TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

Nimeshafika hatua ya kuachana naye maana sina jinsi kila mara ni vituko, vimbwenga na majanga ya kila namna nisaidieni nifanyaje?

Pole sana mama kwa tabu unazozipata.. lakini kwanza usichukue hatua hiyo.
Mimi na wazazi wake tutamuita tumkanye.. akirudia mie nitakuwa shahidi yako
Naona vibaya mmeshazaa watoto.. mkitengana mtawapa shida watoto wenu..

Shem ladyfurahia msikilize marehemu Marijani akikupa ushauri..
 
Last edited by a moderator:
Mentor hapa uliponiweka panatosha
siyo mbaya kwangu.
Nilipomsoma dada hapo juu nikahisi ni yule ...agness.. (sore kama nimesahau jina)
yaani kule alikokupiku brother

Nikawaza zaidi nikaona au ni yule uliyekutana naye posta
na akaja kukufumania laivu

Ikabidi nicheke sana,
ladyfurahia kohoi na hoi ngiikuterewa ngi cha mamii opfo
kye mlekie manachu oko, echiwiilyia sepfo loi.

Bado nakusanya list ya haters..

HATERS:
Kipaji Halisi Bishanga Innobwoy

WANITAKIAO MEMA:
Baba V Paloma watu8 Mamndenyi Bujibuji Lady doctor shem wa ukweh..


SIWAELEWI WAMESIMAMA UPANDE UPI:
mimisa nitonye Arabela Heaven on earth sosoliso
 
Last edited by a moderator:
sijampiga chini bali nafikiria kumpa ban yake ila niko njia panda sijui nifanyeje na moyo umeshakuwa hivi heart.jpg kati yetu
We we we wee sosoliso acha kunchonganisha na The secretary, huyu Mentor longtime kashindikana ladyfurahia bora umempiga chini saizi yake
 
Babe Paloma.. Shemeji yangu Mentor ana tatizo gani..? Ina maana hata mie hanielewi leo..? Au yule Jew wa Guatemala kamchanganya..?

maadam yamewekwa upenuni na ladyfurahia na naamini baadae Mentor atanidadavulia mambo, nitajua nini nifanye kama dada! Wala sidhani kama ni Jew nahisi ni huko somalia.......babe umeshawahi kula pialau ya kisomali?
 
Last edited by a moderator:
tatizo ni kwamba alirudi usiku wa manane home huku akiwa na dogo pembeni na kuniambia nimpishe bedroom ajipumzishe na huyo mwali mpya, sikuwa na jinsi ilibidi mm na mwanangu tutoke twende kulala sebuleni yani sijui nifanye nini niko njia panda sana nashindwa la kufanya nasubiri ajaze fomu za mahakamani, na kunipa talaka yangu tu basi
Mtambuzi com zis wei pliz, embu msaidie huyu mwali! Kwani jana ilikuwaje tena?!?! ladyfurahia pole kwa yaliyokusibu! Ila kutokana na ulivyoandika sijui nikushaurije ilhali umeshaamua kuacha na na mdogo wangu Mentor? Mentor nawe naomba ujongee hapa unene walau neno moja nipate tulia, mie na shemjei yako sosoliso
 
Last edited by a moderator:
ni kuchanganyikiwa tu baba nakuja ofisini kwako nilete malalamiko yangu, najua utanisaidia kutoka hapa kwenye njia panda nilipo, pls mwambie basi kwani moyo wangu bado uko kwake ila sasa hivi vitimbi vimezidi jamani
Umefikaje huko ustawi ilihali kwangu hujawahi leta malalamiko...!?? inawezekana wewe ndo una matatizo na ndio maana hata ofisi yangu hujaishirikisha...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom