Tangu nioe sijawahi kuonja uchungu wa ndoa

Ok nimekupata kaka tayari nimemblock whatsapp ndio mwanzo wa kuwashiana moto ulionifikisha hapa jamvini kwa kisingizio eti nililianzisha lazima nilimalize.
Nitaanzia kwa kubadili line ya wife afu nitamblock kwangu baadae nitampa wife kama stori ya kumtaadharisha.
Nimepata mwanzo wa mwisho mzuri hapa shukrani

Simu ya wife unahangaika nayo ya nini mkuu?

Wewe deal na huyo demu na uachane na wife. Hawezi hata siku moja kukuvurugia. Anakutishia nyau na ukirogwa ukagusa tu, utageuzwa msukule wake kwani atajua unaogopa mikwara.

Deal naye huyo huyo...Ila ungekuwa umeshaenda enda kidogo.. (walau 10+ yrs) huyo ilikuwa futari ya kukumbushia enzi za utafutaji...but at your own risk!
 
Ahsante mkuu lakini hilo ni ngumu ndio maana nimejaribu kumkwepa kwa njia hiyo ya kumbadilishia wife # ili hata akituma msg zake kwa wife iwe hakuna majibu kwa kuwa line ya wife nitaipoteza mwenyewe
Mpendwa @JembePoli , fanya kama unaipoteza ila ukae nayo na ikiwezekana iweke kwenye simu nyingine ili uone alichotaka kutuma kwa bibie, then baadaye mfuate umuoneshe ili ajidhihirishe jinsi alivyo mbulura.[size]
 
THE TRUTH WILL ALWAYS SET YOU FREE.... LAKINI " MOST MARRIAGES ARE RUINED BY TELLING THE TRUTH " KATI YA VITU AMBAVYO MWANAMKE HAPENDI KUAMBIWA NI UKWELI.... UKISEMA TU UKWELI UME HARIBU..... UNA DHANI NATANIA JARIBU KUMWAMBIA Utakuja kuni DM mwenyewe... women love lies ndio nature yao hilivyo, ndio jinsi walivyo umbwa.... binafsi ukweli ulisha niponza... nili fanya kwa nia njema ili kulinda mahusiano kumbe mwenzangu akatunza kweli hio na akaanza kulipiza.....
 
Ushauri wako ni mzuri tu lakini sio mara moja nimeshapiga mikwara ndio kama namtia jeuri,nimeshawahi panga jaribio la kuichukua simu yake kupitia ndugu yake lakini ikawa ngumu.
Sijui kapatwa na nini? Mda mwingine hadi naona kama amepagawa hivi

Simama kama mwanaume baki njia kuu. Hana nia nzuri na wewe uyo na atakublackmail atavo taka et.
Mwambie tu mkeo ukwel uwe huru et achana na woga
 
Mwambie mkeo ukweli tu..itakusaidia wewe na yeye wote kudeal naye...huo mda unaovuta kusubiri eti utamwambia utashangaa mkeo tyr vinamfikia na ataamini ni vya kweli ht ukijitetea mwambie now...pili hilo janamke likomalie tena kwa mabiti ya hatari usimchekee na usiendekezw kujibu jibu text zake na call zake...
 
Habari zenu wana Jamvi,

Ni miezi mitatu (03) tangu nifunge pingu za maisha (ndoa) takatifu nashukuru MUNGU nafurahia kuwa mume, na bado sijaanza kuonja chungu ya ndoa kama baadhi ya wanandoa wanavyolalamika ndio maana nikatumia kauri ya nafurahia kuwa mume.

Kilichonileta hapa Jamvini kabla ya kuoa nilikuwa na uhusiano na mabinti kadhaa wengine niliwataka lakini hawakunipa ushirikiano, wengine ndio vile walikuwa na visingizio kibao mpaka naingia mitamboni nilikuwa bado sijamega.

Lakini baada ya kuoa kila mwanamke niliemtaka (kipindi hicho) anataka tukamalizie nimejaribu kuwaeleza kuwa sasa nimeoa na nampenda mke wangu baadhi wamenielewa lakini kuna huyu mmoja ambae alikuwa hata simu yangu kupokea mpaka ipigwe mara 3 ndio apokee leo ananipigia na kutaka kwichikwichi nimekataa mara kadhaa lakini hii ya leo kali katishia ata forward msm kwa wife.

Ki ukweli sijui namba ya wife kapata wapi? Maana amenitajia, Sijawahi tuma msg kwake tangu nioe zote msm alizonazo ni za kabla ya mimi kuoa, mbaya zaidi anasema sio lazima mimi nighalamie yeye anamudu kila kitu nijifikilie kabla ya siku 2 niwe nimempa jibu.

Mimi mwanaume nimefikiliaaa nikaona huyu mpuuzi anaweza halibu ndoa yangu changa, nimeona jioni hii nimpelekee wife Simu mpya android na nisajili line nyingine alafu nimpe maana mtandao anaotumia mara kadhaa amelalamika upo slow kwenye net na hii itakuwa Gia ya kumaliza na kummaliza huyu fisadi anaetaka kuvunja utamu wangu kibwege Naombeni mnisaidie kama nimekosea.

Ahsante kama huta tukana au kukejeli.
Miezi mitatu tu unaanza kusifia?subiria miaka mitatu uone
 
kuna mambo hayajakaa sawa kichwani kwangu. umesema hujawahi kuwasiliana naye tangu umeoa, sawa Je, meseji zako ulikuwa unamtumia wakati unamahusiano na mkeo au kabla? kama ni kabla mwambie wife ila kama ni baada inaonyesha ni jinsi gani usivyomwaminifu katika mahusiano yako. ila ni vizuri zaidi ukimweleza mkeo mapema ili ajue kuliko lije litokee la kutokea
 
Habari zenu wana Jamvi,

Ni miezi mitatu (03) tangu nifunge pingu za maisha (ndoa) takatifu nashukuru MUNGU nafurahia kuwa mume, na bado sijaanza kuonja chungu ya ndoa kama baadhi ya wanandoa wanavyolalamika ndio maana nikatumia kauri ya nafurahia kuwa mume.

Kilichonileta hapa Jamvini kabla ya kuoa nilikuwa na uhusiano na mabinti kadhaa wengine niliwataka lakini hawakunipa ushirikiano, wengine ndio vile walikuwa na visingizio kibao mpaka naingia mitamboni nilikuwa bado sijamega.

Lakini baada ya kuoa kila mwanamke niliemtaka (kipindi hicho) anataka tukamalizie nimejaribu kuwaeleza kuwa sasa nimeoa na nampenda mke wangu baadhi wamenielewa lakini kuna huyu mmoja ambae alikuwa hata simu yangu kupokea mpaka ipigwe mara 3 ndio apokee leo ananipigia na kutaka kwichikwichi nimekataa mara kadhaa lakini hii ya leo kali katishia ata forward msm kwa wife.

Ki ukweli sijui namba ya wife kapata wapi? Maana amenitajia, Sijawahi tuma msg kwake tangu nioe zote msm alizonazo ni za kabla ya mimi kuoa, mbaya zaidi anasema sio lazima mimi nighalamie yeye anamudu kila kitu nijifikilie kabla ya siku 2 niwe nimempa jibu.

Mimi mwanaume nimefikiliaaa nikaona huyu mpuuzi anaweza halibu ndoa yangu changa, nimeona jioni hii nimpelekee wife Simu mpya android na nisajili line nyingine alafu nimpe maana mtandao anaotumia mara kadhaa amelalamika upo slow kwenye net na hii itakuwa Gia ya kumaliza na kummaliza huyu fisadi anaetaka kuvunja utamu wangu kibwege Naombeni mnisaidie kama nimekosea.

Ahsante kama huta tukana au kukejeli.
We acha atume...hakika ukilala nae utavunja ndoa yako.au utaua familia yako
 
safi sana umefikiri la maana kumpa simu mpya na sim card mpyaaaa. hapo utakuwa umemkwepa huyo dada
 
Kununnua line nyingine sio suluhisho......hizo msg kabla ya kuoa zisikutishe mweleze wife mapema bi dada akituma we ushamaliza mchezo lakini kama ni baada ya ndoa jipange kaka maana mkeo hataamini hujamaliza mchezo.
 
please wait......ndoa bado changa so usihitimishe kusema hivyo.
 
Vuta muda mkuu, au unadhani ile kauli ya mpoto ni kwa wanasiasa tuu??
 
Hutakiwi kujadili zinaa bali kuikimbia,wewe unajadili na ibilisi ili?akushinde nguvu,?mlee tu huyo utafurahi mwenyewe
 
Mmh me naomba tu nijiweke kwenye position ya mkewe kwanza. atoke huko from nowhere afu aniambie "mke wangu chukua hii laini mpya, ya zamani iache", bila ya sababu ya msingi? Namuelewaje kwa mfano?

Afu na nyinyi muwage wanaume kweli basi ( pardon my french). Mwanamke ambaye mliachana huko nyuma ndo aje kuanza kutishia ndoa yako afu na wewe kidume kizima unambwela daah. Me mwenyewe mtu akinizingua Napiga mkwara huo kama kweli vile. Kinachomshinda kumtafuta huyo mwanamke na kumpa makavu ya maana ni nini? Ila ushahidi wa hiko kibinti (texts na simu) auhifadhi tu. Cha msingi yeye aoneshe kutotetereka tena binti akimpigia simu ampe hilo Li mkwara heavy hadi basi (sema tu kumpa mikofi tu hairuhusiwi ila basi tu)
Au unamkodisha askari mmoja mnaenda kumpiga biti asiwasumbue kwenye simu
We Dada me nmekulavu yuu
Una akili mingi kama ukoo wa kina Einstein
 
Habari zenu wana Jamvi,

Ni miezi mitatu (03) tangu nifunge pingu za maisha (ndoa) takatifu nashukuru MUNGU nafurahia kuwa mume, na bado sijaanza kuonja chungu ya ndoa kama baadhi ya wanandoa wanavyolalamika ndio maana nikatumia kauri ya nafurahia kuwa mume.

Kilichonileta hapa Jamvini kabla ya kuoa nilikuwa na uhusiano na mabinti kadhaa wengine niliwataka lakini hawakunipa ushirikiano, wengine ndio vile walikuwa na visingizio kibao mpaka naingia mitamboni nilikuwa bado sijamega.

Lakini baada ya kuoa kila mwanamke niliemtaka (kipindi hicho) anataka tukamalizie nimejaribu kuwaeleza kuwa sasa nimeoa na nampenda mke wangu baadhi wamenielewa lakini kuna huyu mmoja ambae alikuwa hata simu yangu kupokea mpaka ipigwe mara 3 ndio apokee leo ananipigia na kutaka kwichikwichi nimekataa mara kadhaa lakini hii ya leo kali katishia ata forward msm kwa wife.

Ki ukweli sijui namba ya wife kapata wapi? Maana amenitajia, Sijawahi tuma msg kwake tangu nioe zote msm alizonazo ni za kabla ya mimi kuoa, mbaya zaidi anasema sio lazima mimi nighalamie yeye anamudu kila kitu nijifikilie kabla ya siku 2 niwe nimempa jibu.

Mimi mwanaume nimefikiliaaa nikaona huyu mpuuzi anaweza halibu ndoa yangu changa, nimeona jioni hii nimpelekee wife Simu mpya android na nisajili line nyingine alafu nimpe maana mtandao anaotumia mara kadhaa amelalamika upo slow kwenye net na hii itakuwa Gia ya kumaliza na kummaliza huyu fisadi anaetaka kuvunja utamu wangu kibwege Naombeni mnisaidie kama nimekosea.

Ahsante kama huta tukana au kukejeli.

Poa sana mkuu, ila naomba namba za mkeo kuna jambo nataka nimuulize. Natanguliza shukrani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom