Tangu nioe sijawahi kuonja uchungu wa ndoa

Tangu nioe sijawahi kuonja uchungu wa ndoa

mueleze! wyf mkuu.....ndoa tamu: ikiwa hivyo: ikitikisika kidogo mkuu......shida
 
ImageUploadedByJamiiForums1451550457.069930.jpg

Ahsanteni sana wakuu ushauri wenu umenipa mwanga mpya na nawaahidi mawazo yenu nayakopa kuyatumia baada ya kukabidhi hii kitu kwa wife.
Nashukuruni sana sana
 
Miezi mitatu? Bado sana,
Matamu na machungu yapo
^^
 
Usimwambie wife kwanza ila acha mawasiliano na ex wife . huyo mdada mwambie afanye anachotaka usiendelee mjibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom