Tangu nioe sijawahi kuonja uchungu wa ndoa

Tangu nioe sijawahi kuonja uchungu wa ndoa

Mwanaume ukiwa unatakwa kimapenzi na mdada raha sana
It's every man's dream

Ndio maana umekuja kuturingishia hapa dah sawa bana
 
Mwanaume ukiwa unatakwa kimapenzi na mdada raha sana
It's every man's dream

Ndio maana umekuja kuturingishia hapa dah sawa bana
Kama hujaoa/Ama ndoa yako iwe inasumbua hayo usemayo ni sawa tu.
Lakini kwangu huyu ni shida kwa nini asinigande wakati ule nikimtaka? Anazingua huyu nia yake ni kunifanya nijute.
 
badilisha tu namba ya shemeji hakuna namna, lengo lake ni baya kwa nini siku zote akunyime then leo alazimishe mambo, kuwa makini. @Heaven Sent pita hapa, nauaminiaga sana ushauri wako
Kweli mkuu upande wa pili huyu mwanamke ni wale wenye roho za kuona wengine wakiteseka yeye ndio raha yake
 
Hyo ni siri ya ndani ni vizuri ukamshirikisha mkeo ndo mtapata guda solution,
 
Habari zenu wana Jamvi,

Ni miezi mitatu (03) tangu nifunge pingu za maisha (ndoa) takatifu nashukuru MUNGU nafurahia kuwa mume, na bado sijaanza kuonja chungu ya ndoa kama baadhi ya wanandoa wanavyolalamika ndio maana nikatumia kauri ya nafurahia kuwa mume.

Kilichonileta hapa Jamvini kabla ya kuoa nilikuwa na uhusiano na mabinti kadhaa wengine niliwataka lakini hawakunipa ushirikiano, wengine ndio vile walikuwa na visingizio kibao mpaka naingia mitamboni nilikuwa bado sijamega.

Lakini baada ya kuoa kila mwanamke niliemtaka (kipindi hicho) anataka tukamalizie nimejaribu kuwaeleza kuwa sasa nimeoa na nampenda mke wangu baadhi wamenielewa lakini kuna huyu mmoja ambae alikuwa hata simu yangu kupokea mpaka ipigwe mara 3 ndio apokee leo ananipigia na kutaka kwichikwichi nimekataa mara kadhaa lakini hii ya leo kali katishia ata forward msm kwa wife.

Ki ukweli sijui namba ya wife kapata wapi? Maana amenitajia, Sijawahi tuma msg kwake tangu nioe zote msm alizonazo ni za kabla ya mimi kuoa, mbaya zaidi anasema sio lazima mimi nighalamie yeye anamudu kila kitu nijifikilie kabla ya siku 2 niwe nimempa jibu.

Mimi mwanaume nimefikiliaaa nikaona huyu mpuuzi anaweza halibu ndoa yangu changa, nimeona jioni hii nimpelekee wife Simu mpya android na nisajili line nyingine alafu nimpe maana mtandao anaotumia mara kadhaa amelalamika upo slow kwenye net na hii itakuwa Gia ya kumaliza na kummaliza huyu fisadi anaetaka kuvunja utamu wangu kibwege Naombeni mnisaidie kama nimekosea.

Ahsante kama huta tukana au kukejeli.

Wise decision.
 
badilisha tu namba ya shemeji hakuna namna, lengo lake ni baya kwa nini siku zote akunyime then leo alazimishe mambo, kuwa makini. @Heaven Sent pita hapa, nauaminiaga sana ushauri wako
Mmh me naomba tu nijiweke kwenye position ya mkewe kwanza. atoke huko from nowhere afu aniambie "mke wangu chukua hii laini mpya, ya zamani iache", bila ya sababu ya msingi? Namuelewaje kwa mfano?

Afu na nyinyi muwage wanaume kweli basi ( pardon my french). Mwanamke ambaye mliachana huko nyuma ndo aje kuanza kutishia ndoa yako afu na wewe kidume kizima unambwela daah. Me mwenyewe mtu akinizingua Napiga mkwara huo kama kweli vile. Kinachomshinda kumtafuta huyo mwanamke na kumpa makavu ya maana ni nini? Ila ushahidi wa hiko kibinti (texts na simu) auhifadhi tu. Cha msingi yeye aoneshe kutotetereka tena binti akimpigia simu ampe hilo Li mkwara heavy hadi basi (sema tu kumpa mikofi tu hairuhusiwi ila basi tu)
Au unamkodisha askari mmoja mnaenda kumpiga biti asiwasumbue kwenye simu
 
Last edited:
Hyo ni siri ya ndani ni vizuri ukamshirikisha mkeo ndo mtapata guda solution,
Kweli mkuu lakini kwa sasa acha nisimamie hili la kumbadilishia line afu baadae ndio ni dili na hilo la kumuweka sawa,kwa sasa nikifanya hivyo itakuwa kama kuzima moto kwa petroli
 
Mmh me naomba tu nijiweke kwenye position ya mkewe kwanza. atoke huko from nowhere afu aniambie "mke wangu chukua hii laini mpya, ya zamani iache", bila ya sababu ya msingi? Namuelewaje kwa mfano?

Afu na nyinyi muwage wanaume kweli basi ( pardon my french). Mwanamke ambaye mliachana huko nyuma ndo aje kuanza kutishia ndoa yako afu na wewe kidume kizima unambwela daah. Me mwenyewe mtu akinizingua Napiga mkwara huo kama kweli vile. Kinachomshinda kumtafuta huyo mwanamke na kumpa makavu ya maana ni nini? Ila ushahidi wa hiki kimburula (texts na simu) auhifadhi tu. Cha msingi yeye aoneshe kutotetereka tena binti akimpigia simu ampe hilo Li mkwara heavy hadi basi (sema tu kumpa mikofi tu hairuhusiwi ila basi tu)
Au unamkodisha askari mmoja mnaenda kumjambisha asiwasumbue kwenye simu
Ushauri wako ni mzuri tu lakini sio mara moja nimeshapiga mikwara ndio kama namtia jeuri,nimeshawahi panga jaribio la kuichukua simu yake kupitia ndugu yake lakini ikawa ngumu.
Sijui kapatwa na nini? Mda mwingine hadi naona kama amepagawa hivi
 
Huyu jamaa anaonekana kama kuna "ahadi kubwa kubwa" hasa za kujikweza aliisha wahi zitoa
kwa huyo ex demu , sasa demu alivunga vunga wenzie waka muwahi , kwahiyo akikaa akiziwaza
zile ahadi anaamua kama vipi ngoja akazisake hivyo hivyo.
 
Ushauri wako ni mzuri tu lakini sio mara moja nimeshapiga mikwara ndio kama namtia jeuri,nimeshawahi panga jaribio la kuichukua simu yake kupitia ndugu yake lakini ikawa ngumu.
Sijui kapatwa na nini? Mda mwingine hadi naona kama amepagawa hivi
Mmh utachukuaje simu ya mtu bila ridhaa yake? Mtafute askari mmoja ongea naye fresh afu mfuateni
 
Ha ha haaa!!! Nimeamua kujitambulisha rasmi. Mimi sio robot, mimi ni binadamu.
Eeh afu naona avatar zako zote mbili eti. Kwenye quoted post zako inaonekana ya robot, ukicomment kawaida anaonekana huyu mtu mpya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom