TANROADS Pwani huyu Mkandarasi wa hili daraja hapa Ruvu mmepataje? Tumekaa foleni kuanzia saa saba usiku hadi sasa

TANROADS Pwani huyu Mkandarasi wa hili daraja hapa Ruvu mmepataje? Tumekaa foleni kuanzia saa saba usiku hadi sasa

Huyu mkandarasi hapo Ni Kimeo na Mamlaka zimekaa kimya tu aisee, Rest in Peace Magufuli
 
Mkandarasi ni nani huku mjini naona kapewa Kings Builders jamaa niwasafie kwa kujua kuzungushia site zao mabati, mengine yanayofanyika wao wenyewe.
 
Back
Top Bottom