Eeh afu naona avatar zako zote mbili eti. Kwenye quoted post zako inaonekana ya robot, ukicomment kawaida anaonekana huyu mtu mpya
Hapo nimekuelewaNadhani unaona image zote mbili ile picha ya zamani bado ipo cached kwenye kifaa chako unachotumia kuperuzi JF. Ili utatue hilo tatizo inakubidi u-clear cache.
Hapo nimekuelewa
Unachojaribu kukisia kinakaribia ukweli si unajua unavyomtaka binti mrembo lazima ahadi kemkemu zihusike zinazokuwa ndani ya uwezo wako unamtangulizia zile zinazokuzidi unampa ahadi kwa vitendaHuyu jamaa anaonekana kama kuna "ahadi kubwa kubwa" hasa za kujikweza aliisha wahi zitoa
kwa huyo ex demu , sasa demu alivunga vunga wenzie waka muwahi , kwahiyo akikaa akiziwaza
zile ahadi anaamua kama vipi ngoja akazisake hivyo hivyo.
ahaaaa.....sasa kazi kwako kubadili nyeusi kuwa nyeupe.Unachojaribu kukisia kinakaribia ukweli si unajua unavyomtaka binti mrembo lazima ahadi kemkemu zihusike zinazokuwa ndani ya uwezo wako unamtangulizia zile zinazokuzidi unampa ahadi kwa vitenda
Atajua vita rasmi imeanza....sio muoga hata kidogo dawa ni hiyo tu badili line na baadae wife habari kwa kina zitamjia ataelewa tu.Mmh utachukuaje simu ya mtu bila ridhaa yake? Mtafute askari mmoja ongea naye fresh afu mfuateni
Fanya hivi cha msingi basi funguka kwa mkeo, mweleze kila kitu + ushahidi. Kwa sababu hata ukimbadilishia namba mkeo huyo ex wako anaweza akaipata tu. BTW huyo mwanamke( ex) pasua kichwa hivyo ulimpatia wapi jamani lolAtajua vita rasmi imeanza....sio muoga hata kidogo dawa ni hiyo tu badili line na baadae wife habari kwa kina zitamjia ataelewa tu.
Shukrani kwa msaada wa mawazo yako
Yap sina woga lakini ni mapema sana kuingia kwenye mitafaruku isiyo na kichwa wala miguu.Acha uwoga hiyo siyo ishu ya kulialia kwa mwanaume
Wewe mwambie azitume tu
Atajua tu lakini kwa sasa sio muda muafaka kumpa habari za kutia maudhi,gharama zote hzo za nn.... kwann usimwambie tu ukweL wifee thn maisha yaendelee
ahaaaa.....sasa kazi kwako kubadili nyeusi kuwa nyeupe.
Atajua tu tena kwa kuambiwa na mimi mwenyewe sio mtu mwingine baki.Fanya hivi cha msingi basi funguka kwa mkeo, mweleze kila kitu + ushahidi. Kwa sababu hata ukimbadilishia namba mkeo huyo ex wako anaweza akaipata tu. BTW huyo mwanamke( ex) pasua kichwa hivyo ulimpatia wapi jamani lol
Temana nae mazima, we mpe sura ngumu tu. Lasivyo mgegede bila ya kumtoa mkwanja.Atajua tu tena kwa kuambiwa na mimi mwenyewe sio mtu mwingine baki.
Kwa hili mbona bado hajaweza,we acha tu ilikuwa kwenye harusi ya mshkaji wangu pale water flont tukajikuta tupo kwenye meza moja na kinywaji tumiwa ni aina moja ikawa mwanzo wa kuwa na mawasiliano nae but hakuwa mwepesi mpaka nimeoa analeta figisufigisu za kikuda
Ok nimekupata kaka tayari nimemblock whatsapp ndio mwanzo wa kuwashiana moto ulionifikisha hapa jamvini kwa kisingizio eti nililianzisha lazima nilimalize.Ndoa ya miezi mitatu tu na tayari umeanza kupiga bongo kukwepana na wajanja wa town? Kazi unayo na si ndogo!
Kama kweli unataka kukaribia kwenye ustaafu kama wetu, basi achana na mawasiliano na ex gf wote. Block number zao na hata wakikutafuta usiendekeze mijadala. Vinginevyo utabadili mawazo na utamu wa ndoa utaanzia hapo.....
Ungeshafikisha kama miaka 10 ningekupa mbinu nyingine a.k.a ujanja wa porini...Ila wewe bado sana aisee!!
Umepiga tik taka hapo Ronaldo haoni ndani
Kwenye kubadili namba nakupongezaHabari zenu wana Jamvi,
Ni miezi mitatu (03) tangu nifunge pingu za maisha (ndoa) takatifu nashukuru MUNGU nafurahia kuwa mume, na bado sijaanza kuonja chungu ya ndoa kama baadhi ya wanandoa wanavyolalamika ndio maana nikatumia kauri ya nafurahia kuwa mume.
Kilichonileta hapa Jamvini kabla ya kuoa nilikuwa na uhusiano na mabinti kadhaa wengine niliwataka lakini hawakunipa ushirikiano, wengine ndio vile walikuwa na visingizio kibao mpaka naingia mitamboni nilikuwa bado sijamega.
Lakini baada ya kuoa kila mwanamke niliemtaka (kipindi hicho) anataka tukamalizie nimejaribu kuwaeleza kuwa sasa nimeoa na nampenda mke wangu baadhi wamenielewa lakini kuna huyu mmoja ambae alikuwa hata simu yangu kupokea mpaka ipigwe mara 3 ndio apokee leo ananipigia na kutaka kwichikwichi nimekataa mara kadhaa lakini hii ya leo kali katishia ata forward msm kwa wife.
Ki ukweli sijui namba ya wife kapata wapi? Maana amenitajia, Sijawahi tuma msg kwake tangu nioe zote msm alizonazo ni za kabla ya mimi kuoa, mbaya zaidi anasema sio lazima mimi nighalamie yeye anamudu kila kitu nijifikilie kabla ya siku 2 niwe nimempa jibu.
Mimi mwanaume nimefikiliaaa nikaona huyu mpuuzi anaweza halibu ndoa yangu changa, nimeona jioni hii nimpelekee wife Simu mpya android na nisajili line nyingine alafu nimpe maana mtandao anaotumia mara kadhaa amelalamika upo slow kwenye net na hii itakuwa Gia ya kumaliza na kummaliza huyu fisadi anaetaka kuvunja utamu wangu kibwege Naombeni mnisaidie kama nimekosea.
Ahsante kama huta tukana au kukejeli.
Kwakweli huyu jamaa anafaaHahaha kwa kweli tumeitwa kwenye sebene tunakutana na charanga mixer hip hop