TANGAZO: YAH: Kuvunjika kwa couple hii

TANGAZO: YAH: Kuvunjika kwa couple hii

Kichwa cha habari chahusika. Nimeletewa taarifa na mmoja wao kuwa baada ya kupima na kupembua namna ambavyo wameshindwa kuwa karibu kithioritikia na kibaiolojia kutokana na umbali wao na majukumu yao katika kujenga taifa, Judgement na beibe nasty wameamua kuvunja couple yao. Wamefanya maamuzi hayo kwa kukubaliana wao wenyewe bila shinikizo kutoka upande wowote. Nachukua fursa hii kama mwenyekiti wa tume ya mahusiano na ndoa hapa chit chat kwa waliokuwa wanandoa Judgement na beibe nasty kuwapongeza kwa kujadiliana na kufikia muafaka kistaarabu. Aidha natumia nafasi hii kutangaza KUVUNJIKA RASMI kwa couple hii na kuwatakia kila mmoja wao kila la kheri katika maisha yao mapya.

Baba V .
Mwenyekiti wa tume ya kuratibu mahusiano na ndoa chit chat 2012

Huna mamlaka ya kuvunja ndoa Baba V mwenye uwezo huo ni Mungu pekee na ni pale mmoja wao atakapotangulia mbele ya haki hebu waje hapa Judgement na beibe nasty waweke hii mambo sawa alafu hawa wanandoa si wana best man Mungi na Matron Lily Flower, Babe hebu tufanye mchakato wa kunusuru huo utamu usipotee.
 
Last edited by a moderator:

Tena imekuja kwa wakati muafaka mpenzi, mwambie huyo beibe nasty anione faragha tutatue tatizo, afu mwambie Judgement aache uvivu wa kudeki nyumba na kufua nguo za watoto
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nawatazama tuu hapa nfo utakapoona manabii wauongo eti tulijua tuu mara oooh hawakua tayari nyie vipi hkwani ndoa za mikataba zinawekwa kwaajili gan na badoo mtachonga ngenga hadi muote sugu mdomon walikuwepo wenye ndoa na wapo wapi sasa itakua mi na jg [kidin ] ila maamuzi ndo hayo
 
Huna mamlaka ya kuvunja ndoa Baba V mwenye uwezo huo ni Mungu pekee na ni pale mmoja wao atakapotangulia mbele ya haki hebu waje hapa Judgement na beibe nasty waweke hii mambo sawa alafu hawa wanandoa si wana best man Mungi na Matron Lily Flower, Babe hebu tufanye mchakato wa kunusuru huo utamu usipotee.
Unadhan kakosea basi lily baba v yupo sahii ni makubaliano tuu tunaona mambo tunayo mengi na isije ikasababisha mmoja aksalit bureee
Unadhan kakosea basi
 
Last edited by a moderator:
Beibe nasty unaonaje mi na wewe tuwe na mapenzi ya mkataba.
 
Back
Top Bottom