TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)

TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)

Status
Not open for further replies.
Good advice, tatizo hii mada tayari imeshagawa watu kidini, kwa kusoma tu..... Inakua ngumu sana kuidifendi utakavyo

huyu babu anaonekana alikua na akili ila akaitumia vibaya sasa kimemuwakia anamalizia hasira zake kwenye kalamu kupalilia mbegu za kusambaratisha watu.... Sumu mbaya sana

Ukimsoma kwa mtazamo mwema utaona kuwa anajaribu kuonesha makosa yaliofanyika na yanayofanyika na kujuwa makosa ndio njia pekee ya kutatua makosa. Kama hatujui makosa yetu ni wapi utayatatua?

Kama mnaona kuna mahala kakosea mnaweza kuleta upande wa pili wa shillingi, huo ndio usomi, usomi sio kusema "ana makosa" na makosa huyaoneshi na usahihi huuoneshi. Fikiri!

Hoja hujibiwa kwa hoja na si kubeza bila hoja.
 
huwa mnawaza ujinga sana nyie waislam! Mnawaza kulinganisha dini mbili tofauti, kazi kusoma Biblia na kutafsiri anticlockwise! Si mbaki na kitabu chenu, Bible is for Mormons, Judaism and Christianity. Bakini na Qur'an na Hadith zenu! Alaaaa

Wewe nimekwambia fungua nyuzi, hii sio hoja ya dini. Unanini wewe? Soma, Mohamed Said kuna sehemu kaitaja biblia hapo?
 
why should I do that to a foxy like Faiza? A woman humiliated by her own religion? A woman highly descriminated by what she believes. Poor you

Umeshindwa kufungua nyuzi nije kukupa za uso, uanamme umekushinda. Unanchekesha!
 
Ukimsoma kwa mtazamo mwema utaona kuwa anajaribu kuonesha makosa yaliofanyika na yanayofanyika na kujuwa makosa ndio njia pekee ya kutatua makosa. Kama hatujui makosa yetu ni wapi utayatatua?

Kama mnaona kuna mahala kakosea mnaweza kuleta upande wa pili wa shillingi, huo ndio usomi, usomi sio kusema "ana makosa" na makosa huyaoneshi na usahihi huuoneshi. Fikiri!

Hoja hujibiwa kwa hoja na si kubeza bila hoja.
nimekusoma mama, ila sasa hata vitu obvious navyo tuanze kuvuwekea dibaji?

Sorry kama nimekukwaza
 
Asante kwa ufafanuzi,lakini mkuu huoni mzee Said amebase kuelezea historia ya wapigania uhuru wa upande mmoja wa shilling kiimani?mimi nadhani ingekuwa vema angebalance mjadala ungekuwa mzuri kuliko huu ambao watu wanachangia kwa misimamo ya kidini zaidi kuliko uhalisia wa mada yenyewe

Ni kweli kabisa,
Nakubaliana nawewe,
Kwa kias kikubwa Moh Said amebase kwenye upande mmoja wa kuwaelezea watu wake,na kwa kias pia wapo ambao amewaelezea kwa kina ambao pia si watu wa iman yake kama unavosema,

Kitu kikubwa hapa cha kunote ni kwamba yeye kafanya utafit na kuelezea historia ya wale wote waliofifishwa katika maandiko mengi yaliyowahi kupita huko nyuma kuhusu wanamapinduz na wapigania uhuru wa taifa hili,

Ni haki ya kila mwandishi kuzungumza kile anachokifaham kwa faida ya jamii,
Kwahiyo hiki alichokiandika yeye ndicho anachokifaham kwa undan na uzuri wake kaweka na rejea mbali mbali,
Kupitia mjadala kama huu tunaweza muuliza maswali kwa staha na kujua undan ukoje,lakin pia yeye huwa anakiri kuwa kaandika kwa wale anaowafaham na anaoona kwamba historia imewaacha,
Shukran
 
kwani uhuru umepiganiwa na Dar pekee? Waislam, kama kweli, walipigania for what reasons? What about Mara, Kagera, Mwanza, Singida, Shinyanga, Geita, Simiyu, Mbeya, Arusha, Manyara etc? Evil mind

Nyakageni,

Msome Ali Migeyo (G. Mutahaba, Portrait of a Nationalist: The Life of Ali Migeyo, East African Publishing House, 1969) utapata taarifa za Kagera. Utapata habari za akina Abdallah Rutabanzibwa, Suedi Kagasheki na wengineo. Mwanza msome Saadan Abdu Kandoro ''Mwito wa Uhuru'' utawakuta akina Bomani na Shinyanga, Geita na Mwanza nk.

Ama taarifa za Manyara sikupata kitu ila jirani msome Iliffe A Modern History of Tanganyika, Cambridge University Press, London 1977 pg. 502 akimnukuu barua ya Sykes kwenda kwa Sablak 8 December 1952 vilevile msome Japhet Kirilo’s papers TNA na Kirilo na Seaton katika The Meru Land Case hapa unakusanya yote ya Usa River na Arusha yake.

Singida soma kitabu changu utamkuta Hamisi Taratibu na siasa za Singida 1955 na Dodoma yake.

Ukitaka mjadala wa heshima karibu tutaelezana bila kutukanana na sote tutaburudika.
 
Mapambano ya uhuru yalianza toka zamani kabla hata ya Wajerumani kutawala tanganyika ila mleta uzi hilo halimo.Wapo wapigania uhuru ambao hawakua na dini hizi za kuletwa wao wapo kimya.Usukumani,Uchagani,Unyanyembe, kulikua na movement nyingi na katika historia ya Tanyangika kama wamesaulika kabisa.

Kama ni kuandikwa upya historia ya Uhuru wa Tanganyika chimbuko lianzie enzi ya utawala wa waarabu,Wajerumani mpaka waingereza na makundi yote ya Tanganyika yawepo bila kujali imani zao.

true mkuu,lakini kwa upande mwingine wazungu walituonea huruma wakaaamua kutupa uhuru wangependa wa ngetawala adi wachoke
 
Nyakageni,

Msome Ali Migeyo (G. Mutahaba, Portrait of a Nationalist: The Life of Ali Migeyo, East African Publishing House, 1969) utapata taarifa za Kagera. Utapata habari za akina Abdallah Rutabanzibwa, Suedi Kagasheki na wengineo. Mwanza msome Saadan Abdu Kandoro ''Mwito wa Uhuru'' utawakuta akina Bomani na Shinyanga, Geita na Mwanza nk.

Ama taarifa za Manyara sikupata kitu ila jirani msome Iliffe A Modern History of Tanganyika, Cambridge University Press, London 1977 pg. 502 akimnukuu barua ya Sykes kwenda kwa Sablak 8 December 1952 vilevile msome Japhet Kirilo's papers TNA na Kirilo na Seaton katika The Meru Land Case hapa unakusanya yote ya Usa River na Arusha yake.

Singida soma kitabu changu utamkuta Hamisi Taratibu na siasa za Singida 1955 na Dodoma yake.

Ukitaka mjadala wa heshima karibu tutaelezana bila kutukanana na sote tutaburudika.

Sheikh Mohammed,

Mimi ninaendelea kukulaumu kwa sababu hukuifanyia kazi assignment yangu.

Tafadhali ipatie muda uifikirie na kuipangia utekelezaji.
 
Prof M.Said..... umesomeka vizuri. tutaiandika historia vizuri UPYA... haina JINSI!
 
Sheikh Mohammed,

Mimi ninaendelea kukulaumu kwa sababu hukuifanyia kazi assignment yangu.

Tafadhali ipatie muda uifikirie na kuipangia utekelezaji.

ZeMarcopolo,
Hebu nikumbushe ndugu yangu.

Nimesahau kazi ulonipa.
 
Prof M.Said..... umesomeka vizuri. tutaiandika historia vizuri UPYA... haina JINSI!

Mishalejuu,
Hakika hapana njia ila kukubali kuwa historia hiyo rasmi hamna kitu
ukweli haukutafitiwa.

Hebu soma kipande hiki kifupi kuhusu kuasisiwa kwa TANU:

''Abdulwahid Sykes had for many years been trying in vain to convince the powerful Chief David Kidaha Makwaia of Shinyanga to join TAA and be elected president and thereafter to form TANU. Chief Kidaha had made a mark in the politics of colonial Tanganyika in the Legislative Council. It was obvious to many that Chief Kidaha would lead the country as its first Prime Minister in free Tanganyika. Unfortunately to Chief Kidaha while he was seemingly ready to lead Africans of Tanganyika but he thought that leadership should come to him through a political process initiated by the British and not through the political movement by the TAA under the leadership of ''agitators'' like Abdulwahid Sykes, Hamza Mwapachu and Sheikh Hassan bin Amir the members of TAA Political Subcommittee. [1] Chief Kidaha politely declined the offer. In 1953 when Abdulwahid gave this offer to Nyerere he accepted, was elected TAA president in June 1953 [2] and soon TANU was formed in July 1954. Despite of this Abdulwahid and Ally Sykes including their father Kleist Sykes and other patriots are not mentioned in the history of TANU.''[3]

Sasa fananisha hayo hapo juu na historia ya TANU kama inavyojulikana utaona tatizo jinsi lilivyo kubwa na zito. Lazima utajiuliza huu uasisi wa TANU unaanzia wapi?

Unaanza mwaka 1929 na Kleist Sykes, 1950 na Abdu Sykes au 1954 na Julius Nyerere?
Yapo mengi ya kujiuliza.

[1] In 1950s Abdulwahid's office at Kariakoo Market where he was working as Market Master and Mwapachu's office at Ilala Welfare Centre where he was working as Assistant Welfare Officer were the two centres of the robust African politics in Dar es Salaam.

[2] See Tanganyika Standard 19[SUP]th[/SUP] June 1953 TAA executive committee: Julius Nyerere, President; Abdulwahid Sykes, Vice-President; J.P. Kasella Bantu, General Secretary; Alexander M. Tobias and Waziri Dossa Aziz, Joint Minuting Secretary; John Rupia, Treasurer and Ally K. Sykes as Assistant Treasurer. Committee members were Dr Michael Lugazia, Hamisi Diwani, Tewa Said, Denis Phombeah, Z. James, Dome Okochi, C. Ongalo and Patrick Aoko.

[3] See ''Historia ya TANU 1954 – 1977,'' Kivukoni Ideological College, Dar es Salaam 1981. In celebrating 50 years of independence in 2011 Abdulwahid and Ally Sykes the two brothers were honoured by President Kikwete as patriots who founded TANU and contributed in the struggle for independence.
 
ZeMarcopolo,
Hebu nikumbushe ndugu yangu.

Nimesahau kazi ulonipa.

Nilisema kuwa hii elimu unayotoa hapa JF kuna watu wengi wako willing kulipia waipate.
Ni some kind of history tourism ambayo nilisuggest kuwa uanzishe darasa la historia kwa watu wazim ikiwa ni pamoja na kuwatembeza kwenye nyumba na mitaa muhimu. Kozi inaweza kuwa ya siku mbili au tatu kutokana na hali inavyoruhusu na ada yake inaweza kuwa sh. elfu 50 mpaka laki 2. Asilimia ndogo ya pesa unazokusanya unpeleka kwenye mchango wa kutunza historia kwa njia utakayoona inafaa na pesa nyingine ni ya kujikimu wewe kama mwalimui.

Mimi ninatambua jitihada zako kwa dhati kabisa na ninajua wanaopinga jitihada zako wengi wao wanasukumwa na chuki.

Wewe umejikita kwenye kutafiti michango ya waumini wa kiislamu. Ni vema wajitokeze wengine wa kutafiti michango ya waumini wa dini nyingine. Anaweza pia kujitokeza mtu akajikita kwenye kutafiti mchango wa kabila fulani. Hiyo sio mbaya ni specialization. Na haifai kusema kwanini umespecialize kwenye topic hiyo, bsi fanya na topic hii,kwa sababu wasomi wote wanajua kuwa specialisation ndio chanzo cha excellence.

Kwahiyo Yericko badala ya kutumia chuki kukushambulia wewe angetumia jitihada zaidi kutafiti jamii nyingine na mchango wake kwenye Uhuru. Hapo tungepata taarifa nyingine nyingi ambazo hazijaandikwa.

Kwahiyo, nakupongeza kwa kuspecialize kwenye utafiti wa mchango wa sehemu hiyo muhimu ya jamii yetu na ninaomba uanzishe hilo darasa/utalii. Hivi leo hii mtalii akija Dar es Salaam anaonyeshwa nini zaidi ya Museum? Wanafunzi wako watakuwa chachu ya kueleza jamii utajiri wa historia ya jiji la Dar es Salaam.
 
Ahsante sana.

Nipe muda wa kufikiri.
 
Ni kweli kabisa,
Nakubaliana nawewe,
Kwa kias kikubwa Moh Said amebase kwenye upande mmoja wa kuwaelezea watu wake,na kwa kias pia wapo ambao amewaelezea kwa kina ambao pia si watu wa iman yake kama unavosema,

Kitu kikubwa hapa cha kunote ni kwamba yeye kafanya utafit na kuelezea historia ya wale wote waliofifishwa katika maandiko mengi yaliyowahi kupita huko nyuma kuhusu wanamapinduz na wapigania uhuru wa taifa hili,

Ni haki ya kila mwandishi kuzungumza kile anachokifaham kwa faida ya jamii,
Kwahiyo hiki alichokiandika yeye ndicho anachokifaham kwa undan na uzuri wake kaweka na rejea mbali mbali,
Kupitia mjadala kama huu tunaweza muuliza maswali kwa staha na kujua undan ukoje,lakin pia yeye huwa anakiri kuwa kaandika kwa wale anaowafaham na anaoona kwamba historia imewaacha,
Shukran
Asante, nawatakia mjadala mwema.
 
mnajifanya mnawasilisha mada kumbe mna ajenda zenu kuhusu duka la Wayahudi la WestGate.
haya endeleeni kula qahwa mmefanikiwa kwa 100%

Dah nakukubaligi kwa hoja zako lakini kwa hili na kupinga mambo ya duka la wayahudi la WestGate yametokea wapi humu?
 
Am sure dat u n mohamed u share the same things including supporting al shabab n uamsho. Shame on u

Please explain why mention Al Shabab and Uamsho!?...Isn't that divisive!?

People like you won't accept the truth!

I feel sorry for Jile79...poor thing has been mislead. The truth will set you free someday!

Ahsanta.
 
mnajifanya mnawasilisha mada kumbe mna ajenda zenu kuhusu duka la Wayahudi la WestGate.
haya endeleeni kula qahwa mmefanikiwa kwa 100%

Your evidence/statement is not credible and you are guilty of an egregious breach of intellectual and meaningful debate/discussion.

Ahsanta.
 
kula tano kijana! Hawa jamaa wa Mohamed Said wana evil mind!

You bullying Idiot still here!?

You are full of shit,hatred and Islamophobia.

I don't see any constructive/meaningful contribution from you...There's no way to justify your ignorant,no intellect at all!

Ahsanta.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom