSLIMS,MUSLIM REBELS,MUSLIM MILITIA'' n etc but you can not find it to people like LRA termed as ''CHRISTIAN REBELS''
IT IS CRYSTAL CLEAR THAT THERE IS TAINT IN THE MOTIVE,PEOPLE HAVE TO BE FAIR IN PERCEPTIONS..!!
Na uhuru huo huo uliotumia kwa mzee Mohamed Said kutomuheshimu tumia pia kwa wazazi wako kutokuwaheshimu!Hiyo heshima mpe wewe, mie simheshimu hata chembe, nimetumia uhuru huohuo wa kutoa maoni unaou-refer hapa
Kiroba at work!haya wakuu zawadi hiyo mkijilipua!
Acha ujanja ujanja jibu swali ni "common sense"auni sensi ya komoni.Zipo kwe sayansi na kazi ninazofanya, sio hizi hekaya za senile dementia huku mashahidi karibia wote wa aliyoaandika wakiwa wameshakufa kwahiyo hakuna wa kumchallenge
at leas ninachoandika kinaweza kuwa challenged
Hii Speed 120 hadi kwenye kona tunayokwenda nayo ni kali sana,
Hebu twende pole pole kidgo,
Huu ni mjadala,na suala linalozungumziwa hapa ni historia ya nchi hii na namna mashujaa wake wanavokumbukwa,
Ukoloni wakati unaingia uliikuta Tanzania ni nchi yenye watu na iman zao,za dini na kimila na utamaduni,
Miongon mwa Agents wa colonialism tunakumbuka walikuwapo missionaries,
Pindi missionaries wanafika huku kwetu tayar walishakuta watu na iman zao mbali mbali,
Hatusemi kwamba kipindi hicho taifa hili lilikuwa ni dola ya kiislam la hasha,lilikua ni dola la watu wenye iman mbali mbali lakin walioish kwa aman na upendo,history inasema ivo,
Sasa hoja iko hivi,ngoja mimi nikufafanulie vyema uielewa Mwanakijiji,,
Hoja ni hii hapa:
Wakati wakoloni wanaingia kwenye ardhi zetu kulikua na harakati za jamii ya watu mbali mbali kuupinga ukolon huo kwa vipindi tofaut tofauti,watu wenye iman za dini,watu wenye iman za kimila na kiafrika na kadhalika,
Wakati ukoloni unaingia ndan ya ardhi hii kulikuwapo waislam kama wana jamii wa taifa hili,hawa nao kwa wakati na nafas zao walipigana na ukoloni kwa namna mbali mbali,na hawakupigana ili waje kusimamisha dola ya kiislam bali walipigana kupinga uovu huo wa ukoloni na madhila yake,
Sasa kwanin wale mashujaa waliopigania nchi hii na waliopigana kuutomeza ukoloni kwa ngao ya utaifa wafutwe au washindwe kuenziwa kama mashujaa wengine?
Au kwa kuwa wao wameonekana kuwa walikuwa ni waumin wa iman flan tuseme ni waislam?
Badala yake baadhi tuh wamekuja kupewa coverage na kuonekana kama hao ni ma-heroes wa taifa hali ya kuwa uhalisia hauko ivo,je vizaz vijavyo vitakuja kusoma historia ya namna gani ya taifa lao?
Kwan tunajua kila taifa lina historia yake,na hapa tunawekana sawa kuhusu uhalisia wa historia ya taifa letu.hatupiganii uislam wala hatupiganii ukristo,wala hatuweki hisia,,,
Mbona sijaona mahala katika uchambuz wa Moh Said alipoelezea kwamba harakati za wale wazee zilikuwa ni kuweka uislam ndan ya taifa hili?
Ila ameeleza kwamba asilimia kubwa ya wale wazee ambao walikuwa washirika wa nyerere na watu wengine walikuwa waislam,sasa kwanin historia ikawafuta na kuwapuuza?imefanya hivyo kwa kuwa wao ni waislam?
Hapo ndipo kwenye hoja kuu,
Hoja sio histohisia,wala sio uchochez na ***** *****,sema mara nyingi ukweli huwa unakuwa mchungu au unakuwa ni kitu kigeni machoni mwa wengi,lakin uzuri zaid mwandish kaweka rejea mbali mbali hapo waweze kuzipitia na kujionea.
That is u'r opinion..,to me is relevant,who are u to judge my statement,I do repeat wait your nation to be born but not this1 you bloodsucker

