TANGAZO: YAH: Kuvunjika kwa couple hii

TANGAZO: YAH: Kuvunjika kwa couple hii

Wa nini sweetylady?

Wewe jamaa nawe kuna haja ya kukukalisha chini na kuongea juu ya mustakabali wa ndoa yako, ndo kusema mgodini kumekuweka tight sana au ndo limbwata la sweetlady limekufanya usione maasi yote anayotenda. Lakini kama unafanya hivyo in the name of love sina neno but it is contrary basi kuna shida tena kubwa
 
Last edited by a moderator:
Namie nasema Ameen x 260 !
Ngoja nikawambie na wapangaji wangu waseme Ameen!
**nina zake mpangaji wangu ambae hatoitikia napiga notice **kibuyu!
 
hata mazungumzo yameshindikana? Kabisa?

Mkuu ungedanda vema na Sredi nadhani swali hili usingekua nalo, nway as a matter of fact there's no any importance of dialogue between us, because we hav't any quarrel either conflicts between eachother.
Ni makubaliano yetu binafsi kufuatia maeneo yetu ya uwajibikaji kua mbalimbali kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom