TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)

TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)

Status
Not open for further replies.
nina majina mengi mno! Hata watanzania, muda huu niko Aziz Ally namsikiliza 'mwenzenu' aliyeokoka! Anasimulia jinsi sheikh Yahaya na wenzake walivyorusha majini kumwua Dr. Slaa akiwa bafuni! BTW siyo issue kwa sasa
[h=2]TANZANIA - A Nation without Heroes[/h]
 
Saa nyingine una akili! au ni kama kin'gamuzi cha startimes zina stuck mara zije.
Ni upeo wako mdogo tu kujua where i stand, sipendi udini, na sipendi divisive people hasa waliofeli kama mzee saidi, na wanaotumia failures zao kutugawa sisi wapenzi wa amani na brotherhood.....

nimekulia misingi muhimu ya mapatano na mtu yoyote divisive namdharau, inclduing mzee saidi

kuhusu uislamu, si dini ya chuki kama watu wanavyotaka iwe, ila ni few extremists ambao hata kwenye dini nyingine wapo ndio wanaoharibu
 
nina majina mengi mno! Hata watanzania, muda huu niko Aziz Ally namsikiliza 'mwenzenu' aliyeokoka! Anasimulia jinsi sheikh Yahaya na wenzake walivyorusha majini kumwua Dr. Slaa akiwa bafuni! BTW siyo issue kwa sasa

Dah! Washirikina utawajua tu. Huko kwenye dini yako mnafundishwa kuwa majini yanaua? Kumbe Slaa ni dhaifu kiasi pamoja na upadri wake yamemgonga?
 
Dah! Washirikina utawajua tu. Huko kwenye dini yako mnafundishwa kuwa majini yanaua? Kumbe Slaa ni dhaifu kiasi pamoja na upadri wake yamemgonga?

katika dini zote, uislam ndo una majini! Majini yanatumia Qur'an kaka. Haya mengine ni kazi ya sheikh alhaji Abdulrahman Kinana na sheikh Yahaya! Wapi sheikh Yahaya?
 
katika dini zote, uislam ndo una majini! Majini yanatumia Qur'an kaka. Haya mengine ni kazi ya sheikh alhaji Abdulrahman Kinana na sheikh Yahaya! Wapi sheikh Yahaya?

Andiko tafadhali!
Mi nnalo hapa linasema hivi:-

Spread dung on your face

Behold, I will corrupt your seed, and spread dung upon your faces,-even-the dung of your solemn feasts;- Malachi 2:3

Kumbe nyie mna tabia ya kupakana kinyesi usoni!

Teh teh teh teh!
 
Acha kutuongopea mchana kweupe, labda kama unamaanisha wanawabomoa kina Malcolm X (rejea kitabu tata cha Manning Marabale) na Assata Shakur (rejea tamko la kuendelea kumsaka kwa udi na uvumba); haya pinga na hii:

"The dedication of the Martin Luther King Jr. National Memorial on Sunday, October 16, 2011 added another impressive monument to the tourist trail in Washington. The site features a 30-foot statue of the late civil rights leader gazing out on the Tidal Basin. Following are some of the U.S. capital's other historic monuments" - Work completed on MLK memorial - CNN.com

I am not talking about orthodoxy, hagiographers and hangers on, you will find those in any society.

I am talking about the general trend of the population, the idea of heroism itself is being exposed as a fairy tale like simplification of complex personalities.

Name any major "hero" and you will find a humanizing side that questions if this entire hoopla of heroism is wort the paper it is printed on.

Idea ya "heroes" inaturudisha kule kwenye zama za "watu wachache wataongoza wengi", dunia inatoka huko sasa, kila mtu anataka kushiriki katika sote kuongozana.

Why would I need a hero while I know we are all human and fallible?

MLK was a philanderer, Malcolm X was a drug dealer and couldn't take care of his wife, the founding fathers were dishonest slaveowners who claimed all men are created equal.

Nyerere pretended to be a devout Catholic while he was being immersed in the depth of rituals of traditional religions, and he let his cronies get away with murder, and the list is endless.

Why should I care too much for heroes? When every last one of them has failed in a way or another?

Why put them on a pedestal? Apart from others that I can just find a thing or two, good and bad, to learn, without the hoopla and jingoism of heroism?

Do we still have time for that simplistic mindset?

Why the penchant for hagiographies?
 
haya matusi ndo sheikh kakufundisha? Sishangai hata Muhammad alidai baadhi ya aya kupewa na shetani (satanic verses)! Ha ha haaa

Nadhani kama unaongelea aya za mashetani basi huwezi kuzishinda hizi hapa:-

Flour, water, salt, dung

…I have given thee cow’s dung for man’s dung, and thou shalt prepare thy bread therewith.- Ezekiel 4:15

Bible was actually commanding that MAVI to be placed-inside-the bread.!!

Who knows? May be the bread would still taste okay! May be Nyakageni ameshawahi kula huu mkate wa bwana!

Teh teh teh!

Cure for constipation

My beloved put in his hand by the hole-of the door, and my bowels were moved for him.- Song of Solomon 5:4
Nyakageni Lost in translation?

More modern translations of this funny bible verse replace the word-bowels with-heart: “my heart was moved for him

.” The question remains, which hole are they talking about?

Teh teh teh teh! Kwi kwi kwi kwi!
Nyie watu mnaenda mahali pabaya sana!!

Wakuu Tayeb na Ritz hawa kina Nyakageni wanapeleka mikono mpaka kwenye milango ya uani! Na hii ni amri sio ombi!!

Sasa kuna aya za shetani kuliko hizi?
 
Last edited by a moderator:
Wanaukumbi,
Nimeweka hapa (attach) mada niliyowasilisha Nairobi kwenye ''Seminar on The Fiftieth Anniversary of the African Independences Marginalized, Forgotten, and Revived Political Actors'' iliyoandaliwa na IFRA French Institute for Research in Africa na BIEA British Institute in East Africa kuanzia tarehe 23rd and 24th September 2013.
yaani leo ndo nimeona unahangaikia postmortem ambazo hazitasaidia lolote, focus kwenye mambo ya mbele, ungekuwa na akili ungeongelea hata viongozi wa dini ya kikristo, umekazania waislam tuuuuu utafikiri mtoto, hii haikusaidii na hautafika popote,tutajuaje kama wewe hapa una interest gani?shame on you
 
Wewe acha uwongo mzee side alichambuliwa ngano zake akaishia kiwaambia kina nguruvi3 kuwa nao wakaandike vitabu

Kwa upeo wako umeona hivyo. siwezi kukulaumu.

Lakin kumbuka ungekuwa umekwenda skuli japo kidogo na kujua nini maana ya utafiti. Ungeweza kujua kuwa siku zote tafiti huwa inajibiwa kwa tafiti na sio mistari miwili katika JF.

Kumbuka kuwa Moh'd Said alikuwa ametoa paper ambayo ilikuwa tafiti yake ambayo sote alituwekea sote tujue yale yaliofichwa katika uhuru wa Tz.

sasa kilichotakiwa kwao ni kuandika kitabu ili kujibu tafiti yake na sio bla bla.

Kumbuka kuwa skuli ni mali sana . nakushauri ufanye jitihada kidogo usome ili ujue unaandika nini.

Pole sana
 
yaani leo ndo nimeona unahangaikia postmortem ambazo hazitasaidia lolote, focus kwenye mambo ya mbele, ungekuwa na akili ungeongelea hata viongozi wa dini ya kikristo, umekazania waislam tuuuuu utafikiri mtoto, hii haikusaidii na hautafika popote,tutajuaje kama wewe hapa una interest gani?shame on you

Sasa wewe kijana unamuawidhi mzee kuwa kama ataongelea viongozi wa kikristo basi atakuwa ni mtu mzima!
Yeye kuongelea uislamu na waislamu kawa mtoto!
Hivi vipimo vya kuwa ukristo ni utu uzima na uislamu ni utoto huwa mnavipata wapi!? Au pengo ndio kawafundisha hivi?
 
Barubaru
JF ni jukwaa la kuelemishana hatafutwi mshindi hapa; Mohamed Saidi anachoandika ni uzushi tu na ndio sababu anashindwa kutetea anachokiandika hata kujibu maswali unayomuuliza kutokana na kile alichokiandika yeye mwenyewe anashindwa; huyu bwana kumwita mwanahistori ni dhihaka kubwa sana sijawahi kukutana na mwanahistori wa aina yake; historia haiandikwi kwa hisia na dhana za mtu ni matukio halisi yaliyotokea hilo nalo mwanataaluma wewe unataka tukufundishe?

Angekuwa na swifa hizo unazompa angeweza kweli kualikwa na vyuo maarufu na vikubwa Duniyani kutoa mihadhwara.

Au wewe ujui hilo.

Pole sana . Tafuta na wewe nafasi uitwe kwenye vyuo vikuu maarufu duniyani ili nawe ukadanganye kama ni kitu rahisi.

Pole sana
 
Mzee Mohamed Said watu wengi humu wanajibu huu uzi wako kwa ushabiki hata hizo paper hawajazisoma kisa fulani kajibu hivi na mimi najibu hivi, lakini ndio tulivyo wa TZ kila kitu siasa tu!
 
Kwa upeo wako umeona hivyo. siwezi kukulaumu.

Lakin kumbuka ungekuwa umekwenda skuli japo kidogo na kujua nini maana ya utafiti. Ungeweza kujua kuwa siku zote tafiti huwa inajibiwa kwa tafiti na sio mistari miwili katika JF.

Kumbuka kuwa Moh'd Said alikuwa ametoa paper ambayo ilikuwa tafiti yake ambayo sote alituwekea sote tujue yale yaliofichwa katika uhuru wa Tz.

sasa kilichotakiwa kwao ni kuandika kitabu ili kujibu tafiti yake na sio bla bla.

Kumbuka kuwa skuli ni mali sana . nakushauri ufanye jitihada kidogo usome ili ujue unaandika nini.

Pole sana
Mkuu nimekusoma muereze aerewe huyu dogo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom