Sio wamekaa kimya wamekuona wewe ni -------- na unaandika utumbo wewe ni kiazi.huoni wenzako wako kimya? Mtume Muhammad alisema yeye ndo atatoa bikra ya Maria peponi wakati ninyi mko na mabikra 72. Dah uislam . . . . . . . !
Sheikh Mohammed Said,
Asalaam Alaykum.
Nakutumia bayana hii adimu kukuamkua tu kiduchu.
Nakusihi Al Akhiy,tafadhali wala sijitie tafrani na wahka wa roho ati kumjibu huyo karagosi Nyakageni, asojua nidhamu ya kitaaluma.
Hapa jamvini hajatokea mwenye hata thuluthi ya uyajuayo na karima ya ulojaaliwa nayo.
Kama uonavyo mpaka sasa wala hawana hoja yoyote yenye kungia akilini kitaaluma,zaidi ya tashtit,chuki,hasada,kebehi dhidi yako binafsi,Waislamu na dini yetu tukufu!?
Nakhis wengi wao bado wana hang-over ya ile minyambulisho ulowapa na hadhara ilowakumba kwenye ule mnakasha ulokwisha/ulofungwa(tena baada ya wao wenyewe kuinua makono juu,kulalama na kulazimishwa ati ufungwe!)
We kaa utulizane,huku kipata zako faluda,chai ya zahtari,pilipili-doria kimalizia na mikate yako ya chila...tuwama kiwasoma chuki na mashaufu yao yaso mipaka wala tahayuri...siwajibu asilan.
Manyakanga wao wenye kuwamudu mbona wamo humu humu kama uonavyo;akina Maalim Chamviga,Shariff Ritz,Dr. Kahtaan,Ustadh Al Tayeb,Mwinyi Mbokaleo,Ulamaa Ally Kombo, Hajat Faizafoxy,Alhaj Kikwajuni One,Al Akhiy Boko Haram,Ustaadh Sideeq,Chief Elungata,Prof.Crabat,Al Murid-The Big Show,Mufti Barubaru na wengineo lukuki...wala shaka sikungie Al Sahib.
Insha Allah Mola akuzidishie takrima ya umri ulo mwema,sabra na kukulipa fadhila zako kwa yoote.
Nasi tuhapa kwa utuvu, kuzidi pata hii Ilm yako iso shaka.
Jazaak Allahu Khairu!
Ahsanta sana.

Naam,
Sote hapa tunakemea vitendo vya wale wanaotumia uislam kwa ngao ya kufanyia harakati zao zinazofahamika,
Alshabaab,alqaeda,boko haram na kadhalika wengi wao wanafahamika nin chanzo cha migogoro yao,
Lakin kila siku utaskia namna ambavyo BBC & CNN walivyowabatiza na kuwaongezea jina mbele kama 'MUSLIM MILITIA,MUSLIM REBELS,MUSLIM TERRORIST..!'MUSLIM GUNMNE n etc,
Huku mtu kama Joseph kony na LRA akifanya mambo yanayoshahabiana kama hayo wala hatuskii media zikimbatiza na majina kama CHRISTIAN REBELS,AU CHRISTIAN MILITIA,AU CHRISTIAN GUNMEN n etc,
Double standard ya aina yake hiyo,wanasema sana,tukisema sisi wanasema tuna gubu na chuki za kidini,
Basi tukiwaambia tujadili mada iliyopo kwa facts na staha nalo hawaafiki,yan ili muradi basi tuh..!
Tuna kazi kubwa kweli kweli
Jina lake ni nani??
MKANYAGENI??
LOL..
HAYA,TUMESKIA...
Mkuu THE BIG SHOW.
Kimsingi nakubaliana na hoja yako kuwa matendo ya akina Al-Shabab,Boko Haram et al ni matendo ya kulaani kwa nguvu zeti zote.
Nafirki watu wengi jumlisha na hao akina CNN & BBC wana waita majina kama MUSILM MILITIA, MUSILM GUN MEN n.k ni kwa sababu Duniani hapajatokea maandamano ya Waislamu kukemea tabia hizi kuhusishwa na Dini ya Kiislam.
Kama mwana habari akaweka picha au katuni ya kumkashifu mtume Muhamad/Mohamed Waislam karibia Dunia nzima wataingia mtaani kupinga kitendo hicho kwa nguvu amabayo inaweza kuchukua maisha ya watu hata wasiohusika na kashifa hiyo ya mwanahabari. Tumeona sehemu mbalimbali hayo yakitokea.
Sasa kama wanegeandamana barabarani kupinga matendo ya Al-shababy,Al-qaeda n.k kwa nguvu ile ile wanyaondamana pindi mtume Muhamad/Mohamed anapokashifiwa basi hayo majina ya MUSILM MILITIA n.k yasingekuwapo. Lakini Osama na Al-Qaeda pindi alipouwa huko Pakstan, Waislam Pakstani waliandamana kupinga kitendo cha Osama kuuwawa.
LRA sio Wakristo na hata kama wangekuwa hivyo bado wanapigwa vita na Wakristo, hakuna Mkristo yeyote alitoka hadhari akasema LRA wanatetea maslahi ya Wakristo hiyo tuwakubali. Pia hao LRA wanaua Wakristo tofauti na ilivyo kwa Al-shabab waliokuwa wakijaribu kwa uwezo wao kutowaua Waislam.
Kimsingi sio mshabiki sana wa mambo ya hizi dini za kigeni, lakini pia kwanini historia anayoandika Mohamed Said inaishia kuleta ubishani kati ya Wakristo na Waislamu?? Je akina Oscar Kambona waliotofautina na Mwalm Nyerere nao ni Waislamu??? Je Christopher Kasanga Tumbo naye ni Muislam?? Je Edwin Mtei, Mwijage, n.k ni Waislamu??? kwa nini tunahusisha na UDINI??.
Mwisho Nyerere kama Binadamu mwingine ana mazuri yake na mabaya yake pia, binafsi bado naamini Tanzania haijapata raisi aliyekuwa na uwezo kama Nyerere hadi leo, sijui badae. Nyerere is still in high level

Akhsante kaka kwa mchango wako. Kimsingi uislamu ni dini iliyo systematic katika mafunzo yake na pia zimewekwa njia za kuifahamu dini ya uislamu. Hakuna nafasi ya mtu binafsi kuingiza ufahamu wake ktk dini hii unaopingana na wale waja wema waliotangulia(maswahaba r.a na waliowafuatia wao kwa wema mpaka siku ya mwisho). Kwahiyo hakuna njia yeyote muislamu au asiyekuwa muislamu anaweza kuleta ufahamu wake utakaopelelea upotoshaji wa uislamu. Samahani kwa kukuhubiri dini. Matendo ya makundi kama alshabab, Boko haram, alqaida n.k yanayojinasibisha/kunasibishwa na uislamu kiuhalisia yako mbali na uislamu. Tatizo ni kuwa propaganda imeshatengenezwa kwa makusudi na dunia kuhakikisha sura nzuri ya uislamu inaharibika kwa kuhusisha matukio ya kihalifu yanayofanywa na waislamu kuwa ni kutokana mafunzo yatolewa na dini. Lakini pia waislamu wenyewe kutokana na madhila wanayokumbana nayo kutoka kwa tawala mbalimbali duniani, inapotokea matatizo yanawapata wadhulumu wao, lazima nao wafurahie kulingana na yale yanayowasibu kutoka kwa wadhulumu hao. Chukulia mfano wewe unafiwa na mtoto wako kipenzi labda kwa ugonjwa wa malaria na jirani yako akawa anafurahia msiba wako je akipatwa na tatizo na wewe kama subira huna utafanyaje? Waislamu wanaandamana kila kukicha duniani na kuonyesha kutokubaliana na matendo mengi ya dhulma dhidi yao na hata wenzao wa dini nyingine lakini ni nani wa kuwasikiliza? Nani wa kuyapa airtime matukio yale wayafanyayo waislamu? Juzi waislamu walizuia makanisa yasichomwe kule Misri, nani akiwemo Cnn,BBC na wengineo waliyoyapa kipaumbele matukio yale? Kwahiyo utaona chuki, dhulma na propaganda dhidi ya uislamu na waislamu ndio matokeo ya matatizo haya. Na huu ni mpango wala hayatokei kwabahati mbaya. Dunia itakuwa salama ukiwepo uadilifu na ukikosekana kamwe tusitegemee haya kuisha.
Al akhy huu msumari wa kupaulia ulioushusha hapa huyu mkanyageni "khanatha" angetulia apate haya maalumati lakini wapi khanatha ni khanatha tuOne of the great things about forums like this-Jf is an opportunity talking to loads of people;not all of whom I would like to meet in normal life or agree on every issue...but it's just better to develop kind of understanding.
Your statement/s are so ambiguous and I'm struggling to make any sense out of it...I'm not even sure if you really know what you are talking about!?
There has ben a change/shift in the way in which Muslims in this country view their role...which is a great thing!
Our society as a whole, now pay more attention to historical facts,events and records;whether are written by Sheikh Mohammed Said or other Scholars/Historians than they do to the government sanctioned -"official history/story".
We need more imaginative Scholars/Historians like Sheikh Mohammed Said,not government sanctioned policy wonks or some wannabe politicians/strategists to educate,redraw,reclaim our history and dignity.
Understandbly,we witness a lot of anger and suspicion about Sheikh Mohammed Said's work/writtings from the likes of you.
Only the completely brainwashed idiot,ignorant and self-hating Muslim could deal with the history of our Nation(marginalisation,allienation and fear against Muslims/Islam) without emotional pain!
The struggle of Muslims is the struggle of all peace loving people in our country who were also pathologically oppressed by Nyerere's regime or those who are still suffering like us from his legacy.
Nyerere never brought any peace,progress,prosperity,democracy,freedom of speech,not even freedom of movement within our country was allowed during his vicious regime and above all when he decided that it was time for him to artificially step down,he left our country stinking rotten and broke!
In that case,if you ask any clear minded person if Nyerere was any good!?...The answer is no,I mean a big fat NO!
Your Nyerere aka "Mwalimu",never,never did any good to my people...and I'm gonna knock your bloody skull so hard till you get the message!!
It's a well known fact and on record now that majority of Muslims had to endure and suffered many forms of oppresion,suppression, marginalisation in socio-economic mainstream as well as many other unimaginable/inhumane conditions.
Considering all their sacrifices, understanding,kindness personally to Nyerere during his pre-independence troubled life and their close working relationship with him...no doubt Muslims helped Nyerere immensely to escalate to more popular and more recognised political platform and eventually took him into a seat a of power- However,Muslims never did and don't seek any special treatment or favours.
Only we ask is just our fair proportion of "Uhuru cake";equal opportunities in socio-economic mobility,fair representation in all institutions and strategic area within state organs/departments,fair share in development and employment skills,fair share on developments/infrastructures in all majority Muslims areas just to mention the few.
I'm acute aware that during Nyerere's regime cosmetics/artificial measures,changes were taken and put in place to adjust/replace imbalances from unfair structure/system inherited from our colonial masters...but,but to the dismay of many Muslims and other peace loving people in our country,measures were not only disguise and temporary but never sufficiently/effectively implemented or excuted,instead more Muslims got oppressed,suppressed,allienated,marginalised and terrorised.
At the current situation and the global climate/events;it's threatening our National security and stability to create young Muslims who are not able to intergrate in the wider society,feel isolated,not involved in any meaningful developing skills and living in poverty stricken areas/families.
Among other things; the education system/complex need to set-up changes/adjustmets to encourage and ensure it appeal to majority of Muslims or others with no faiths.
Our government with the help of politicians need first and foremost to listen closely and attentively,then put in place constructive and meaningful measures(must be a mechanism in place to support and supervise effective implementation) to eradicate any form of injustices and imbalances which currently are felt by its majority of Muslim population.
After all this Nation was founded and sacrificed by Tanganyikans/Zanzibaris from all walks of life,faiths and belong to us all!
Place the truth on your heart or on your head if you want it to work. It serves no purpose under your foot...that's called suppression.
Now,do you have any comment/s to contribute to the Topic/paper as articulated by Sheikh Mohammed Said!?
Othewise,just remain as a dutifully reader/observer like many others!
Ahsanta.
Eiwaa! Swadakta ya akhi lkareem!
Walayuzidu llahu dhwaalimina illa khasara!
Wa hadha Nyakageni ismuhu ABU JAHIL wahuwa AKBAR MINA DHAALIMIN!
Baraka llahu fiik ya akhi!
Al akhy huu msumari wa kupaulia ulioushusha hapa huyu mkanyageni "khanatha" angetulia apate haya maalumati lakini wapi khanatha ni khanatha tu
someni hata 'aya za mashetani' mi nimetakaswa kwa damu ya YESU! Hamniwezi
Hawa wachungwaji wana hasara sana!
Yaani Baba Paroko anawadanganya kondoo wake kwa kuwapa ule mvinyo wa Dodoma "Dodoma Wine" kisha anawanywesha kwa kuwa ambia hii ndio damu ya Yesu Inueni Mioyo nao utawasikia tumeinua kwa Bwana huku wanakunywa tehe tehe tehe!
Baada ya hapo ni kelele tu kanisani kwa kwenda mbele baada ya kulewa mvinyo! Tehe tehe tehe!
LEO uko bar gani wewe Mkanyageni? Maana mmeshazoea toka wadogo kunywa mvinyo "chimpumu" tehe tehe tehe!
Kitimoto pub huku Ununio, jijini Dar, nakula nguruwe mtamu kwa! Mi nitawapasha ukweli ili mbaki na kitabu chenu cha Koran na muache Biblia yetu