Hujui kama jussa ni mwarabu? siku wakishika madaraka kule pemba kutakuwa kwa kisultani. wakuogopwa kama ukoma
Hujui kama jussa ni mwarabu? siku wakishika madaraka kule pemba kutakuwa kwa kisultani. wakuogopwa kama ukoma
Jussa ana asili ya kihindi,lakini yeye na wazee wake wawili ni wazaliwa wa zanzibar sio kama wewe mzaliwa wa tanganyika lakini wazee wako wakongo. Nani mzalendo wa nchi yake ?Hujui kama jussa ni mwarabu? siku wakishika madaraka kule pemba kutakuwa kwa kisultani. wakuogopwa kama ukoma
Si wa kuogopa hata kidogo. Hatishi. kwani hawashi wala hazimi. Ni limbukeni tu mwenye kutawaliwa na jazba. Hupenda sana kukurupuka na ni "loud speaker" wa viongozi fulani maarufu (calibre ya kina Raza). Jussa hana muelekeo hana busara na hajui kuzungumza.
anadhani maneno yake yatakijenga chama kwa upande wa bara. jussa ni aina ya viongozi wanaoendekeza siasa za maji taka.