TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

jamani my lovely bro Mentor nitapenda kuwepo kwa ajili ya hili!

huo mualiko.......lini tena jamani!!! niambie mapema ili nimwambie shem wako sosoliso

Jumapili dada Paloma... sosoliso asije, sufuria haitoshi teh teh...

dogo hata mimi ni "haters"wako...fanya utafiti vizuri

Utafiti wangu ndo huu hapa chini...
tatizo Mentor ujana mwingi..starehe kibao..mara kijiji chetu..mara mahaba beach..pole@ladyfurahia

mi niko kote kote,

Hiyo ndo inakuwaje my dia!??

shemeji naomba na leo tupige maombi kama jana, maana naamini dada yangu ladyfurahia hiyo si akili yake ni pepo hilo shem.

Amen shem wangu wa ukweli..basi leo nitakuja na divai!

Pamoja na moyo wangu wa mshumaa bado nimeonekana ni hater????samahani kama nimekosea kutoa makazi ya kudumu kwa moyo uliochakazwa na maumivu!!!!

Katoe pumziko kwa kina Zahra White huko...alaah!

Mentor hapa uliponiweka panatosha
siyo mbaya kwangu.
Nilipomsoma dada hapo juu nikahisi ni yule ...agness.. (sore kama nimesahau jina)
yaani kule alikokupiku brother

Nikawaza zaidi nikaona au ni yule uliyekutana naye posta
na akaja kukufumania laivu

Ikabidi nicheke sana,
ladyfurahia kohoi na hoi ngiikuterewa ngi cha mamii opfo
kye mlekie manachu oko, echiwiilyia sepfo loi.

Leka awae...
kifakile, nyi kui ahenda kuwore shindo shicha!??

Babe Paloma.. Shemeji yangu Mentor ana tatizo gani..? Ina maana hata mie hanielewi leo..? Au yule Jew wa Guatemala kamchanganya..?

Sijakusoma shem sosoliso..nataka utamke msimamo wako la sivyo pilau yetu huli!

Mentor na ladyfurahia..wote nawatakia mema..ndoa ni kitu chema..vumilianeni..

Asante sana my dia...mimi namvumilia!

halafu kesho nitafute..i got news for you!

kuna mambo ya kuomba ushaur jaman...lakin sio hili????

Wewe nawe sikuelewi..upo upande upi kwanza!??

AKUPENDAE KWA DHATI:

Evelyn salt

Love you more my dear...hope unanipenda ki- Paloma & sosoliso style...

uvumilivu umenishinda my dia, naletewa wanawake ndani ya nyumba si jambo la kushangaza hilo, kinachoniuma zaidi ni kulala sebuleni mm na watoto maamaaaax2

Hawakuwa na mahali pa kulala nikaona niwasaidie my dia...na tumefundishwa mgeni mkirimu vile vyema. nikaona si vyema wakalala sebuleni ndipo nikawakaribisha chumbani kwetu.

Kibaya zaidi wakati tuko chumbani wananiomba niwape vitu ambavyo mke wangu huwa havitumii...WHAT AM I SUPPOSED TO DO!???
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom