TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)

TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)

Status
Not open for further replies.
Nyakageni: Akili ya Kawaida hata ambayo haijaenda shule ikisoma andiko la MS itauona uhalisia wa mantiki, ukiangalia sana kuna mahala MS amemlinda hata huyo Mzee Nyerere Julius pale anapochambua juu ya Zanzibar,
Kuna ukweli ndani yake, ninawaza kama anaweza kuliweka katika Kiswahili andiko hili na lichapwe katika magazeti walau wengi Watanzania wajue watokako. Hakika MS ni mwanafikra Mamboleo wetu. Anatueleza Misingi ya Taifa letu, ameweza kwa nafasi yake. Jambo ambalo wengi wasomi wameshindwa, Namuomba Mwenyezi Mungu anijalie japo kumuona Mtu Mweledi, Mjuzi Na Mzalendo wa KWELI

kwani uhuru umepiganiwa na Dar pekee? Waislam, kama kweli, walipigania for what reasons? What about Mara, Kagera, Mwanza, Singida, Shinyanga, Geita, Simiyu, Mbeya, Arusha, Manyara etc? Evil mind
 
wherever! anger for what? Mohamed Said? read my lips; I know my history my heroes and more tho that I never categorized my heroes based on their religious faith! Your master is working hard to rewrite our history but he will never succeed; history is based on facts not emotions and lies; is there anything concrete to discuss other than UDINI? Read comments from Mohamed Said followers; I am more than that; your master has nothing new the same old ---- that is what he got! he is so pathetic he should seek help from true historians! Nyerere mean a lot to Tanzanians we are not worshiping him we respect him for what he did for our country; you suck or spit it choice is yours!!!

kula tano kijana! Hawa jamaa wa Mohamed Said wana evil mind!
 
Last edited by a moderator:
kwani uhuru umepiganiwa na Dar pekee? Waislam, kama kweli, walipigania for what reasons? What about Mara, Kagera, Mwanza, Singida, Shinyanga, Geita, Simiyu, Mbeya, Arusha, Manyara etc? Evil mind

Wewe hata unachokipinga hukijui ni nini. Ilimradi umejazwa ubaguzi wa ujinga na unakusumbua.
 
Sheikh Mohamed Said, usivunjike moyo na matusi na kejeli unazipata kutoka kwa baadhi ya wenzetu, binadamu tupo tofauti, endelea kutoa darsa tufyonze Ilm.

Al akhy Spike Lee za siku ndugu yangu karibu ndugu,ushauri wako ni mzuri na wengine wako kwa ajili ya kuharibu huu uzi kwa chuki zao binafsi lakini tumesha wazoa hawatupi tabu.
ahsanta.
 
Last edited by a moderator:
Naam Spike Lee,
Za siku nyingi..!mda mrefu kidogo tumepotezana,
Tandika jamvi tupate mawili matatu kutoka kwa ndug yetu Moh Said.
Ndugu yangu THE BIG SHOW nipo kaka tumejongea jamvini kufyonza Ilm, TANZANIA-A NATION WITHOUT HEROES.
 
Al akhy Spike Lee za siku ndugu yangu karibu ndugu,ushauri wako ni mzuri na wengine wako kwa ajili ya kuharibu huu uzi kwa chuki zao binafsi lakini tumesha wazoa hawatupi tabu.
ahsanta.
Ndugu yangu Boko haram, habari za masiku, tumekutana tena ukumbini tunafyonza Ilm kaka.
 
Ndugu yangu THE BIG SHOW nipo kaka tumejongea jamvini kufyonza Ilm, TANZANIA-A NATION WITHOUT HEROES.

Khabari kubwa hii al akhiy,
nifikishie salam kwa ndug yangu boko haram hapo na dada yangu faiza foxy,
salam zao nyingi sana,waambie watulizane tunywe ghahawa na kashata huku tukimsoma mwalimu kwa khushui maridhawa kabisa...
 
Ndugu yangu Boko haram, habari za masiku, tumekutana tena ukumbini tunafyonza Ilm kaka.

Nipo mkuu namshukuru mungu kwa pumzi hizi za bure nimeisoma paper ya mzee MS ina Ilm kubwa sana na ukweli mtupu kwa wale wenye kujitambua na wenye akili zilizo kuwa salama kwasababu unaweza kuwa na akili lakini haziko salama kama ndugu zetu tunavyo waona.
Wao badala ya kujadili liloletwa wana mjadili mleta mada wanachuki mioyoni mwao.
 
That's the dumbest,most ignorant statement I've seen/heard in a few days!

How dare you be in a position to accuse Sheikh Mohammed Said of the very things that you are standing unbeknownst and gullible to the reality of the very things that has shape you during your entire life!?

As expected too,your argument/"research" is logically invalid on so many levels.

Consequently,I can't take your argument seriously as I'm pretty sure that you don't have credibility nor posses the intelllect which is paramount when dealing with that kind of work/research...I know you wouldn't be able even to substantiate,establish or even defend your own "facts"/methodology,statistics,resources etc.

Well,I respect your last statement though...but to suggest that Sheikh Mohammed Said is here to downplay Nyerere's role/legacy or extinguish him out of history,is out of authenticity!

Sheikh Mohammed Said is a reputable and well known Historian,Scholar,Author,Thinker and his descriptions/writtings are based upon historical records,manuscripts,thorough researches coupled with his family background and historical connection/s moulded with personal reflections.

So who the fact are you Mr!?...just some wannabe huh!?

I'm sorry if you don't like my honest but to be fair I don't like your primitive attitude and I hate your LIES!!

Ahsanta.

Am sure dat u n mohamed u share the same things including supporting al shabab n uamsho. Shame on u
 
Moh Said Tunaomba hii kama kuna uwezekano uipeleke kwenye magazeti yenye weledi ichapishwe ili watu wengi zaid waweze kujionea uhalisia na wapime wenyewe,

JF ni sehemu ndogo,watanzania walio wengi hawaifikii kwa urahis,

Na huko nashauri zipeleke makala zote kwenye magazeti yanayotumia lugha za kiswahili na kimombo,

Natanguliza shukran zangu za dhati..
mkuu BIG Sijajua hasa lengo la huyu mzee wetu,hivi lengo lake kubwa sisi watanzania tujifunze nini?
 
mkuu BIG Sijajua hasa lengo la huyu mzee wetu,hivi lengo lake kubwa sisi watanzania tujifunze nini?

Mkuu Sadick R,
Lengo ni kuijua historia yenye uhalisia,
Kujua nafasi ya kila Mtanzania alivochangia katika harakati za kumuondoa mkoloni ndan ya tafia hili,kila mmoja kwa nafas yake na kwa namna ambavyo alitumia juhudi zake,
Kuna watu hawafahamiki,na waliondolewa na kupuuzwa kwa makusudi katika historia ya taifa hili ili hali wamefanya juhudi na wana mchango mkubwa sana katika ukomboz wa taifa hili,
Sasa lengo la Moh Said ni kuweka historia sawa na kuelezea pia nafas za wale waliofutwa na kubezwa na historia ili wale tusiojua tujue kwa faida ya kizaz hiki na kinachokuja,

Pia tunajua waliopigania taifa hili ni wengi,zama mbali mbali,tokea enz za mjeruman na vita vya maji maji na kadhalika,

Mengi yashaandikwa,na yapo mengi yamesahaulika ama kuachwa,

Anachofanya yeye ni kuandika yale anayoyafaham yaliyoachwa either kwa makusudi au kwa bahati mbaya ili historia ikae sawa,

Na hajazuia kama kuna mtu anafaham historia za watu wengine ndan ya taifa hili waliosahaulika kuandikwa ili taifa pia liweze kujionea na kutunza kumbu kumbu hizo.

Shukran,
 
akili yako ya ajabu sana. Mada ya udini we unaona sawa tu? Wahi Milembe dada

[h=2]TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)[/h]
Jibu hoja zilizopo kwenye mada kama hauna. Kaa kimya.

Wewe ndio unaleta udini hapa kwa kuwa tu elimu yako ni finyu na hujui ulifanyalo, ubaguzi wa ujinga umekujaa.

Kama unataka tuongelee dini, fungua nyuzi nije kukupa za uso.

Kama mwanamme kweli fungua nyuzi.
 
[h=2]TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)[/h]
Jibu hoja zilizopo kwenye mada kama hauna. Kaa kimya.

Wewe ndio unaleta udini hapa kwa kuwa tu elimu yako ni finyu na hujui ulifanyalo, ubaguzi wa ujinga umekujaa.

Kama unataka tuongelee dini, fungua nyuzi nije kukupa za uso.

Kama mwanamme kweli fungua nyuzi.
Naona umempa ofa ya kufungua uzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom