Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,716
- 36,186
maagizo yameanza kutekelezwa, hata ukimsikia umi juzi, kwanza mi sikumuelewa!
Ni msimu wa kupukutika
Wanasema hata kutopiga kura ni sawa na kupiga kura.... tunaweza sema tumeamua kufanya mambo kwa kutofanya.
Tanganyika inabidi tuamkeTuwashukuru Zanzibar,maana kutangaza kwao ni kama na huku wanabanwa fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu huu sio utani watu wanakufa sana na corona.Wapukutike wenyewe
Ni msimu wa kupukutika
Nimekuelewa ingawa nimerudia kusoma mara 3 ndipo nikaeelewaSisi kihabari, no news is good news.
P
Hili nalo neno, na Zanzibar wamechukua tahadhari zaidi kuliko sisi. Napenda sana misimamo yaoTuwashukuru Zanzibar,maana kutangaza kwao ni kama na huku wanabanwa fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyeelewa hii sentence anisaidieSisi kihabari, no news is good news.
P
Elewa watu hawatachukua tahadhari wakiamini wako Salama kumbe hawako Salama , na madhara yake yanaweza yakawa makubwa .Sisi kihabari, no news is good news.
P