TANGAZO: YAH: Kuvunjika kwa couple hii

TANGAZO: YAH: Kuvunjika kwa couple hii

shoooootiiiiii beibe nasty upo wapi uthibitishe hili??? make naona kama maruweruwe, Judgement my shem mbona siamini majicho yangu????
 
Last edited by a moderator:
Nathibitisha taarifa ya Baba V , kua ni sahihi.
Aidha nichukue fursa hii adhimu kumshukuru my Ex BN kwa kua msaada, pumziko na utulivu kwangu kwa muda wote tuliokua pamoja as a couple.
As a matter of fact kufuatia member manoa kuchangia kwake ktk uzi huu, kwamba ananitaka Jugde kuwa mumewe mpya naomba Baba V umpatie taarifa kua kutokana na utaratibu kikanuni wa imani (faith) yangu hainiruhusu mimi kua na mke wa gender yangu.
Aidha sina hakika pia kama tamaduni & mila za Jeiefu zaruhusu ndoa za aina hiyo!
Probably Mr manoa kwakua inasemwa demand yako iko within human right hence bado unayo nafasi kuendelea kutafuta bwn maeneo mengine but si kwangu.
 
Pole sana Mkuu! Ilikuwa si riziki!? Natanguliza masikitiko yangu kwa kuvunjika kwa ndoa hiyo huku nikichukua tahadhari ya kuwa karibu zaidi na wife wangu marejesho ili pepo la kuvunja ndoa lishindwe na litokomee!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom